Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kutoka utawalaChuo kikuu cha ardhi kimesitisha utaratibu wa kuweka sahihi ya mahudhurio kazini kwa watumishi wote kwa sababu zisizojulikana hadi itakapotangazwa hapo baadae.
Watumishi wameombwa kuendelea kujali muda wa kufika kazini kama walivyozoea na wakuu wa vitengo wameombwa kuendelea kufuatilia mahudhurio ya watumishi walio chini ya idara zao.
Nakala Makamu Mkuu wa Chuo
Utawala ni nani