Are spies made or born?

Huwa kuna mda maalum wa kumfuatilia mtu? yaani mwezi,miezi, mwaka au miaka?. Hapa simaanishi training nauliza mda wa kumchunguza mtu alieonekana kufaa. ni baada ya muda gani watakua wamepata kujiridhisha. kuna ukomo wa muda?
 
Je kuna ukomo wa kumfatilia mtu anaetakiwa?, yaani ni miezi mingapi inatosha kumpata mtu sahihi na kumjua undani wake?
 
Huwa kuna mda maalum wa kumfuatilia mtu? yaani mwezi,miezi, mwaka au miaka?. Hapa simaanishi training nauliza mda wa kumchunguza mtu alieonekana kufaa. ni baada ya muda gani watakua wamepata kujiridhisha. kuna ukomo wa muda?
 
Replying lee van cliff:
From what i know, informers huwaga hawana age limit as long as they could have access to the vital information...lakini hawa case officers huwa mwisho around 23-25 years of age!!!
 
Hapa tunaongelea HUMINT(Human Intelligence). Siku hizi espionage ime evolve sana. Electronic,signal na satellite imagery intelligence zimeshika kasi zaidi

MSS(Ministry of State Security) ya china imeiba siri nyingi sana kwa electronic hacking ukilinganisha traditional techniques za kuiba siri kwa kutumia Humint enzi za Cold War

Kwa mtazamo wangu naamini the future lies with electronic and satelite imagery intelligence. Mambo ya human spies yanapitwa na wakati pole pole

Ingekuwa vema kama Jeshi kushirikiana na TISS waanzishe project ya kuweka spy satellite huko juu either wa design from scratch au wanunue kihalali au wanunue through the black market. Nchi kama North Korea amabayo tuna uhusiano nao wa karibu wanaweza kutusaidia
 
Intelligence gathered through human channels still remains of precise accuracy na kuna baadhi ya taarifa zinahitaji utashi wa kibinadamu zaidi ili kuweza kuzipata na ambazo satellites haziwezi kuzikusanya kwa usahihi wake, sawa mkuu???!!!
 
Pole kwa kuwa pia umeangukia propaganda za waisrael kamsome ELI COHEN PIA KAMSOME DANNY YATOM WALIVYOFANYA BLUNDERS
 
Pole kwa kuwa pia umeangukia propaganda za waisrael kamsome ELI COHEN PIA KAMSOME DANNY YATOM WALIVYOFANYA BLUNDERS

Doing blunders doesn't necessarily reflect that you are weak...Issue ni kuwa yamefanywa mazuri mangapi kulinganisha na hizo blunders, sawa mkuu???!!!
 
doing blunders doesn't necessarily reflect that you are weak...issue ni kuwa yamefanywa mazuri mangapi kulinganisha na hizo blunders, sawa mkuu???!!!

it seems hujui maana ya blunder mkuu kwenye spying hakuna nafasi ya blunders kuna nafasi ya mistakes tu. Kuna agency nyingine nyingi tu ambazo ni bora kuliko mossad, wao wako na media ndugu kuwalaghai watu tu.
 
Sasa utasemaje hakuna nafasi ya blunders ilhali zinafanyika na wahusika hawawajibishwi???!!!
 
Labda anaongelea "error" !!!!
 
Sasa utasemaje hakuna nafasi ya blunders ilhali zinafanyika na wahusika hawawajibishwi???!!!

Kama kunafanyika blunders zinatambulika na hazifanyiwi kazi basi kuna uwezekano kuna virus ndani inayoendesha sabottage ya kimfumo!!!!

Kitu ambacho kinawezekana kabisa kutokana na mapandikizi au doubles!!!
 
Doing blunders doesn't necessarily reflect that you are weak...Issue ni kuwa yamefanywa mazuri mangapi kulinganisha na hizo blunders, sawa mkuu???!!!
Blunders connotes weakness if not sabottage or disguised opp
Yaani design ioneshe kama kulikuwa na blunder ili ku fake response na interpretation ya tukio lakini target inafikiwa kikamilifu kabisa!!
 
Mkuu wale jamaa kwa nchi za wenzetu huwa wanazaliwa wakiwa na baadhi ya attributes/tabia fulani hivi kisha wanaongezewa tradecraft/ujuzi wa kimafunzo...baada ya hapo weeee wanakuwa ni moto wa kuotea mbali...!

I think the foremost ability is the intelligence of the individual...the work does inlvolve alot of thinking, calmness and control to get things right. Sijui kwetu tunafanyaje ila naona kama ni nani anamjua nani...na si nani anamtafuta mtu wa aina gani aingie wapi.
 
Yeah lakini akiwa mzuri akili na mwili ambao utakubali tradecraft vizuri anaweza kuwa bora sana pia!!!
Nadhani akiwa na intellectual-psysco-somatic coordination nzuri zaid anaweza kuwa spy mzuri zaid!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…