Tasy02
Member
- Jan 31, 2014
- 35
- 16
Turudi katika uhalisia.Mbona wengi mnasema Sua ngumu, je wote mnaosema hivo mmesoma SUA au ushabiki? Siamini kama SUA kigumu kiasi hicho?
Kinachoweka ugumu katika chuo ni nini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Turudi katika uhalisia.Mbona wengi mnasema Sua ngumu, je wote mnaosema hivo mmesoma SUA au ushabiki? Siamini kama SUA kigumu kiasi hicho?
Kweli kulinganisha vyuo kwa ugumu wao wakati wanatoa coz tofauti tofauti siyo sahihii labda vingekuwa vinatoa coz zinazofanana hapo ingekuwa sawa