Yeah lakini akiwa mzuri akili na mwili ambao utakubali tradecraft vizuri anaweza kuwa bora sana pia!!!
Nadhani akiwa na intellectual-psysco-somatic coordination nzuri zaid anaweza kuwa spy mzuri zaid!!!
Ni kweli...competence at the highest levels of stress, and without losing the calmness in order to execute the work sio kitu rahisi na cha kurithiana kama inavyoonekana huku kwetu.
Ni kweli...competence at the highest levels of stress, and without losing the calmness in order to execute the work sio kitu rahisi na cha kurithiana kama inavyoonekana huku kwetu.
Ha ha haa nimeipenda jinsi unavyoweka "litmus paper" yako kwenye kimiminika cha "kurithiana"!!!!
Uko sawa kaka
Pole kwa kuwa pia umeangukia propaganda za waisrael kamsome ELI COHEN PIA KAMSOME DANNY YATOM WALIVYOFANYA BLUNDERS
it seems hujui maana ya blunder mkuu kwenye spying hakuna nafasi ya blunders kuna nafasi ya mistakes tu. Kuna agency nyingine nyingi tu ambazo ni bora kuliko mossad, wao wako na media ndugu kuwalaghai watu tu.
Zamani enzi za mwl ulikuwa spotted kuanzia primary ila huambiwi kwa umri ule. Wakuu wengi wa shule walikuwa usalama!!! then unaendelea kufuatiliwa hadi sekondari na chuo wanakupasulia jipu!!! kinachoendelea hapo nameza.
Aliyeandika kitabu cha By way of Deception, alikuwa jasusi wa Israel aliyebebeshwa makosa ya wakubwa wake. Blunders/mistakes ni kitu kinachotegemea nani amesimamia wapi kwa mtazamo wangu. Human nature has got both...for spies and even highly decorated army generals...
Husema maji hufuata mkondo au mtoto wa nyoka ni nyoka. Mimi ninadhani hii misemo miwili ina apply zaidi kwenye tasnia kama za muziki,kandanda,uigizaji.nk.
But when it comes to the game of spying, it's a whole different storry na hiyo misemo haina application yoyote hapa wakuu.
Food for thought!!!!
this is real talk mkuu OLESAIDIMU kwa sababu unaweza kukuta katika familia watu wanatabia zinazofanana lakini mienendo yao kila mmoja yaani ni tofauti kabisaaaa na hii huchangiwa zaidi na mazingira. Criteria zilizokuwa zikitumiwa wakati wa mwalimu wakisema wazitumie tena kwa sasa kati ya vijana 100 wanaweza pata vijana wa-3 tu wanao fit in!!!!
Wud prefer a half full than a half empty vessel sort of sampling if at all the aim is to get it filled rather than emptying!!!!!
okey sasa nimekusoma mkuu. kumbe issue ni kujaza tu idadi bila kujali hao watu wana nini vichwani mwao???
Mmmh cant co sign with this argument of yours directly unless you can assert beyond reasonable doubts regarding your hypothesis!!!
sawa!!!
kwa tz hawa wanao under-perfom sidhani kama wanapatikana kwa njia hiyoWanajua wao wanawatrain muda gani, mtu unaandaliwa kufanya kitu fulani mapema, ndio maana form three unachagua science, form five unachukua PCB ili Chuo ukasomee Udaktari, uwezi ukachukua HGL form five Chuo ukataka ukasomee Udaktari, maandalizi ni mapema, ingawa kwa hawa watu ni wao wanaokuappriciate na kukuingiza humo taratiibu mpaka unaiva na kuwafaa, sio unajiingiza mwenyewe, unaamua kusomea mwenyewe au kama unavyoenda kuomba kazi Bank, no, unaweza ukawa hata mtu mwenye Masters, wasikufagilie, kwa kuwa hauwafai, lakini wakamtrain form four leaver akawafaa, but unafuatiliwa muda sana mpaka kuingizwa huku, hawakurupuki, yawezekana anayekufuatilia ni mwanafunzi mwenzako ama Mwalimu wako ambaye naye yumo tayari
You were born smart, or made???!!!
kwa tz hawa wanao under-perfom sidhani kama wanapatikana kwa njia hiyo
Ha ha haaaa sawa mkuu! !!!who knows i'm smart??? i am a normal human being with the optimal intelligence and fully working mind.
kwa tz hawa wanao under-perfom sidhani kama wanapatikana kwa njia hiyo