Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,177
- 1,090
Endelea kupambana na ukweliUmesoma vyuo vyote Tz?
Acheni kudanganya watu
Sent from my D2303 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kupambana na ukweliUmesoma vyuo vyote Tz?
Acheni kudanganya watu
Umeisahau DIT ila ardhi SUA nayo nasikia msuli wake c wakitoto
your right[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Pagumu zaidi ni Mzumbe, licha ya mambo yote kama hivyo Vyuo vingine, lakini pia mfumo wao wa disco ni very complicated than vyuo vyote TZ
That's true.Kwasababu chuo unachosoma kuanzia walimu na wanafunzi mpo mpo tu. Ndio maana huwezi kuona ugumu wa chuo, ila kiukweli ugumu wa vyuo baadhi upo
That's true.
Kuna chuo kinaitwa CITY COLLEGE kiko temeke kingne kiko Kigamboni.
Ni majanga na wanafunzi wengi wanakilalamikia.
Kwanza sio chuo, ni College.
Huo ni mfano hai, ruhusa kukifatilia wana ndugu!
Nakupinga mkuu.Ugumu wa shule ni mtu mwenyewe umechukulia vipi serious masomo yako na uwezo wako wa kuelewa mambo. Kama ulifahulu vyema combination za PCB/PCM kwa Div 1/2 bila chabo kokote hakuna kigumu.....Wakati wewe unatoka na GPA ya 2 mwingine anatoka na ya 4.8 programm hiyohiyo
Ni kweli.Hapo ni sahihi kabisa mkuu tatizo watu hawataki kuelewa kabisa Haya mambo, yani hapa nchini hua vikiongelewa vyuo hua ni
UDSM
ARDHI
MZUMBE
MUHIMBILI
KCMC
SUA
UDOM
BUGANDO
ila vingine hivi hasa Haya ma vyuo ya private ni ukiritimba tu hamna kitu pale wako kimaslahi tu, na hua wanachukua failures tu Mimi na uhakika ukichukua mwanafunzi wa UDSM akaenda kusoma sijui hiyo city college au st Joseph huko anaeza asiwe anaingia darasani na akapata GPA ya 5.
Kusoma kwa vitendo is much easier than doing it in theory.. In theory there is too much imagination na ni ngumu zaidi na pia huwezi kwenda direct kwenye vitendo bila kuwa na theory behind.. And nakuhakikishia foundation ya either ugumu ama urahisi iko kuanzia Advance hapo unakuwa equiped with all relevant knowledge/skills kukusaidia.Nakupinga mkuu.
Chuo na shule havina usawa.
Form six umepiga PCB ukafaulu kwa theory na practical za kuchanganya na kupasua chura.
Ila chuo unaenda kufanya uhalisia, unakutana na kazi yenyewe. Kuchanganya Acid maabara form six, sio sawa na ku clerk mgonjwa hospitali.
So kikubwa hapo ni kutegemea bidii na nia ya mwanafunzi.
Wewe Nimekuelewaa. Wengne wote dereva alikosea walipaswa kushushiwa kibitiHakuna chuo kigumu, ugumu uko kwenye kozi! Pure sciences are more difficult than applied sciences. Medicine cannot be more difficult than biology, and engineering cannot be difficult than physics and mathematcs, pharmacy cannot be difficult than chemistry! Therefore the more difficult courses on earth are Bsc -general, i,e bachelor of science in Physics, Chemistry, Biology.
Muulizaji ametaka kujua Chuo kigumu hajasema Chuo kikuu mkuu. Hata hivyo DIT ina tabia zote za Uchuo kikuu coz inatoa hadi MastersHivi DIT ni chuo kikuu au Institute?
Huo ugumu unakusaidia mtaani?ı cant tell about other universities but one thing is for sure SUA niloisoma ilikuwa stori nyingine kabisa
Uko sahihi.Kusoma kwa vitendo is much easier than doing it in theory.. In theory there is too much imagination na ni ngumu zaidi na pia huwezi kwenda direct kwenye vitendo bila kuwa na theory behind.. And nakuhakikishia foundation ya either ugumu ama urahisi iko kuanzia Advance hapo unakuwa equiped with all relevant knowledge/skills kukusaidia.
ALWAYS ugumu wa shule upo kwa mtu binafsi na mazingira yamzungukayo na si aina ya content.
Muulizaji ametaka kujua Chuo kigumu hajasema Chuo kikuu mkuu. Hata hivyo DIT ina tabia zote za Uchuo kikuu coz inatoa hadi Masters
Conas nasikia one ndo wanadisco!Ugumu wa shule ni mtu mwenyewe umechukulia vipi serious masomo yako na uwezo wako wa kuelewa mambo. Kama ulifahulu vyema combination za PCB/PCM kwa Div 1/2 bila chabo kokote hakuna kigumu.....Wakati wewe unatoka na GPA ya 2 mwingine anatoka na ya 4.8 programm hiyohiyo
wewe jamaa utawaua MD,pharm,eng!!wakitaka wajaribu pale kemia bxWewe Nimekuelewaa. Wengne wote dereva alikosea walipaswa kushushiwa kibiti