Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni mmoja wa wale wasio na hisia zozote.Kwanini wadanganyika wanaamini mtawala akitimiza wajibu inakuwa kama HISANI
Mkuu mimi sina habari ya mkopo wa aina yoyote katika huu mradi, ingawaje ni kweli gharama zake zitafikia Tr. 6.5Ni vizuri umeleta hii mada huenda una majibu. Wakati rais anatangaza kampuni iliyoshinda zabuni ya ujenzi wa hilo bwawa, alisema litagharimu 6.5t ambazo ni pesa za mkopo. Ila juzi umetokea mchanganyo baada ya hundi kuandikwa wanasema ujenzi wa bwawa ni fedha za ndani 100%. Tuamini lipi katika hao? Au ni yale yale ya uwongo wa kusaka kiko?
Kuanza kwa mradi ni kupatikana kwa fedha za mradi na mkandarasi kupatikana wa kujenga huo mradi.Huyu Jamaa Heading na alichoandika ni vitu viwili tofauti. Lumumba Shida kweli! Haraka kama bao la Ugwadu!
Kweli Kiswahili kigumu! 'Started' and 'about to start' je zina maana sawa?Kuanza kwa mradi ni kupatikana kwa fedha za mradi na mkandarasi kupatikana wa kujenga huo mradi.
Au ulimaanisha nini tena?
Tatizo lako ni lile linalowakumba wengi.Kweli Kiswahili kigumu! 'Started' and 'about to start' je zina maana sawa?
mkopo si unatoka misri na ndo wanaojengs..au mnadhani tumedahau na mazingaombwe yenuMkuu mimi sina habari ya mkopo wa aina yoyote katika huu mradi, ingawaje ni kweli gharama zake zitafikia Tr. 6.5
Kichadema chadema hatuhitaji Stigler tunataka ruhusa ya maandamanoMzee kuna mambo amefanya na kiukweli anastaili hongera ila hoja ya watumishi wa kwenye maslai tumeumia sana.
Sasa hivi ndio madaraja watumishi baadhi wanapanda.
Tulitegemea sana bodi ya mishahara ingeweza kuja na suluhu ila naona imepotezewa
Kijana huna Adabu, unaniita Layman baba yako? Pumbavu saana wewe!Tatizo lako ni lile linalowakumba wengi.
Watu wengi wakiwemo wanasiasa, viongozi wa serikali na hata ma layman, wananfikiri kuanza kwa mradi ni pale jembe linapoanza kuingia ardhini.
Hawaelewi kuwa kuanza kwa mradi kuna vitu vingi kama project planning, financing arrangements, supervision arrangements , Projects assurance Bonds/kupatikana kwa mkandarasi na hata assessment ya deliverables.
Ni somo refu sana ndugu , linawakanganya hata wanasiasa wazoefu, sembuse ma laymen kama we ulivyo.
Hiyo haibadilishi fact.Kijana huna Adabu, unaniita Layman baba yako? Pumbavu saana wewe!
Eeenh! Hapana tusidanganyane mchana kweupe. Hiyo ni picha halisi ya mradi fulani mahali fulani!Mkuu hiyo ni Architects Impression ya mradi.
Miaka yote huo ndo ulikuwa moango . Hiyo miradi pesa zake zote watu walikuwa wanabadirishia nguo airport .mkulu ndo kidogo awe crew wa NasaNyie mnataka mlimpwe unono mnajua pesa zinatoka kwenye kodi zetu kwaiyo unataka sisi tuendelee kukamuliwa nyie mneemeke?
Hata kwenye familia huwezi kula bata huku mnajenga nyumbaMzee kuna mambo amefanya na kiukweli anastaili hongera ila hoja ya watumishi wa kwenye maslai tumeumia sana.
Sasa hivi ndio madaraja watumishi baadhi wanapanda.
Tulitegemea sana bodi ya mishahara ingeweza kuja na suluhu ila naona imepotezewa
Jamaa wameuchunia uzi.View attachment 1081438
Naona wana JF wengi mko kimya lakini juzi mkandarasi Arab Contractors kalipwa na serikali ya Tanzania, malipo ya awali Tshs 688bilioni.
Haya ni malipo makubwa zaidi kuwahi kutokea tangu nchi hii ipate uhuru.
Kwa kifupi sasa tuna uhakika kuwa mradi wa ujenzi wa mradi wa umeme wa stieglers Gorge ndio unaanza kwa uhakika.
Myonge myongeni haki yake mpeni, hongera mh. Magufuli
View attachment 1081438
Naona wana JF wengi mko kimya lakini juzi mkandarasi Arab Contractors kalipwa na serikali ya Tanzania, malipo ya awali Tshs 688bilioni.
Haya ni malipo makubwa zaidi kuwahi kutokea tangu nchi hii ipate uhuru.
Kwa kifupi sasa tuna uhakika kuwa mradi wa ujenzi wa mradi wa umeme wa stieglers Gorge ndio unaanza kwa uhakika.
Myonge myongeni haki yake mpeni, hongera mh. Magufuli
Sijaona tofauti ya contents na heading otherwise wewe unasoma kirumi au kiarabu.Huyu Jamaa Heading na alichoandika ni vitu viwili tofauti. Lumumba Shida kweli! Haraka kama bao la Ugwadu!
Hiyo picha ya uongo watu wametoka juzi ni nyumba za mjerumani wanazirekibisha TB A Ili hao waarabu wakae mambo Bado kabisaHiyo picha uliogopa kupiga vizuri ili ulete kitu kinachoeleweka?
Hizo chuki tu, mlivyokuwa mnapigwa enzi zile mnachekelea tu. Sasa development project zinakuja bado mnalazimisha mtu anapigaTunatumia fedha nyingi sana kupata 2500MW wakati kuna nchi fulani ilitumia fedha chini ya tutakazotumia na walipata 5000MW,Ankali anapiga cha juu sana kwenye miradi yake anayoilazimisha.....Rejea alivyotupiga kwenye Meli(zaidi ya 5B),Rejea kwenye Madege,Uwanja chatle etc huko kote kapiga zaidi ya 50%.
Ulitaka tuendelee kulipa capacity charge kwenye umeme wa kifisadi?Tunatumia fedha nyingi sana kupata 2500MW wakati kuna nchi fulani ilitumia fedha chini ya tutakazotumia na walipata 5000MW,Ankali anapiga cha juu sana kwenye miradi yake anayoilazimisha.....Rejea alivyotupiga kwenye Meli(zaidi ya 5B),Rejea kwenye Madege,Uwanja chatle etc huko kote kapiga zaidi ya 50%.