Ardhi ya Tanzania inaendelea kupigwa mnada kwa spidi ya mwanga

Ardhi ya Tanzania inaendelea kupigwa mnada kwa spidi ya mwanga

Hivi hiyo OBC na hao waarabu wao wanaisaidia nini hii nchi? Wamewahi kuisaidia hii nchi nini?
 
Ni ufiche wapi wakati huu ndo muda muafaka wakupigania haki za wakristo. Sasa kwa kuwa umenikera nitakutafuta ili uniambie usoni ni jinsi gani ya kuficha ujinga wangu. Nisubiri nakuja
Eeeh yamekuwa ya ukristo tena!!
 
Wanachi wengi hawakumwelewa yule bwana aliposema ipo siku tutapigwa mnada, leo wamasai ardhi yao imepigwa mnada kwa mwarabu,
Yaani anaondolewa mtanzania kwenye ardhi yake ya urithi anauziwa mwarabu aliyewahi kutuuza Kama ngongwe[emoji16] enzi za utumwa.
Ni ukweli kwamba rasilimali zetu Kama taifa zilishapigwa mnada, si madini,gesi,vitalu, ardhi yenye rutuba n k. Kilichobaki ni wanachi nao kuuzwa kwa Bei ya kuku.
Ngorongoro NI ardhi ya wamasai, tukikubali wauzwe leo kesho ardhi ya mgogo, mnyaturu, mchaga au mhaya itauzwa vilevile.
Raisi Samia na serikali yako acheni kutupiga mnada watanzania
Ndicho kisa cha kuondolewa Lukuvi
 
Ndugai mpaka leo ni mbunge, apinge hayo ndani ya bunge maana ana kinga. Ndugai ndio alikuwa kinara wa kuhakikisha wabunge wa upinzani hawaongei ndani ya bunge, na alishiriki sana kuhakikisha wabunge wa upinzani hawarejei bungeni ili kusiwe na mtu wa kuhoji nchi yetu ikiuzwa. Kinachoendelea huko bungeni imegeuka ni sehemu ya vitisho ili nchi iuzwe vizuri, na kuongea uongo ili kuhadaa umma.

Ardhi yetu imeuzwa sijui kwa waarabu, lakini hatuoni majeshi ya waarabu huko ngorongoro wakiwashambulia Wamasai, bali tunaona polisi wetu wa kitanzania wakiwashambulia Wamasai. Yaani sisi wenyewe ndio tunauana na kuumizana ili mwarabu aje akalie nchi yetu!
You nailed it !! Aongelee humo bungeni ili tumsapoti !!!
 
Nani huyo Mwarabu?? Kama unazo taarifa sahihi tujulishe vizuri jina la kampuni lakini maneno tu matupu sio kweli...Ngombe nyingi mle ndani za wakenya kuna mkenya ana ngombe nyingi sana humo sasa serikali ikiwatoa kuna ubaya waende kwao wana ardhi yao.
 
Vizur kabisa ngorongoro na wamasai sio kichaka Cha wafugaji toka Kenya, na mafisadi wachache ndani ya nchi yetu kutuharibia hifadhi yetu, tutawang'oa wote awamu hii
 
Vizur kabisa ngorongoro na wamasai sio kichaka Cha wafugaji toka Kenya, na mafisadi wachache ndani ya nchi yetu kutuharibia hifadhi yetu, tutawang'oa wote awamu hii
Halafu wao wanapendelekewa yaani wanajengewa kabisaa bado wanajifanya vichwa ngumu, sisi ardhi inatwaliwa na hatupewi hata kiwanja ni fidia na kuchapa lapa.
 
Na nyie tafuteni nguvu,pesa,mipango
Mkamate ardhi hiyoooo

Ova
 
Halafu wao wanapendelekewa yaani wanajengewa kabisaa bado wanajifanya vichwa ngumu, sisi ardhi inatwaliwa na hatupewi hata kiwanja ni fidia na kuchapa lapa.
Tunatambua mchango wa wamasai katika hifadhi yetu kwa miaka mingi, lkn Sasa serikali kwa nia njema imeamua kubadili matumiz ya ardhi Kama sheria inavyoruhusu, ndio maana tunawajengea makazi Safi na salama zaidi
 
Back
Top Bottom