Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?

Huwa sitaki kuamini kuwa hapa bongo kuna chuo kigumu kuliko chuo cha Ardhi sana sana kwa kozi ya environmental engineering hawa muda wote wapo busy na engineering drawing na assignments za kutosha bila kusahau, vipindi vya workshops ambavyo vinaanza saa 9 mpaka saa 3 na nusu usiku ,hiyo ni non stop, hakuna cha kwenda nje kukojoa wala kwenda kunywa maji.

Kimbembe kipo kwenye kufanya practical hasa zile za umeme kama umefunga nyaya ikalegea kidogo tu unapewa zero yako ya nguvu

Pia kwa wale wanaosoma architecture nao wana shida saana muda wote wapo studio wanachora.

Kimbembe kingine kipo kwa wale wanaosoma LMV hawa watu bhana unaambiwa unaingia kwenye pepa lakini cha ajabu kila mwanafunzi anapewa maswali tofauti kama maswali yapo sawa basi multiple choice zinakuwa za tofauti.

Yaaani ukiwa Aru au ardhi hakuna siku ukalala kwa amani kila siku iendayo kwa Mungu hakuna siku utalala ukiwa umemaliza kazi zote.

Kama sio engineering drawing basi engineering maths kama sio hiyo basi IT kama sio IT basi basic chemistry kama sio hiyo basi kazi za workshops zinakusubiri.

Pia huku kila wiki pepa.
Mmmh.
 
SUA inashika position ya kwanza Mimi nasoma SUA naijua vizur sana.. Kila mwaka si Chini ya watu Mia saba wana disco... Hakuna mtu aliyewahi pata GPA ya 5 best GPA tangu chuo kuanza ni 4.8 ya Bachelor of Rural Development, average ni 50, hakuna coz nyepesi, kinafuatia muhas... Anayebisha ajaribu kumwuuliza Rafiki wake wa SUA au wanafunzi wa engineering wa Saint Joseph walio transfer kuja SUA pamoja na wale wa Udom Ndio wana experience mpato halisi wa SUA... Don't underestimate SUA
 
Chuo bora kwa sasa ni TEKU ya mbeya msuli wake sio wa nchi hii
 
MZUMBE NI PAGUMU KULIKO SUA... DISCO KWA MZUMBE NI SUPP 4 NA HUWA AT ANY POINT.. yaan kama umepata supp 2 sem 1 na supp 2 sem 2 tayari umedisco.. pia kama umecarry late say 2 subject then sem hiyo ukaingiza supp 2 pia unadisco.. kwa kifupi MZUMBE ni rahisi sana kudisco maana kuna accum. za supp..
Over..
 
Tatizo nadhani siyo urahisi ama ugumu wa kisheria, hapa tunaongelea ugumu wa shule yenyewe!
 
Tutabishana hapa ugumu wa shule kuwa chuo flani mtu unasoma sana.

Hivi kuna faida gani mtu kusoma sana kisha kukawa hakuna ajira? Na tunajua dhahiri nchi yetu ilivyo.
 
SUA inashika position ya kwanza Mimi nasoma SUA naijua vizur sana.. Kila mwaka si Chini ya watu Mia saba wana disco... Hakuna mtu aliyewahi pata GPA ya 5 best GPA tangu chuo kuanza ni 4.8 ya Bachelor of Rural Development, average ni 50, hakuna coz nyepesi, kinafuatia muhas... Anayebisha ajaribu kumwuuliza Rafiki wake wa SUA au wanafunzi wa engineering wa Saint Joseph walio transfer kuja SUA pamoja na wale wa Udom Ndio wana experience mpato halisi wa SUA... Don't underestimate SUA
It could be!
 
Huwa sitaki kuamini kuwa hapa bongo kuna chuo kigumu kuliko chuo cha Ardhi sana sana kwa kozi ya environmental engineering hawa muda wote wapo busy na engineering drawing na assignments za kutosha bila kusahau, vipindi vya workshops ambavyo vinaanza saa 9 mpaka saa 3 na nusu usiku ,hiyo ni non stop, hakuna cha kwenda nje kukojoa wala kwenda kunywa maji.

