Meneja CoLtd
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 122
- 143
Hujanielewa, Kuna mtu aliuliza kuhusu shida ya umeme ndomimi nikamjibu bado bwawa halijaanza kazi rasmiKwani ndugu, kukabidhiwa ina maana kuwa ndio linaanza kazi rasmi!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujanielewa, Kuna mtu aliuliza kuhusu shida ya umeme ndomimi nikamjibu bado bwawa halijaanza kazi rasmiKwani ndugu, kukabidhiwa ina maana kuwa ndio linaanza kazi rasmi!!?
Sasa na wewe usigawe tu kwa 24 ili kupata siku ngapi! Kuna hesabu ya maana hapo! Kumbuka mleta mada kasema persons hours!Unajua ni miaka mingapi hii!?
Umeiona original text niliyoquote kabla hajaedit!?Sasa na wewe usigawe tu kwa 24 ili kupata siku ngapi! Kuna hesabu ya maana hapo! Kumbuka mleta mada kasema persons hours!
Basi mwenzio kakuacha hewani na jibu lako!Umeiona original text niliyoquote kabla hajaedit!?