Ardhi ya Tanzania inaendelea kupigwa mnada kwa spidi ya mwanga

Leo huu Serikali yetu inayoongozwa na mtu/ watu weusi kama sisi, imeanzisha Kampeni kutuondoa kwa nguvu kwenye ardhi yetu kupisha Mwarabu, …
 
Kwani tulipopambana kupata uhuru wetu, wao walidhani tulikuwa tukiigiza?

Tafakari kwa kina mstari huo kabla hujaparamia kuujibu kwa papara.
 
Leo huu Serikali yetu inayoongozwa na mtu/ watu weusi kama sisi, imeanzisha Kampeni kutuondoa kwa nguvu kwenye ardhi yetu kupisha Mwarabu, …
Huyu mwarabu ni nani? Mwenye details zake aweke hapa. Jina lake ,umri, aliopotoka na anakuja kufanya nini?
 
Acha uchochezi mleta mada. Zoezi la kuwaondoa watu toka kwenye pori tengefu la Loliondo ni zoezi la kawaida na siyo mara ya kwanza kufanyika ktk taifa hili.

Zoezi kama hili limefanyika maeneno mengi. Mifano michache ni Ihefu, Ujiji, Katavi, Mbalali, n.k
 
Zoezi la kawaida kuhamisha jamii nzima ya watu ili apewe mwarabu?
 
Huyu mwarabu anaetajwa sana lwenye hili sakata ni nani?
Kuna mwenye picha yake? Kuna mwenye kujua jina lake, ana biashara gani, anatokea wapi?
 
Kila kitu sio kupinga tu, serikali Ina Nia njema kabisa ngorongoro ikiachwa iendelee kuharibiwa na wamasai basi miaka michache mbele hatutakuwa na ngorongoro
Mawazo ya maskini ni kudhani yeye ana mali na matajiri wanataka kumnunua.

Anakufa akiwa na mawazo haya duni na hawezi kubadilika. Badala ya kupambana autumie utajiri aliobarikiwa yeye anakuwa wa kwanza kupinga kila kitu halafu anabakia vile vile.

Unakuwa ni utajiri wenye laana, kwa maana ya kufurahia tu kwamba sisi ni matajiri halafu tunakufa na wanakuja wengine na wao watakufa wakiacha mali zikae tu. Ni kweli haziwezi kuoza lakini pawepo na juhudi za kuzitumia ili zitukwamue kutoka hapa tulipo.
 
Ubaya ni kwamba unafikiri hao viongozi wanayanya kwa akili yako kumbe ni kujinufaisha
wao na vizazi vyao
 
Wanachi wengi hawakumwelewa yule bwana aliposema ipo siku tutapigwa mnada, leo wamasai ardhi yao imepigwa mnada kwa mwarabu.

Yaani anaondolewa Mtanzania kwenye ardhi yake ya urithi anauziwa mwarabu aliyewahi kutuuza Kama ngongwe[emoji16] enzi za utumwa.

Ni ukweli kwamba rasilimali zetu Kama taifa zilishapigwa mnada, si madini,gesi,vitalu, ardhi yenye rutuba n k. Na kwa Sasa visiwa vidogo vidogo vya Zanzibar vinapigwa mnada kwa kisingizio Cha kukodishwa.

Kilichobaki ni wanachi nao kuuzwa kwa Bei ya kuku.

Ngorongoro NI ardhi ya wamasai, tukikubali wauzwe leo kesho ardhi ya mgogo, mnyaturu, mchaga au mhaya itauzwa vilevile.

Raisi Samia na serikali yako acheni kutupiga mnada Watanzania
Sasa ni zamu ya bandari zetu za Tanganyika kugawiwa kwa wajomba wa Dubai, siku Moja tutaongea lugha moja
 
Wanachi wengi hawakumwelewa yule bwana aliposema ipo siku tutapigwa mnada, leo wamasai ardhi yao imepigwa mnada kwa mwarabu.

Yaani anaondolewa Mtanzania kwenye ardhi yake ya urithi anauziwa mwarabu aliyewahi kutuuza Kama ngongwe[emoji16] enzi za utumwa.

Ni ukweli kwamba rasilimali zetu Kama taifa zilishapigwa mnada, si madini,gesi,vitalu, ardhi yenye rutuba n k. Na kwa Sasa visiwa vidogo vidogo vya Zanzibar vinapigwa mnada kwa kisingizio Cha kukodishwa.

Kilichobaki ni wanachi nao kuuzwa kwa Bei ya kuku.

Ngorongoro NI ardhi ya wamasai, tukikubali wauzwe leo kesho ardhi ya mgogo, mnyaturu, mchaga au mhaya itauzwa vilevile.

Raisi Samia na serikali yako acheni kutupiga mnada Watanzania
Hili la Serikali kuuza ardhi ya wananchi kinyemela binafsi sina tashwishwi nalo kwani muda utakapofika wananchi wa "kizazi hicho" wataikomboa hata kwa damu. Waarabu wajue hilo. Wakaulize Bjibout.
 
Back
Top Bottom