Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhas hawapokeagi pumba kama hizo naona kaenda ARU analalamika pagumuHR 666 sahivi upo ardhi tena !!! Si ulikua unajigamba kipindi kile kuwa unaenda MUHAS kusoma pharmacy... Muhas Hiyoo, Nasubiria tuu jina langu hapa
Nilichaguliwa Muhas ila kipindi nachagua chuo mzee wangu hakuwepo TZ alikuwa Germany sasa alipo rudi tulishauriana kama wana familia nikasome kozi ya uinjinia ndo nikafanya transferKumbe ulitemwa muhas ha ha ha.! ningeshangaa kama ungechaguliwa
Hawajui hao ninachoongeaardhi si cha nchi hii.... kigumu sijawahi ona
SUA still passmark ni 50 waligoma kufuata ya TCU na every year chuo kina disco zisizopungua 250Izo stor za kutiana sifa mkiwa first year mara ooh chuo chetu kigumu!!!!! Ili demu aone unasoma chuo cha ukweli ....chuo tungesema ni kigumu kama pass mark ingekuwa kubwa kuliko ya kawaida ya TCU ya 40 lakin kama ni hii hii hacha ujinga na sifa tangu niko o level nasikia Mzumbe ni ngumu lakin hoja ya msingi ambayo wangrtumia kusapot sifa yao ilikuwa ni passmark ambayo ilikuwa 50 badala ya 40 na disco 3 in cours of study badala ya 4 in year of study lakini tangu warekebishe ukisikia mtu anasema Mzumbe ni ngumu mpige ngumi la puani aacheni ujinga someni hamna chuo kigumu
ujerumani my foot!!!!Nilichaguliwa Muhas ila kipindi nachagua chuo mzee wangu hakuwepo TZ alikuwa Germany sasa alipo rudi tulishauriana kama wana familia nikasome kozi ya uinjinia ndo nikafanya transfer
sawaujerumani my foot!!!!
eti nyokohh nyokhoo nyokhoo ....
mara transfer, mara ohhh sijui nini.......
P.I.M.B.I.
Ardhi ni balaaa hawajui hawa ninachoongeaNimesoma hapo ardhi university BAF.
Lakini cha moto nilikiona asee, pamoja na ugeneous wangu lakini elimu ya ardhi university ilikuwa ngumu balaa
Huwa sitaki kuamini kuwa hapa bongo kuna chuo kigumu kuliko chuo cha Ardhi sana sana kwa kozi ya environmental engineering hawa muda wote wapo busy na engineering drawing na assignments za kutosha bila kusahau, vipindi vya workshops ambavyo vinaanza saa 9 mpaka saa 3 na nusu usiku ,hiyo ni non stop, hakuna cha kwenda nje kukojoa wala kwenda kunywa maji.
Kimbembe kipo kwenye kufanya practical hasa zile za umeme kama umefunga nyaya ikalegea kidogo tu unapewa zero yako ya nguvu
Pia kwa wale wanaosoma architecture nao wana shida saana muda wote wapo studio wanachora.
Kimbembe kingine kipo kwa wale wanaosoma LMV hawa watu bhana unaambiwa unaingia kwenye pepa lakini cha ajabu kila mwanafunzi anapewa maswali tofauti kama maswali yapo sawa basi multiple choice zinakuwa za tofauti.
Yaaani ukiwa Aru au ardhi hakuna siku ukalala kwa amani kila siku iendayo kwa Mungu hakuna siku utalala ukiwa umemaliza kazi zote.
Kama sio engineering drawing basi engineering maths kama sio hiyo basi IT kama sio IT basi basic chemistry kama sio hiyo basi kazi za workshops zinakusubiri.
Pia huku kila wiki pepa.
Sidhani kama ni sahihi kulinganisha vyuo vinavyotoa elimu katika fani tofauti, kwani ugumu au urahisi inawezekana ku evaluate katika fani moja mfano ingekuwa rahisi kama vyuo vyote vingekua vinafundisha course za aina moja but I think it is illogical kufananisha ugumu wa vyuo wakati vinatoa couse tofauti (I stand to be corrected)
Sua kuna elimu ngumu kuliko vyuo vingine bongoHuwa sitaki kuamini kuwa hapa bongo kuna chuo kigumu kuliko chuo cha Ardhi sana sana kwa kozi ya environmental engineering hawa muda wote wapo busy na engineering drawing na assignments za kutosha bila kusahau, vipindi vya workshops ambavyo vinaanza saa 9 mpaka saa 3 na nusu usiku ,hiyo ni non stop, hakuna cha kwenda nje kukojoa wala kwenda kunywa maji.
Kimbembe kipo kwenye kufanya practical hasa zile za umeme kama umefunga nyaya ikalegea kidogo tu unapewa zero yako ya nguvu
Pia kwa wale wanaosoma architecture nao wana shida saana muda wote wapo studio wanachora.
Kimbembe kingine kipo kwa wale wanaosoma LMV hawa watu bhana unaambiwa unaingia kwenye pepa lakini cha ajabu kila mwanafunzi anapewa maswali tofauti kama maswali yapo sawa basi multiple choice zinakuwa za tofauti.
Yaaani ukiwa Aru au ardhi hakuna siku ukalala kwa amani kila siku iendayo kwa Mungu hakuna siku utalala ukiwa umemaliza kazi zote.
Kama sio engineering drawing basi engineering maths kama sio hiyo basi IT kama sio IT basi basic chemistry kama sio hiyo basi kazi za workshops zinakusubiri.
Pia huku kila wiki pepa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]HR 666 sahivi upo ardhi tena !!! Si ulikua unajigamba kipindi kile kuwa unaenda MUHAS kusoma pharmacy... Muhas Hiyoo, Nasubiria tuu jina langu hapa
Utaacha lini uongoNilichaguliwa Muhas ila kipindi nachagua chuo mzee wangu hakuwepo TZ alikuwa Germany sasa alipo rudi tulishauriana kama wana familia nikasome kozi ya uinjinia ndo nikafanya transfer