Mapori yapo. Njoo nikupe hekari 5 za bure. Maendeleo yatafika baada ya miaka 80.Tabora na mapori yote hayo unalalamika viwanja vya kupima kwa miguu. je wa Dar na Arusha itakuwaje sasa
Huko ni kununua hekali na kuendelea By the way mambo ya mfumo huwezi jua viwanja 18 ni vichache sana na bei ya huko mtu mmoja anaweza chukua vitatu
Vitatu? Vyotena bei ya huko mtu mmoja anaweza chukua vitatu
Kwa hio unafanyaje sasa wababe washachukua viwanja 18 wamevitia mfukoni unafanyaje au unawafanyaje? Fanya km ulibet tu mkeka umechanika soma pale wameandika "Grace Period"Ulishwahi kujua utaratibu wa tausi unavyofanya kazi? Ungekua unajua ungeelewa nachoongea ni UPIGAJI TU
Mkuu nina plot iliyopimwa Uledi karibu na walipojenga hospital ya wilaya na Stand. Ukubwa Sqm 313. Kama uko interested njoo nikuuzie, nimempa kazi dalali naona hayupo serious. Mimi siishi Tabora wala sina mpango, nilinunua bei chee kwa jamaa yangu aliyekuwa na shida ya kifedha.Mapori yapo. Njoo nikupe hekari 5 za bure. Maendeleo yatafika baada ya miaka 80.
Issue ni michongo yao. Hivi ulishawi hata kununua kiwanja wewe? Ulishwahi kujua utaratibu wa tausi unavyofanya kazi? Ungekua unajua ungeelewa nachoongea ni UPIGAJI TU
Kias ganMkuu nina plot iliyopimwa Uledi karibu na walipojenga hospital ya wilaya na Stand. Ukubwa Sqm 313. Kama uko interested njoo nikuuzie, nimempa kazi dalali naona hayupo serious. Mimi siishi Tabora wala sina mpango, nilinunua bei chee kwa jamaa yangu aliyekuwa na shida ya kifedha.
Kiukweli sijapanga bei, nilikinunua mwaka 2021 na sijawah kukitembelea tangu kipindi hiko. Nilimtuma dalali akakiangalie alafu anifanyie tathmini ya bei, ndio nimekwama hapo, dalali na mtu anayejua kiwanja kilipo wanazumgushana tu kwenda kuoneshana huu mwezi wa saba. Mimi niliuziwa na mshikaji wangu kwa milion moja tu, biashara ya kirafiki.Kias gan
Hapo una hati au una nn?Kiukweli sijapanga bei, nilikinunua mwaka 2021 na sijawah kukitembelea tangu kipindi hiko. Nilimtuma dalali akakiangalie alafu anifanyie tathmini ya bei, ndio nimekwama hapo, dalali na mtu anayejua kiwanja kilipo wanazumgushana tu kwenda kuoneshana huu mwezi wa saba. Mimi niliuziwa na mshikaji wangu kwa milion moja tu, biashara ya kirafiki.
Nina mkataba wa mauziano, ila tulivyofanya, mimi nilinunua kwa rafiki angu, yeye aliuziwa na dada mmoja wa huko Tabora bila maandishi, wakati tunasainishana mkataba viongozi wa serikali za mtaa walishauri sababu hakuna maandishi kati ya yule dada na rafiki angu basi mkataba usomeke yule dada ndio kaniuzia, tulifanya hivyo. Then nikaenda Ardhi plan ambayo ndio kampuni iliyopima na kuuza hivyo viwanja tukabadili umiliki kutoka kwa yule dada kuja kwangu. Hatua iliyobaki ilikuwa ni ya kufuatilia hati, sikufanya hivyo sababu naishi mkoa wa mbali, wala sijawahi kutembelea hilo eneo, nina jamaa yangu yupo huko ndio huwa anatembelea.Hapo una hati au una nn?
Kiko mtaa gani ?Nina mkataba wa mauziano, ila tulivyofanya, mimi nilinunua kwa rafiki angu, yeye aliuziwa na dada mmoja wa huko Tabora bila maandishi, wakati tunasainishana mkataba viongozi wa serikali za mtaa walishauri sababu hakuna maandishi kati ya yule dada na rafiki angu basi mkataba usomeke yule dada ndio kaniuzia, tulifanya hivyo. Then nikaenda Ardhi plan ambayo ndio kampuni iliyopima na kuuza hivyo viwanja tukabadili umiliki kutoka kwa yule dada kuja kwangu. Hatua iliyobaki ilikuwa ni ya kufuatilia hati, sikufanya hivyo sababu naishi mkoa wa mbali, wala sijawahi kutembelea hilo eneo, nina jamaa yangu yupo huko ndio huwa anatembelea.
uledi karibu na walipojenga hospital ya wilaya na stand ya MabusKiko mtaa gani ?
Mwenye nguvu mwite POWER.Huwezi amini wametangaza viwanja kwenye mfumo wa tausi kama kutimiza majukumu tu. Wametoa siku tano za preview. Viwanja vilitakiwa kuanza kununuliwa tarehe 5/06/2026 saa nne kamili asubuhi.
Nimekaa kwenye mfumo saa tatu na dakika 50 ili kuwahi kununua. Lakini saa 10:00 inafika papo hapo eti viwanja vyote 18 havipo viko sold ni kitu ambacho hakiwezekani. Na hii sio mara moja hata kwa mikoa mingine. Watumishi wananunua wanauza kwa bei kunwa nje ya mfumo.
Yaani sekunde 2 viwanja vimenunuliwa kwa pamoja?
View attachment 3601487