Are spies made or born?

Katika zama hizi intelligence assasination activities nyingi zipo outsourced kwa private contractors au Organized crime gangs

Ni nchi chache sana za dunia ya kwanza ambazo zina overt assasination units mfano ni Kiddon ya Mossad

Governments wana outsource hizi "wet jobs" ili kujenga hali ya plausible deniability
 

Ukisema dunia ya kwanza una maanisha kuna nyingine pia???!!!
 

From what i know Private Hit men for hire wengi huwa ni majajusi wastaafu wa serikali au ni hawa ambao bado wapo kazini (in service) lakini huchukua contracts za pembeni just as supplementary jobs. I recall this from CNN interview with one of the Hit men belonging to the notorious Mexican drug cartel.
 

Was he just a member from the notorious drug cartel ???!!
How does it connect with the concept of "retired or inservice" "from what you know"???!! Sir
 
Was he just a member from the notorious drug cartel ???!!
How does it connect with the concept of "retired or inservice" "from what you know"???!! Sir

From his personal accounts of the matter, he doesn't seem to have any direct connections with the cartel rather than being called upon whenever the demand for his service arises!!!
 
Mkuu OLESAIDIMU jaribu kuwa unaniombee majibu ya darasa la saba yakitoka nisichaguliwe boarding school yoyote nitai-miss sana jf aisee...kule hawaruhusu simu wala hakuna computers nataka niende either Azaboy au Kibasila!!!
Bora hata wewe la saba kaka mie la tano hapa natumia simu ya blaza yuko aliiacha alipoenda JKT hivi kapitia kumuona babu ndio maana nipo hapa akirudi ndio baas tena
 
From his personal accounts of the matter, he doesn't seem to have any direct connections with the cartel rather than being called upon whenever the demand for his service arises!!!

If we are allowed to go beyond and deduce from his personal accounts???!!!!
 
Guys, you may also want to read "Agent Storm; My life inside Al Qaeda" for you to get a much more broader knowledge. You can google it as well.
 
mkuu sijakuelewa vizuri hapa. naomba ufafanuzi zaidi katika hili
 

Saluti mkuu. Heshima yako Agent teh teh. From maelezo yako inaonekana baba yako alikuwa Usalama. Na wewe upo Usalama. Vp ulifanikiwa mission ya kwenye Balcony? Noana mzee alikuwa anajaribu ku recruit his own kids teh teh
 
Nafikiri skilled analyst wanatakiwa pia licha ya hizo technolojia. Humint ni powerful sana. Hizo technolojia ni kwa ajili ya kussuport Humint. You can't have a strong intellingence agency without soldiers (Agents)
 
Mbunge mmoja tanzania ni agent wa BND
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…