Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SuluhishoSasa jamani tushajadili kuwa chuo kipi kigumu halafu baadae tupate nini?
Ongelea pesaHuwa sitaki kuamini kuwa hapa bongo kuna chuo kigumu kuliko chuo cha Ardhi sana sana kwa kozi ya environmental engineering hawa muda wote wapo busy na engineering drawing na assignments za kutosha bila kusahau, vipindi vya workshops ambavyo vinaanza saa 9 mpaka saa 3 na nusu usiku ,hiyo ni non stop, hakuna cha kwenda nje kukojoa wala kwenda kunywa maji.
Kimbembe kipo kwenye kufanya practical hasa zile za umeme kama umefunga nyaya ikalegea kidogo tu unapewa zero yako ya nguvu
Pia kwa wale wanaosoma architecture nao wana shida saana muda wote wapo studio wanachora.
Kimbembe kingine kipo kwa wale wanaosoma LMV hawa watu bhana unaambiwa unaingia kwenye pepa lakini cha ajabu kila mwanafunzi anapewa maswali tofauti kama maswali yapo sawa basi multiple choice zinakuwa za tofauti.
Yaaani ukiwa Aru au ardhi hakuna siku ukalala kwa amani kila siku iendayo kwa Mungu hakuna siku utalala ukiwa umemaliza kazi zote.
Kama sio engineering drawing basi engineering maths kama sio hiyo basi IT kama sio IT basi basic chemistry kama sio hiyo basi kazi za workshops zinakusubiri.
Pia huku kila wiki pepa.
Technical drawing ya mbogosi sio mchezo...Wdmi ni noma
Kumbe ulitemwa muhas ha ha ha.! ningeshangaa kama ungechaguliwaHuwa sitaki kuamini kuwa hapa bongo kuna chuo kigumu kuliko chuo cha Ardhi sana sana kwa kozi ya environmental engineering hawa muda wote wapo busy na engineering drawing na assignments za kutosha bila kusahau, vipindi vya workshops ambavyo vinaanza saa 9 mpaka saa 3 na nusu usiku ,hiyo ni non stop, hakuna cha kwenda nje kukojoa wala kwenda kunywa maji.