Ardhi ya Tanzania inaendelea kupigwa mnada kwa spidi ya mwanga

Ardhi ya Tanzania inaendelea kupigwa mnada kwa spidi ya mwanga

Poa 2

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Posts
1,317
Reaction score
1,320
Wanachi wengi hawakumwelewa yule bwana aliposema ipo siku tutapigwa mnada, leo wamasai ardhi yao imepigwa mnada kwa mwarabu.

Yaani anaondolewa Mtanzania kwenye ardhi yake ya urithi anauziwa mwarabu aliyewahi kutuuza Kama ngongwe[emoji16] enzi za utumwa.

Ni ukweli kwamba rasilimali zetu Kama taifa zilishapigwa mnada, si madini,gesi,vitalu, ardhi yenye rutuba n k. Na kwa Sasa visiwa vidogo vidogo vya Zanzibar vinapigwa mnada kwa kisingizio Cha kukodishwa.

Kilichobaki ni wanachi nao kuuzwa kwa Bei ya kuku.

Ngorongoro NI ardhi ya wamasai, tukikubali wauzwe leo kesho ardhi ya mgogo, mnyaturu, mchaga au mhaya itauzwa vilevile.

Raisi Samia na serikali yako acheni kutupiga mnada Watanzania
 
Ndugai mpaka leo ni mbunge, apinge hayo ndani ya bunge maana ana kinga.

Ndugai ndio alikuwa kinara wa kuhakikisha wabunge wa upinzani hawaongei ndani ya bunge, na alishiriki sana kuhakikisha wabunge wa upinzani hawarejei bungeni ili kusiwe na mtu wa kuhoji nchi yetu ikiuzwa.

Kinachoendelea huko bungeni imegeuka ni sehemu ya vitisho ili nchi iuzwe vizuri, na kuongea uongo ili kuhadaa umma.

Ardhi yetu imeuzwa sijui kwa waarabu, lakini hatuoni majeshi ya waarabu huko ngorongoro wakiwashambulia Wamasai, bali tunaona polisi wetu wa kitanzania wakiwashambulia Wamasai.

Yaani sisi wenyewe ndio tunauana na kuumizana ili mwarabu aje akalie nchi yetu!
 
Ndugai mpaka leo ni mbunge, apinge hayo ndani ya bunge maana ana kinga. Ndugai ndio alikuwa kinara wa kuhakikisha wabunge wa upinzani hawaongei ndani ya bunge, na alishiriki sana kuhakikisha wabunge wa upinzani hawarejei bungeni ili kusiwe na mtu wa kuhoji nchi yetu ikiuzwa. Kinachoendelea huko bungeni imegeuka ni sehemu ya vitisho ili nchi iuzwe vizuri, na kuongea uongo ili kuhadaa umma.

Ardhi yetu imeuzwa sijui kwa waarabu, lakini hatuoni majeshi ya waarabu huko ngorongoro wakiwashambulia Wamasai, bali tunaona polisi wetu wa kitanzania wakiwashambulia Wamasai. Yaani sisi wenyewe ndio tunauana na kuumizana ili mwarabu aje akalie nchi yetu!
Kila kitu sio kupinga tu, serikali Ina Nia njema kabisa ngorongoro ikiachwa iendelee kuharibiwa na wamasai basi miaka michache mbele hatutakuwa na ngorongoro
 
Kila kitu sio kupinga tu, serikali Ina Nia njema kabisa ngorongoro ikiachwa iendelee kuharibiwa na wamasai basi miaka michache mbele hatutakuwa na ngorongoro

Ni kweli, kwahiyo mwarabu ndio mwenye uwezo wa kuilinda hiyo ngorongoro? Ni lazima Wamasai waondolewe kwa wengine kuuwawa? Kwanini zisitungwe sheria ambazo zingewafanya waondoke wenyewe kwa amani? Mfano ipite sheria hakuna mmasai ataruhusiwa kumiliki ng'ombe zaidi ya 100, na wakati huo huo kila ng'ombe alipiwe kodi kubwa? Ingewekwa kodi ambayo hata ukitaka kumuuza huyo ng'ombe ukifananisha na hiyo kodi ni bora usifuge.

Hii ya kutumia mabavu na kulazimisha waondoke sasa ni kwa faida ya nani? Kibaya zaidi huko wanakopelekwa hakuna hata mazingira wezeshi. Zimejengwa nyumba 2 tatu za kuhadaa umma kuwa wamewekewa miundombinu. Hao Wamasai wakilogwa wakaondoka huko ngorongoro wakaenda huko handeni, watateseka kupita maelezo. Tuna uzoefu na huduma za serikali zinapohamisha watu, hii ni laana ya toka enzi za Nyerere kwenye vijiji vya ujamaa.
 
