Ardhi ya Tanzania inaendelea kupigwa mnada kwa spidi ya mwanga

Ardhi ya Tanzania inaendelea kupigwa mnada kwa spidi ya mwanga

Wanachi wengi hawakumwelewa yule bwana aliposema ipo siku tutapigwa mnada, leo wamasai ardhi yao imepigwa mnada kwa mwarabu,
Yaani anaondolewa mtanzania kwenye ardhi yake ya urithi anauziwa mwarabu aliyewahi kutuuza Kama ngongwe[emoji16] enzi za utumwa.
Ni ukweli kwamba rasilimali zetu Kama taifa zilishapigwa mnada, si madini,gesi,vitalu, ardhi yenye rutuba n k. Kilichobaki ni wanachi nao kuuzwa kwa Bei ya kuku.
Ngorongoro NI ardhi ya wamasai, tukikubali wauzwe leo kesho ardhi ya mgogo, mnyaturu, mchaga au mhaya itauzwa vilevile.
Raisi Samia na serikali yako acheni kutupiga mnada watanzania
Ole wao wauzaji na wanunuzi. Kuna siku itafika na watakimbia wote.
 
Hajauzwa mtu hapa kilichofanyika ni serikali kubadili matumiz ya ardhi Kama sheria inavyoruhusu, pia lengo la serikali ni kulinda ngorongoro isiendelee kuharibiwa na wamasai
Mkuu hawa Wana ajenda yao Ile ya MOVEMENT FOR CHANGE hadi Leo. Walianzaga kusema hela nyingi imetumika royo Tua sijui kufanyaje fanyaje... Hapa waliombea wawekezaji wasije wapate PA kuangukia.. Sasa wamekuja na unadodoreshwa na wafuga ngo'mbe hawatki Kuondoka wapishe uwekezaji eti ardhi yao. Ndo tunaomba watoe hati ili wasiondoke

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
 
Ardhi yetu imeuzwa sijui kwa waarabu, lakini hatuoni majeshi ya waarabu huko ngorongoro wakiwashambulia Wamasai, bali tunaona polisi wetu wa kitanzania wakiwashambulia Wamasai. Yaani sisi wenyewe ndio tunauana na kuumizana ili mwarabu aje akalie nchi yetu!
serikali hii na ccm na vyombo vyake vyote wamelaaniwa.
 
Na je, huo umaarufu umekuja wenyewe automatic?
 
Kwanini hao waarabu wako wasiende wao handeni
Huyu member mpya hapa jukwaani anaandika uharo balaa halafu NI chawa kinoma anatafuta chansi ya kuusogelea mzinga na yeye alambe asali pumbav kabisa
 
Nadhani kuna kipindi itabidi uende kupimwa afya ya akili. Hujui kuwa hujui unahorohoja tu
Hii post yenyewe iliyokukera nimeituma nikiwa hapa nje kwenye hospitali ya kupimia afya ya akili, nikiwa nimetoka kupimwa akili. Majibu yanasema mimi nina kichaa.
 
Ole wao wauzaji na wanunuzi. Kuna siku itafika na watakimbia wote.
Ni kweli lkn kwa Aina ya watanzania walivyo mpaka Sasa ninakuwa na mashaka kabisa labda MUNGU afanye miujiza
 
Mkuu hawa Wana ajenda yao Ile ya MOVEMENT FOR CHANGE hadi Leo. Walianzaga kusema hela nyingi imetumika royo Tua sijui kufanyaje fanyaje... Hapa waliombea wawekezaji wasije wapate PA kuangukia.. Sasa wamekuja na unadodoreshwa na wafuga ngo'mbe hawatki Kuondoka wapishe uwekezaji eti ardhi yao. Ndo tunaomba watoe hati ili wasiondoke

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
Kuwaondoa wamasai na kuwaleta waarabu ni ujuha mkuu
 
Sasa nini maana ya kuuzwa kama alienunua kashindwa kuleta ulinzi wake

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app

Atoe hela kisha apoteze muda kuleta askari wake, wakati kuna maaskari wanaofanya kazi robots huku? Yeye anachofanya ni kubonyeza remote tu manyani huku wanauana wenyewe kwa wenyewe.
 
Ondoa uzwazwa wako hapa !! This country is being sold by Samia, Jakaya and their gangsters !
Wamemaliza rasilimali zetu tumebaki mazwazwa tunakenuliana meno tu[emoji23][emoji23]
 
Atoe hela kisha apoteze muda kuleta askari wake, wakati kuna maaskari wanaofanya kazi robots huku? Yeye anachofanya ni kubonyeza remote tu manyani huku wanauana wenyewe kwa wenyewe.
Yeye anachofanya NI kubonyeza rimoti tu MANYANI huku wanauana wenyewe kwa wenyewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni kweli lkn kwa Aina ya watanzania walivyo mpaka Sasa ninakuwa na mashaka kabisa labda MUNGU afanye miujiza
Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake. Wahenga wanasema ogopa kabisa watu ambao ni wapole na watawala wanachukulia hilo kama ujinga na kuendelea na udhalimu.
 
Huyu member mpya hapa jukwaani anaandika uharo balaa halafu NI chawa kinoma anatafuta chansi ya kuusogelea mzinga na yeye alambe asali pumbav kabisa
Mkuu Poa 2 acha kushambulia watu shambulia hoja
 
Back
Top Bottom