Arab Contractors wakabidhiwa Billion 688.6 kama malipo ya awali mradi wa umeme wa maporomoko ya mto Rufiji

Kwanini wadanganyika wanaamini mtawala akitimiza wajibu inakuwa kama HISANI
 
Mkuu mimi sina habari ya mkopo wa aina yoyote katika huu mradi, ingawaje ni kweli gharama zake zitafikia Tr. 6.5
 
Huyu Jamaa Heading na alichoandika ni vitu viwili tofauti. Lumumba Shida kweli! Haraka kama bao la Ugwadu!
Kuanza kwa mradi ni kupatikana kwa fedha za mradi na mkandarasi kupatikana wa kujenga huo mradi.
Au ulimaanisha nini tena?
 
Kweli Kiswahili kigumu! 'Started' and 'about to start' je zina maana sawa?
Tatizo lako ni lile linalowakumba wengi.
Watu wengi wakiwemo wanasiasa, viongozi wa serikali na hata ma layman, wananfikiri kuanza kwa mradi ni pale jembe linapoanza kuingia ardhini.
Hawaelewi kuwa kuanza kwa mradi kuna vitu vingi kama project planning, financing arrangements, supervision arrangements , Projects assurance Bonds/kupatikana kwa mkandarasi na hata assessment ya deliverables.

Ni somo refu sana ndugu , linawakanganya hata wanasiasa wazoefu, sembuse ma laymen kama we ulivyo.
 
Ni kweli ni malipo makubwa kuwahi kulipwa ila usisahau pia upigaji wa awamu hii haujawahi kuwepo toka kuumbwa kwa ulimwengu
 
Mzee kuna mambo amefanya na kiukweli anastaili hongera ila hoja ya watumishi wa kwenye maslai tumeumia sana.
Sasa hivi ndio madaraja watumishi baadhi wanapanda.
Tulitegemea sana bodi ya mishahara ingeweza kuja na suluhu ila naona imepotezewa
Kichadema chadema hatuhitaji Stigler tunataka ruhusa ya maandamano
 
Kijana huna Adabu, unaniita Layman baba yako? Pumbavu saana wewe!
 
Nyie mnataka mlimpwe unono mnajua pesa zinatoka kwenye kodi zetu kwaiyo unataka sisi tuendelee kukamuliwa nyie mneemeke?
Miaka yote huo ndo ulikuwa moango . Hiyo miradi pesa zake zote watu walikuwa wanabadirishia nguo airport .mkulu ndo kidogo awe crew wa Nasa
 
Mzee kuna mambo amefanya na kiukweli anastaili hongera ila hoja ya watumishi wa kwenye maslai tumeumia sana.
Sasa hivi ndio madaraja watumishi baadhi wanapanda.
Tulitegemea sana bodi ya mishahara ingeweza kuja na suluhu ila naona imepotezewa
Hata kwenye familia huwezi kula bata huku mnajenga nyumba
 
Jamaa wameuchunia uzi.
 
Tunatumia fedha nyingi sana kupata 2500MW wakati kuna nchi fulani ilitumia fedha chini ya tutakazotumia na walipata 5000MW,Ankali anapiga cha juu sana kwenye miradi yake anayoilazimisha.....Rejea alivyotupiga kwenye Meli(zaidi ya 5B),Rejea kwenye Madege,Uwanja chatle etc huko kote kapiga zaidi ya 50%.
 
Huyu Jamaa Heading na alichoandika ni vitu viwili tofauti. Lumumba Shida kweli! Haraka kama bao la Ugwadu!
Sijaona tofauti ya contents na heading otherwise wewe unasoma kirumi au kiarabu.

Kasema wameshalipwa, na kwamba hayo ndo malipo makubwa kwa wakat mmoja kuwahi kutokea nchini.

Pia kaweka archtect drawing bwawa likikamilika litaonekana.

Ova.
 
Hizo chuki tu, mlivyokuwa mnapigwa enzi zile mnachekelea tu. Sasa development project zinakuja bado mnalazimisha mtu anapiga
 
Ulitaka tuendelee kulipa capacity charge kwenye umeme wa kifisadi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…