Wanachi wengi hawakumwelewa yule bwana aliposema ipo siku tutapigwa mnada, leo wamasai ardhi yao imepigwa mnada kwa mwarabu,
Yaani anaondolewa mtanzania kwenye ardhi yake ya urithi anauziwa mwarabu aliyewahi kutuuza Kama ngongwe[emoji16] enzi za utumwa.
Ni ukweli kwamba rasilimali zetu Kama taifa zilishapigwa mnada, si madini,gesi,vitalu, ardhi yenye rutuba n k. Kilichobaki ni wanachi nao kuuzwa kwa Bei ya kuku.
Ngorongoro NI ardhi ya wamasai, tukikubali wauzwe leo kesho ardhi ya mgogo, mnyaturu, mchaga au mhaya itauzwa vilevile.
Raisi Samia na serikali yako acheni kutupiga mnada watanzania
Halafu cha kuhuzunisha ni ardhi ya wakristo wamasai na ni yao kiasili jadi na kihalali. Lakini wanazawadiwa miarabu kisa eti wamejenga msikiti. Jest imegine.

adriz Mohamed Said
 
Kila kitu sio kupinga tu, serikali Ina Nia njema kabisa ngorongoro ikiachwa iendelee kuharibiwa na wamasai basi miaka michache mbele hatutakuwa na ngorongoro
Naweza kukubaliana na point yako kama wamasai wakitoka pale asiwepo mtu wa kukodishwa au kumiliki kwa namna yyte ile
 
Wamasai dini yao ni Masai, walikuwa sehemu ya utalii kwa maisha yao ila sasa wanafurushwa….. hawana thamani mbele ya digidigi.
Sasa badala ya kulialia humu wakusanye wakaldayo wenzako muingie msituni. Siyo kung'akang'aka nyuma ya keyboard.

Get up stand up stand up for your right.

Kammoon
 
Wanachi wengi hawakumwelewa yule bwana aliposema ipo siku tutapigwa mnada, leo wamasai ardhi yao imepigwa mnada kwa mwarabu,
Yaani anaondolewa mtanzania kwenye ardhi yake ya urithi anauziwa mwarabu aliyewahi kutuuza Kama ngongwe[emoji16] enzi za utumwa.
Ni ukweli kwamba rasilimali zetu Kama taifa zilishapigwa mnada, si madini,gesi,vitalu, ardhi yenye rutuba n k. Kilichobaki ni wanachi nao kuuzwa kwa Bei ya kuku.
Ngorongoro NI ardhi ya wamasai, tukikubali wauzwe leo kesho ardhi ya mgogo, mnyaturu, mchaga au mhaya itauzwa vilevile.
Raisi Samia na serikali yako acheni kutupiga mnada watanzania
Hii nchi ilisha laaniwa, sijali kwa lolote linalotokea au litakalo tokea.

Kwani ni mangapi ya kipuuzi na ya hatari waliamua kuyafanya na tukanyamaza? Ni mengi na inaumiza.

Binafsi naangalia kula yangu na familia yangu mengine hayanihusu maana sina maamuzi, wakishaamua wao hata liwe la hatari kiasi gani huwa hawajali !!! Kwann me ni jali?

Ila ipo siku watanzania tutaamua kuondoa huu ukiritimba wa hawa wanaojiona wao ni wamiliki wa hii nchi na watakua wamechalewa , ni jambo la muda tu..
 
Ndugai mpaka leo ni mbunge, apinge hayo ndani ya bunge maana ana kinga. Ndugai ndio alikuwa kinara wa kuhakikisha wabunge wa upinzani hawaongei ndani ya bunge, na alishiriki sana kuhakikisha wabunge wa upinzani hawarejei bungeni ili kusiwe na mtu wa kuhoji nchi yetu ikiuzwa. Kinachoendelea huko bungeni imegeuka ni sehemu ya vitisho ili nchi iuzwe vizuri, na kuongea uongo ili kuhadaa umma.

Ardhi yetu imeuzwa sijui kwa waarabu, lakini hatuoni majeshi ya waarabu huko ngorongoro wakiwashambulia Wamasai, bali tunaona polisi wetu wa kitanzania wakiwashambulia Wamasai. Yaani sisi wenyewe ndio tunauana na kuumizana ili mwarabu aje akalie nchi yetu!
Nadhani kuna kipindi itabidi uende kupimwa afya ya akili. Hujui kuwa hujui unahorohoja tu
 
Back
Top Bottom