Are spies made or born?

Are spies made or born?

Wanajua wao wanawatrain muda gani, mtu unaandaliwa kufanya kitu fulani mapema, ndio maana form three unachagua science, form five unachukua PCB ili Chuo ukasomee Udaktari, uwezi ukachukua HGL form five Chuo ukataka ukasomee Udaktari, maandalizi ni mapema, ingawa kwa hawa watu ni wao wanaokuappriciate na kukuingiza humo taratiibu mpaka unaiva na .kuwafaa, sio unajiingiza mwenyewe, unaamua kusomea mwenyewe .au kama unavyoenda kuomba kazi Bank, no, unaweza ukawa hata .mtu mwenye Masters, wasikufagilie, kwa kuwa hauwafai, lakini .wakamtrain form four leaver akawafaa, but unafuatiliwa muda sana .mpaka kuingizwa huku, hawakurupuki, yawezekana anayekufuatilia ni.. mwanafunzi mwenzako ama Mwalimu wako ambaye naye yumo .tayari
Huwa kuna mda maalum wa kumfuatilia mtu? yaani mwezi,miezi, mwaka au miaka?. Hapa simaanishi training nauliza mda wa kumchunguza mtu alieonekana kufaa. ni baada ya muda gani watakua wamepata kujiridhisha. kuna ukomo wa muda?
 
kimsingi hakuna aliyezaliwa nakusema kwa akili zangu hizi napaswa kufanya kazi ya kijasusi, uhasibu ualimu nk...

kuna mawazo mengi sana miongoni mwenu hasa juu ya hawa watu..na pengine wengine kudhani hawa watu wapo special kabis akwa kazi hiyo tu...
kimsingi mara nyingi wengi wao kwanza huwa hajui kama ana karama kutumikia kazi hii..mara nyingi watu hawa kwanza huonwa na watu wengine waliobobea kwenye fani hiyo ya ujasusi.. wakipendezawa na mamabo kadha wa kadha kwa mtu fulani na wakaona anazo ''potentials'' na anafiti criteria yao basi huanza kumfatilia kwa undani ili kujua dira na mweleko wa maisha yake yakoje na mambo mengine kama hayo.
mara nyingi mtu anayefuatliwa anaweza kuwa mtu mzima na elimu yake na anafanya kazi nyingine tofauti kabisa..pengine ni mhunzi, mwalimu , daktari, dreva tax, bar maid nk.. na asijue kabisa kuwa kuna watu wana agenda nae. kuna wengine wanatengenezwa wakiwa toto wadogo kabisa kuanzia wakiwa wachanga... hawa watakusanywa na kupelekwa ''shambani'' ambako watalelewa na kufundishwa kila aina ya vitu lugha, itkadi mbalimbali kwa madhumuni na malengo maalumu.. wakishai iva vizuri wanatumika meneo mbali mbali nje na ndani ya nchi

ki msingi kuna sifa za kuingi katika kundi hili...si kali mtu anaweza kuingi..kuna wengi wanatamani sana kujua na kuingia huku lakini kwa kuwa hawana sifa ama uwezo basi wanaishia kutamani tu am pengine kujifanya kama na wao ni wa kundi hili...kuna wengine mpaka wanaghushi na kupatia pesa kwa njia hiyo kisa akili yake inatamani kufanya kazi hiyo na hana lakini hana sifa...hawa ni wengi ndio hao kila uchao mnasikia afisa usalama feki akamatwa...ndio hao kila uchao anajesema mimi ni afisa usalama nk..wale walioiva na wanaojua kai hii na wlaiomo hata siku moja hwezi kusikia anajidai hadharani au bar...labda kama maadili yamebadilika na miiko haifatwi...

nitataja baadhi ya sifa kwa kifupi sana ambazo kimsingi kila mtu anazo ila zinatofautiana kiwango cha kuelewa mambo nk

1. lazima mtu huyu awe na uwezo wa kuchunguza jambo..lazima akili yake iwe ina rekod mambo na matukio haijalishi yuko wapi na anafanya nini..

