Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
Wanachi wengi hawakumwelewa yule bwana aliposema ipo siku tutapigwa mnada, leo wamasai ardhi yao imepigwa mnada kwa mwarabu,
Yaani anaondolewa mtanzania kwenye ardhi yake ya urithi anauziwa mwarabu aliyewahi kutuuza Kama ngongwe[emoji16] enzi za utumwa.
Ni ukweli kwamba rasilimali zetu Kama taifa zilishapigwa mnada, si madini,gesi,vitalu, ardhi yenye rutuba n k. Kilichobaki ni wanachi nao kuuzwa kwa Bei ya kuku.
Ngorongoro NI ardhi ya wamasai, tukikubali wauzwe leo kesho ardhi ya mgogo, mnyaturu, mchaga au mhaya itauzwa vilevile.
Raisi Samia na serikali yako acheni kutupiga mnada watanzania
Una ushahidi?