Ardhi ya Tanzania inaendelea kupigwa mnada kwa spidi ya mwanga

Ardhi ya Tanzania inaendelea kupigwa mnada kwa spidi ya mwanga

Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake. Wahenga wanasema ogopa kabisa watu ambao ni wapole na watawala wanachukulia hilo kama ujinga na kuendelea na udhalimu.
Watanzania NI wapole waungwana na wastaarabu Sana ila siku za karibuni Kuna watanzania wachache waliokubali kutumika kuiharibu taswira ya nchi na pia uongozi wa Mama Samia wao NI kutukana kupinga Kila kitu na vuruguvurugu tu. Sasa serikali haiwezi kukaa kimya kuwaacha wapotoshaji wachache watuharibie nchi. Lazima wawajibishwe
 
Watanzania NI wapole waungwana na wastaarabu Sana ila siku za karibuni Kuna watanzania wachache waliokubali kutumika kuiharibu taswira ya nchi na pia uongozi wa Mama Samia wao NI kutukana kupinga Kila kitu na vuruguvurugu tu. Sasa serikali haiwezi kukaa kimya kuwaacha wapotoshaji wachache wayuharibie nchi
Umeachia uharo ambao siyo mara ya kwanza kusikia wajinga kama wewe wakijisaidia hadharani. Nikuambie: wanaopiga kelele wanaona mbali kwa sababu wanajua ujinga unaofanywa na serikali ni jambo la muda tu na siku wananchi waki-react wote tutakuwa kwenye mashaka na itachukuwa muda sana kurudi kwenye utulivu.
 
Umeachia uharo ambao siyo mara ya kwanza kusikia wajinga kama wewe wakijisaidia hadharani. Nikuambie: wanaopiga kelele wanaona mbali kwa sababu wanajua ujinga unaofanywa na serikali ni jambo la muda tu na siku wananchi waki-react wote tutakuwa kwenye mashaka na itachukuwa muda sana kurudi kwenye utulivu.
Wananchi hawawez kureact kwa maswala mhimu Kama haya ya kitaifa. Kutunza na kuilinda ngorongoro ndio wananchi wafikie kupigana?
 
Hodi humu ndani!!!
Naomba kutoa maoni yangu katika mada hii ambayo ina mustakabali mwema kwa wanannchi wenzetu, watanzania wenzetu wa jamii ya kimasai!!!

1. MWARABU
Kuna tetesi hizi za mwarabu kuuziwa eneo (je ni kweli ama kuchafua), na mwarabu huyu huyu ana eneo la uwindaji tayari. Cha kuweka wazi kabisa bila USHABIKI, UPENDELEO, UONEVU mojawapo ni Eneo zima la Loliondo, Eneo la kitalu cha uwindaji cha mwarabu, eneo la wananchi, umbali kutoka eneo la wananchi na kitalu cha mwarabu, Eneo la mpaka linalowekewa alama (beacons). Hii itatupa uelewa wa pamoja wa mwarabu kuhusishwa ama kutohusishwa.

2. MAASAI
Jamii ya kimasai ni jamii ya kifugaji na imekuwepo eneo hilo kwa miaka nenda na miaka rudi. Je wamasai waliopo ni idadi gani? sensa zinasemaje juu ya idadi yao na idadi ya mifugo yao? je hakuna JAMII ZISIZO WAMASAI WA ENEO HUSIKA kuvamia na kujifanya nao ni wamasai?? Je lugha ni moja? je koo zilizokuwepo toka kitambo ndo hizo hizo? Hakuna ujanjaujanja wa watu kutoka nchi nyingine na kujifanya watanzania ?

3. KENYA/HARAKATI/NGO'S
Kuna nini ///

4. WANYAMA
Je wanyama waliopo tuna uhakika ni wanyama wa wamasai wa Tanzania? na sio wa matajiri fulani walio nje na LOLIONDO kiasi kufanya idadi kuongezeka mno? (

5. ENEO vs. IDADI YA WATU NA MIFUGO

6. SHERIA NA MAENDELEO ENEO HUSIKA
 
Kama huna faida kwa Taifa, lazima tukupige mnada, ikiwezekana wewe na uzao wako.
Inatakiwa hata familia yako ipigwe mnada ili tuinunue make ni hasara kwa Taifa letu familia kama yako
 
Crater na oldvai gorge ndio maana ni eneo la Urithi wa Dunia
Swali langu limeku expose uwezo wako mdogo sana kwenye hili swala.
Kwanini mapango ya Angoni sio maarufu kama Ngorongoro? Kwanini michoro ya Kondoa Irangi sio maarufu kama Ngorongoro? Kwanini Ismila sio maarufu kama Ngorongoro?kwanini Kimondo cha mbozi sio? Au any other historical site?
 
Hizi kelele zingepigwa pia enzi zile za gas kule Mtwara
 
Swali langu limeku expose uwezo wako mdogo sana kwenye hili swala.
Kwanini mapango ya Angoni sio maarufu kama Ngorongoro? Kwanini michoro ya Kondoa Irangi sio maarufu kama Ngorongoro? Kwanini Ismila sio maarufu kama Ngorongoro?kwanini Kimondo cha mbozi sio? Au any other historical site?
Acha upumbavu wewe,ulitaka nijibu ujinga unaougikiria kichwani kwako kwamba Masai kuishi na wanyama ndio kumefanya kuwa maarufu?
 
Wanachi wengi hawakumwelewa yule bwana aliposema ipo siku tutapigwa mnada, leo wamasai ardhi yao imepigwa mnada kwa mwarabu,
Yaani anaondolewa mtanzania kwenye ardhi yake ya urithi anauziwa mwarabu aliyewahi kutuuza Kama ngongwe[emoji16] enzi za utumwa.
Ni ukweli kwamba rasilimali zetu Kama taifa zilishapigwa mnada, si madini,gesi,vitalu, ardhi yenye rutuba n k. Kilichobaki ni wanachi nao kuuzwa kwa Bei ya kuku.
Ngorongoro NI ardhi ya wamasai, tukikubali wauzwe leo kesho ardhi ya mgogo, mnyaturu, mchaga au mhaya itauzwa vilevile.
Raisi Samia na serikali yako acheni kutupiga mnada watanzania
Wamasai waamishiwe Zanzibar maana wao nikizutio Cha utali
 
Kila kitu sio kupinga tu, serikali Ina Nia njema kabisa ngorongoro ikiachwa iendelee kuharibiwa na wamasai basi miaka michache mbele hatutakuwa na ngorongoro
Upo sahihi wanao watetea hao masay ni kujitoa ufahamu tu
 
Ficha ujinga wako.
Ni ufiche wapi wakati huu ndo muda muafaka wakupigania haki za wakristo. Sasa kwa kuwa umenikera nitakutafuta ili uniambie usoni ni jinsi gani ya kuficha ujinga wangu. Nisubiri nakuja
 
Kelele zimekuwa nyingi sana. Na uhakika wa myasemayo wala haupo
 
Back
Top Bottom