Ardhi ya Tanzania inaendelea kupigwa mnada kwa spidi ya mwanga

Ardhi ya Tanzania inaendelea kupigwa mnada kwa spidi ya mwanga

Hii nchi ilisha laaniwa, sijali kwa lolote linalotokea au litakalo tokea.

Kwani ni mangapi ya kipuuzi na ya hatari waliamua kuyafanya na tukanyamaza? Ni mengi na inaumiza.

Binafsi naangalia kula yangu na familia yangu mengine hayanihusu maana sina maamuzi, wakishaamua wao hata liwe la hatari kiasi gani huwa hawajali !!! Kwann me ni jali?

Ila ipo siku watanzania tutaamua kuondoa huu ukiritimba wa hawa wanaojiona wao ni wamiliki wa hii nchi na watakua wamechalewa , ni jambo la muda tu..
Ukisema unaangalia tumbo lako je unaangalia tumbo lako ukiwa wapi? Kesho utatolewa hapo ulipo kwa namna wamasai wanavyoondolewa mkuu paza sauti kemea usikae kimya
 
Watu wanalia njaa na umaskini lakini Serikali ikitaka kucreate uwekezaji wanakuja tena kulialia kuwa nchi inapigwa mnada..
 
Mtoto wa mlamba asali yupo mzingani
Mlamba asali NI wewe na huyo Bibi tozo mnatuuza watanzania wenzenu kwa tamaa zenu hii laana itawarudia na mtajuta Sana kwa kujifanya viziwi na vipofu na majemedari leo
 
We Ngorongoro inakusaidia nini? Tuna Serengeti, Tarangire, Manyara, Mikumi, Selous na nyingine nyingi. Why Ngorongoro?
Ni miongoni mwa maajabu ya dunia
 
Sasa badala ya kulialia humu wakusanye wakaldayo wenzako muingie msituni. Siyo kung'akang'aka nyuma ya keyboard.

Get up stand up stand up for your right.

Kammoon
Bado tunatumia ustaarabu na mazungumzo hatutaki kuumizana
 
Watu wanalia njaa na umaskini lakini Serikali ikitaka kucreate uwekezaji wanakuja tena kulialia kuwa nchi inapigwa mnada..
Umaskini ndio utaondolewa kwa kuwahamisha wamasai kwenye ardhi yao
 
Mlamba asali NI wewe na huyo Bibi tozo mnatuuza watanzania wenzenu kwa tamaa zenu hii laana itawarudia na mtajuta Sana kwa kujifanya viziwi na vipofu na majemedari leo
Yaani kinachoniuma mm ni sisi Wa Tanganyika kuuzwa na mzanzibari.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Mlamba asali NI wewe na huyo Bibi tozo mnatuuza watanzania wenzenu kwa tamaa zenu hii laana itawarudia na mtajuta Sana kwa kujifanya viziwi na vipofu na majemedari leo
Umepanic
 
Wanachi wengi hawakumwelewa yule bwana aliposema ipo siku tutapigwa mnada, leo wamasai ardhi yao imepigwa mnada kwa mwarabu,
Yaani anaondolewa mtanzania kwenye ardhi yake ya urithi anauziwa mwarabu aliyewahi kutuuza Kama ngongwe[emoji16] enzi za utumwa.
Ni ukweli kwamba rasilimali zetu Kama taifa zilishapigwa mnada, si madini,gesi,vitalu, ardhi yenye rutuba n k. Kilichobaki ni wanachi nao kuuzwa kwa Bei ya kuku.
Ngorongoro NI ardhi ya wamasai, tukikubali wauzwe leo kesho ardhi ya mgogo, mnyaturu, mchaga au mhaya itauzwa vilevile.
Raisi Samia na serikali yako acheni kutupiga mnada watanzania
Ni laana kumuacha mzanzibari auze aridhi ya bara
 
Back
Top Bottom