2. ni lazima pia awe na kumbukumbu nzuri..hili ni tatizo la wengi sana..wengi vijana wa siku hizi wanaangukia kundi la
7+_ 2 ...maana yake ni kwamba ukimuuliza mtu ataja sifa za jambo fulani (mfano sifa kuu za maji au matumizi yake) anaweza akakutajia sifa tan na akijitahidi sana anaweza kufuka tisa lakini si zaidhi ya hapo.. jasusi lazima awe na kumbukumbu ya hali ya juu kabisa...mtu hana haauwezo wa kushika namba sita za simu za watu tofauti halafu analilia kuwa jasusi....hili haliwezkani..lazi kumbukumbu iwe ya hali ya juu vinginevyo huwezi kazi hii

3. siku zote jasusi anatumia mantiki (logic) kuelewa mambo, vitu ..sifa hii ni muhimu sana..lazima ajuwek kwa nini hiki kiko hivi na hiki kiko hivi na pia lazimaajue namna ya kukibadili kuwa kati muonekanao mwingine tofauti na wa awali si katika muonekano bali katika ufahamu pia..

4. jasusi lazima ajue kubadilika kulingana na mazingira na watu wanaomzunguka, nini wanataka , ni watu wa aina gani hii tamsaidiaaenende vipi katika mazingira hayo..jasusi lazima ajue kucheza na hisi za watu...

5. lazima ajue kujifunza na kusikiliza milango yote ya fahamu na achambue kwa haraka nin cha kufanya kama yu katika hatari...katika ubongo wa binadamu kuna maelekezo mengi sana yanayomuonya binadamu juu ya hatari yoyote..lazima uyasikilize hayo ...

6. lazima asiwe mkurupukaji katika katika kufnaya maamuzi ya jambo lolote..

7..uwezo wa kutunza siri lazima uwe mkubwa....hili ni tatizo hasa kwa wengin wengu...wengi hamna chumba cha siri na hamjui kuweka mambo chini ya kitovu.

kwa kifupi ziko sifa nyingi sana juu ya watuwa kundi hili...sasa mtu anawez kuw ana sifa nyingi zote hizo hapo juu na akaoenkana anafaa lakini baada ya kupatikana na akaanza kufanyiwa usaili hasa juu ya psychology yake anaweza kuonekana ahafai...kuna series ya test nyingi sana nyingi mno upande huu ili kuona kama kweli huyu mtu anafaa nk..ukifanikiwa kupita test zote basi utafaa ukifeli hata moja basi hufai...

kwa hiyo kujibu swali la huyu muuliza swali kwamba ni lazima mtu awe na akili ya kutosha nailiyotulia IQ yake iwe juu...hivi ni vitu tunavyozaliwa navyo lakini tunaweza kujifunza na kuviendeleza vipawa kama tutapitia makuzi sahihi na mazingira rafiki.basi ukibahatika kuonekana na ukaonwa basi utafundishwa namna ya kutumia vipawa vyako.
huwa tunasema we choose the right people not necessarily the best one...

walau kidogo nimesaidia

Je kuna ukomo wa kumfatilia mtu anaetakiwa?, yaani ni miezi mingapi inatosha kumpata mtu sahihi na kumjua undani wake?
 
Wanajua wao wanawatrain muda gani, mtu unaandaliwa kufanya kitu fulani mapema, ndio maana form three unachagua science, form five unachukua PCB ili Chuo ukasomee Udaktari, uwezi ukachukua HGL form five Chuo ukataka ukasomee Udaktari, maandalizi ni mapema, ingawa kwa hawa watu ni wao wanaokuappriciate na kukuingiza humo taratiibu mpaka unaiva na .kuwafaa, sio unajiingiza mwenyewe, unaamua kusomea mwenyewe .au kama unavyoenda kuomba kazi Bank, no, unaweza ukawa hata .mtu mwenye Masters, wasikufagilie, kwa kuwa hauwafai, lakini .wakamtrain form four leaver akawafaa, but unafuatiliwa muda sana .mpaka kuingizwa huku, hawakurupuki, yawezekana anayekufuatilia ni.. mwanafunzi mwenzako ama Mwalimu wako ambaye naye yumo .tayari
Huwa kuna mda maalum wa kumfuatilia mtu? yaani mwezi,miezi, mwaka au miaka?. Hapa simaanishi training nauliza mda wa kumchunguza mtu alieonekana kufaa. ni baada ya muda gani watakua wamepata kujiridhisha. kuna ukomo wa muda?
 
Sijui kama nchi ikikosa spies, itakuwa salama vya kutosha, wanatusaidia sana wanapofanya mambo ya kuilinda jamii kikweli dhidi ya watu hatari, but wanapofanya tofauti na hapo, kuwadhuru watu wasio na hatia kwa manufaa ya mtu fulani mkubwa(kigogo), ndipo wanapoenekana kuwa ni wabaya na hawafai, .but wana umuhimu wanapofanya mambo ya kuisaidia jamii kikweli[/.QUOTE] Umri wa mwisho mtu kuwa recruited ni miaka mingapi?
 
