Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?

Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?

SUA inashika position ya kwanza Mimi nasoma SUA naijua vizur sana.. Kila mwaka si Chini ya watu Mia saba wana disco... Hakuna mtu aliyewahi pata GPA ya 5 best GPA tangu chuo kuanza ni 4.8 ya Bachelor of Rural Development, average ni 50, hakuna coz nyepesi, kinafuatia muhas... Anayebisha ajaribu kumwuuliza Rafiki wake wa SUA au wanafunzi wa engineering wa Saint Joseph walio transfer kuja SUA pamoja na wale wa Udom Ndio wana experience mpato halisi wa SUA... Don't underestimate SUA
Bachelor of Rural Development nayo ni course Ngumu ?maajabu kwa SUA ongelea course zingine ila sio hiyo.
 
Sidhani kama ni sahihi kulinganisha vyuo vinavyotoa elimu katika fani tofauti, kwani ugumu au urahisi inawezekana ku evaluate katika fani moja mfano ingekuwa rahisi kama vyuo vyote vingekua vinafundisha course za aina moja but I think it is illogical kufananisha ugumu wa vyuo wakati vinatoa couse tofauti (I stand to be corrected)
Safi kabisa, umemjibu kiufasaha kabisa... Mwambie atoke hapo aende mzumbe akawaulize sheria nao watasema chuo kigumu,Nenda Udom kamuulize mwanafunzi yeyote hali ikoje atakuambia chuo kigumu xo nafikiri asituletee sifa za kijinga hapa kama pagumu kavae sketi fupi na tai kasomee front office na hotel management huko...
NB*usifikiri kuna chuo ya Eng ya serikali rahisi.
 
Hakuna Chuo rahisi duniani.Vyuo vyote usiposoma sapp na disco ni vyako.Hivyo heshimu Chuo.
 
Huwa sitaki kuamini kuwa hapa bongo kuna chuo kigumu kuliko chuo cha Ardhi sana sana kwa kozi ya environmental engineering hawa muda wote wapo busy na engineering drawing na assignments za kutosha bila kusahau, vipindi vya workshops ambavyo vinaanza saa 9 mpaka saa 3 na nusu usiku ,hiyo ni non stop, hakuna cha kwenda nje kukojoa wala kwenda kunywa maji.

Kimbembe kipo kwenye kufanya practical hasa zile za umeme kama umefunga nyaya ikalegea kidogo tu unapewa zero yako ya nguvu

Pia kwa wale wanaosoma architecture nao wana shida saana muda wote wapo studio wanachora.

Kimbembe kingine kipo kwa wale wanaosoma LMV hawa watu bhana unaambiwa unaingia kwenye pepa lakini cha ajabu kila mwanafunzi anapewa maswali tofauti kama maswali yapo sawa basi multiple choice zinakuwa za tofauti.

Yaaani ukiwa Aru au ardhi hakuna siku ukalala kwa amani kila siku iendayo kwa Mungu hakuna siku utalala ukiwa umemaliza kazi zote.

Kama sio engineering drawing basi engineering maths kama sio hiyo basi IT kama sio IT basi basic chemistry kama sio hiyo basi kazi za workshops zinakusubiri.

Pia huku kila wiki pepa.
na ndomana nilipo malizaga six tu na PGM yangu nikajikita jeshini nimejiepusha na uwo mzigo wa stress...
 
SUA pakavu sana mtu anapata 49.9 na ufaulu unaanzia credit yan C bado wanakurudisha sap sio mchezo sua
 
Pagumu zaidi ni Mzumbe, licha ya mambo yote kama hivyo Vyuo vingine, lakini pia mfumo wao wa disco ni very complicated than vyuo vyote TZ
 
Huwa sitaki kuamini kuwa hapa bongo kuna chuo kigumu kuliko chuo cha Ardhi sana sana kwa kozi ya environmental engineering hawa muda wote wapo busy na engineering drawing na assignments za kutosha bila kusahau, vipindi vya workshops ambavyo vinaanza saa 9 mpaka saa 3 na nusu usiku ,hiyo ni non stop, hakuna cha kwenda nje kukojoa wala kwenda kunywa maji.

Kimbembe kipo kwenye kufanya practical hasa zile za umeme kama umefunga nyaya ikalegea kidogo tu unapewa zero yako ya nguvu

Pia kwa wale wanaosoma architecture nao wana shida saana muda wote wapo studio wanachora.

Kimbembe kingine kipo kwa wale wanaosoma LMV hawa watu bhana unaambiwa unaingia kwenye pepa lakini cha ajabu kila mwanafunzi anapewa maswali tofauti kama maswali yapo sawa basi multiple choice zinakuwa za tofauti.

Yaaani ukiwa Aru au ardhi hakuna siku ukalala kwa amani kila siku iendayo kwa Mungu hakuna siku utalala ukiwa umemaliza kazi zote.

Kama sio engineering drawing basi engineering maths kama sio hiyo basi IT kama sio IT basi basic chemistry kama sio hiyo basi kazi za workshops zinakusubiri.

Pia huku kila wiki pepa.
Bila shaka wew ni Mwanafunzi wa Environmental Engineering, Sidhan kama Environmental imekaza zaid ya Architecture
 
Kimaliza SUA hutamani kurudi asilani!master's utasoma mzumbe ama UDSM
Wakati namaliza first degree SUA 2012, kuna bidada wawili walitokea UDSM wakaja kusoma masters SUA wakidhani ni chips mayai.
Huko UDSM walitoka na first class za nguvu, lakini after first semester mmoja aliacha. Mwingine alikonda mpaka akawa miss. Hata hivyo naye aliliwa kichwa!

>>>>>>>>>>
Unakuta chuo wanamaliza labda watu 1000 first degree halafu eti 200 au 100 kati yao wana first class[emoji57]
 
Hakuna chuo cha serikali kirahisi asee japo kuna vigum kupitiliza udsm conas..sua na muhimbili
 
Back
Top Bottom