Kimbembe kipo kwenye kufanya practical hasa zile za umeme kama umefunga nyaya ikalegea kidogo tu unapewa zero yako ya nguvu

Pia kwa wale wanaosoma architecture nao wana shida saana muda wote wapo studio wanachora.

Kimbembe kingine kipo kwa wale wanaosoma LMV hawa watu bhana unaambiwa unaingia kwenye pepa lakini cha ajabu kila mwanafunzi anapewa maswali tofauti kama maswali yapo sawa basi multiple choice zinakuwa za tofauti.

Yaaani ukiwa Aru au ardhi hakuna siku ukalala kwa amani kila siku iendayo kwa Mungu hakuna siku utalala ukiwa umemaliza kazi zote.

Kama sio engineering drawing basi engineering maths kama sio hiyo basi IT kama sio IT basi basic chemistry kama sio hiyo basi kazi za workshops zinakusubiri.

Pia huku kila wiki pepa.
Waafrika wapo busy kufanya complications kwenye kila kitu, sidhani vitu kuwa vigumu ndio kuwa competent muhimu tubadili mindsets zetu elimu isiwe vita iwe kumkomboa na kumuwezesha mwanafunzi ku-master mazingira yake
 
Hawa watoto wa Magu bana! Shida sana. Full of nonsense
 
Ugumu wa chuo unatokana na kichwa chako ni kilaza kiasi gani wakati wewe unapata sup mwenzio ana banda kwenye hizo modules.
 
Huwa sitaki kuamini kuwa hapa bongo kuna chuo kigumu kuliko chuo cha Ardhi sana sana kwa kozi ya environmental engineering hawa muda wote wapo busy na engineering drawing na assignments za kutosha bila kusahau, vipindi vya workshops ambavyo vinaanza saa 9 mpaka saa 3 na nusu usiku ,hiyo ni non stop, hakuna cha kwenda nje kukojoa wala kwenda kunywa maji.

Kimbembe kipo kwenye kufanya practical hasa zile za umeme kama umefunga nyaya ikalegea kidogo tu unapewa zero yako ya nguvu

Pia kwa wale wanaosoma architecture nao wana shida saana muda wote wapo studio wanachora.

Kimbembe kingine kipo kwa wale wanaosoma LMV hawa watu bhana unaambiwa unaingia kwenye pepa lakini cha ajabu kila mwanafunzi anapewa maswali tofauti kama maswali yapo sawa basi multiple choice zinakuwa za tofauti.

Yaaani ukiwa Aru au ardhi hakuna siku ukalala kwa amani kila siku iendayo kwa Mungu hakuna siku utalala ukiwa umemaliza kazi zote.

Kama sio engineering drawing basi engineering maths kama sio hiyo basi IT kama sio IT basi basic chemistry kama sio hiyo basi kazi za workshops zinakusubiri.

Pia huku kila wiki pepa.

ARU UMEWASAHAU WATU WA GEOMATICS, DARASA ZIMA MSICHANA HAKUNA, KAMA YUPO BASI HAWAZIDI WAWILI...ARU NI SHIDA...!?!
 
Enzi zetu za uanafunzi kulikuwa na college inaitwa COET hapo mlimani.......
Hiyo ndiyo ilikuwa college pekee ngumu.... (Siwezi kuongelea chuo kwa ujumla coz kuna college nyingine ni full kubembea )
Miaka ya hivi karibuni UDOM nao wamezaa COET mtoto wanamuita CIVE, nae ni wa kiume haswaaa
 
SUA inashika position ya kwanza Mimi nasoma SUA naijua vizur sana.. Kila mwaka si Chini ya watu Mia saba wana disco... Hakuna mtu aliyewahi pata GPA ya 5 best GPA tangu chuo kuanza ni 4.8 ya Bachelor of Rural Development, average ni 50, hakuna coz nyepesi, kinafuatia muhas... Anayebisha ajaribu kumwuuliza Rafiki wake wa SUA au wanafunzi wa engineering wa Saint Joseph walio transfer kuja SUA pamoja na wale wa Udom Ndio wana experience mpato halisi wa SUA... Don't underestimate SUA
Sua kugumu aiseee...[emoji24][emoji24]
 
Hakuna chuo kizuri ila kuna AKILI NZURI NA KUJITUMA
 
Back
Top Bottom