Replying lee van cliff:
From what i know, informers huwaga hawana age limit as long as they could have access to the vital information...lakini hawa case officers huwa mwisho around 23-25 years of age!!!
 
Hapa tunaongelea HUMINT(Human Intelligence). Siku hizi espionage ime evolve sana. Electronic,signal na satellite imagery intelligence zimeshika kasi zaidi

MSS(Ministry of State Security) ya china imeiba siri nyingi sana kwa electronic hacking ukilinganisha traditional techniques za kuiba siri kwa kutumia Humint enzi za Cold War

Kwa mtazamo wangu naamini the future lies with electronic and satelite imagery intelligence. Mambo ya human spies yanapitwa na wakati pole pole

Ingekuwa vema kama Jeshi kushirikiana na TISS waanzishe project ya kuweka spy satellite huko juu either wa design from scratch au wanunue kihalali au wanunue through the black market. Nchi kama North Korea amabayo tuna uhusiano nao wa karibu wanaweza kutusaidia
 
Intelligence gathered through human channels still remains of precise accuracy na kuna baadhi ya taarifa zinahitaji utashi wa kibinadamu zaidi ili kuweza kuzipata na ambazo satellites haziwezi kuzikusanya kwa usahihi wake, sawa mkuu???!!!
 
Kama unataka kuwa na good spies then nilazima iwe ni kwa kuzaliwa na ukiangalia dola la wa israel ina spies wazuri sana duniani na hata dunia inatambuwa hilo why kwakuwa ipo ktk damu yao ukimpata mtu ali spies kwa kuzaliwa ni fanisi kuliko wakumtengeneza

Pole kwa kuwa pia umeangukia propaganda za waisrael kamsome ELI COHEN PIA KAMSOME DANNY YATOM WALIVYOFANYA BLUNDERS
 
Pole kwa kuwa pia umeangukia propaganda za waisrael kamsome ELI COHEN PIA KAMSOME DANNY YATOM WALIVYOFANYA BLUNDERS

Doing blunders doesn't necessarily reflect that you are weak...Issue ni kuwa yamefanywa mazuri mangapi kulinganisha na hizo blunders, sawa mkuu???!!!
 
doing blunders doesn't necessarily reflect that you are weak...issue ni kuwa yamefanywa mazuri mangapi kulinganisha na hizo blunders, sawa mkuu???!!!

it seems hujui maana ya blunder mkuu kwenye spying hakuna nafasi ya blunders kuna nafasi ya mistakes tu. Kuna agency nyingine nyingi tu ambazo ni bora kuliko mossad, wao wako na media ndugu kuwalaghai watu tu.
 
Sasa utasemaje hakuna nafasi ya blunders ilhali zinafanyika na wahusika hawawajibishwi???!!!
 
Labda anaongelea "error" !!!!
 
Sasa utasemaje hakuna nafasi ya blunders ilhali zinafanyika na wahusika hawawajibishwi???!!!

Kama kunafanyika blunders zinatambulika na hazifanyiwi kazi basi kuna uwezekano kuna virus ndani inayoendesha sabottage ya kimfumo!!!!

Kitu ambacho kinawezekana kabisa kutokana na mapandikizi au doubles!!!
 
Doing blunders doesn't necessarily reflect that you are weak...Issue ni kuwa yamefanywa mazuri mangapi kulinganisha na hizo blunders, sawa mkuu???!!!
Blunders connotes weakness if not sabottage or disguised opp
Yaani design ioneshe kama kulikuwa na blunder ili ku fake response na interpretation ya tukio lakini target inafikiwa kikamilifu kabisa!!
 
Mkuu wale jamaa kwa nchi za wenzetu huwa wanazaliwa wakiwa na baadhi ya attributes/tabia fulani hivi kisha wanaongezewa tradecraft/ujuzi wa kimafunzo...baada ya hapo weeee wanakuwa ni moto wa kuotea mbali...!

I think the foremost ability is the intelligence of the individual...the work does inlvolve alot of thinking, calmness and control to get things right. Sijui kwetu tunafanyaje ila naona kama ni nani anamjua nani...na si nani anamtafuta mtu wa aina gani aingie wapi.
 
Yeah lakini akiwa mzuri akili na mwili ambao utakubali tradecraft vizuri anaweza kuwa bora sana pia!!!
Nadhani akiwa na intellectual-psysco-somatic coordination nzuri zaid anaweza kuwa spy mzuri zaid!!!
 
Back
Top Bottom