thomas_361
Member
- Sep 26, 2017
- 23
- 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhahaa kwani ww nimlinzi wa teku?TEKU ni chuo kigumu kuliko vyuo vyote Tanzania , karibuni TEKU wadau
your right[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hamna chuo kigumu, MTU ndio mgumu kuelewa.
Your right [emoji777]your right[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
wanaitwa academicianselimu mnayosoma haina matumizi mtaani ni classical education ya miaka 1770 kipindi wenzetu wanafanya discoveries. TNA wahtmu wengi sana mtaan hawana uwezo. wa kuaply walichoksoma kikaonekana mtaani
Ni alumni wa TekuHhahaa kwani ww nimlinzi wa teku?
Hivi kumbe siku hizi ARDHI ni chuo kikuu?
Makubwa....
Lofa lingine hili hapaJitahidi kuficha ujinga wako japo kwa kiasi kidogo tu.
wew jamaa acha kuwaibia siri kausha banaHakuna chuo cha serikali kirahisi asee japo kuna vigum kupitiliza udsm conas..sua na muhimbili
hahahahah!!..dah umenikumbusha mbali sana,,nlikua naptia huu uzi kmya kmya ila h coment yako imeniremind mbali,,..kuna lecturer aliwai nijibu ivo apo nalilia marks moja t af anakaza.Sasa ulitaka hiyo 0.1 mwalimu haitoe wapi?
Hata mm izo story nishaziskia kuwa mzumbe ngumu[emoji20]Izo stor za kutiana sifa mkiwa first year mara ooh chuo chetu kigumu!!!!! Ili demu aone unasoma chuo cha ukweli ....chuo tungesema ni kigumu kama pass mark ingekuwa kubwa kuliko ya kawaida ya TCU ya 40 lakin kama ni hii hii hacha ujinga na sifa tangu niko o level nasikia Mzumbe ni ngumu lakin hoja ya msingi ambayo wangrtumia kusapot sifa yao ilikuwa ni passmark ambayo ilikuwa 50 badala ya 40 na disco 3 in cours of study badala ya 4 in year of study lakini tangu warekebishe ukisikia mtu anasema Mzumbe ni ngumu mpige ngumi la puani aacheni ujinga someni hamna chuo kigumu
Umesoma vyuo vyote Tz?Sua kuna elimu ngumu kuliko vyuo vingine bongo
mmmh!ukiandka hivi moyo unadundaCoNAS,in UDSM ni shiida.
Ili uamini armed NDUGU yako kusoma COLLEGE HIYO AKUSHUHUDIE!HATARIIII!