Are spies made or born?

Are spies made or born?

ukiangalia phychology ya watu mtaani kuwa TISS kwao ni kufanya watakayo bila kuhojiwa hata na polisi, kutuma vimemo na mshahara mzuri. yaani ni ubinafsi umejaa kwenye nafsi za watu. utakuta mtu anaogopwa akisadikiwa kuwa ni usalama wa Taifa na ndio fraudsters wanatumia huo mwanya kuwaadaa watu mtaaani ili waogopeke.
 
Kuna shule nzito sana hapa. Picked bunch of lessons. By the way, hivi intelijensia yetu ipo huru kiitikadi? Kwamba transition ya madaraka kutoka kundi la mrengo mmoja kwenda kwa jingine yaweza fanyika na loyalty ya idara isiyumbe? Najaribu kuangalia CIA kule USA (Republican vs Democrats) n.k

Soma sheria inayoiunda ya mwaka 96 utagundua n kisasa yaan wakat wa vyama vingi ten a mapema baada ya mrema kuitikisa ccm 95 haikuchukua muda mrema na wenzie wakagawana bendera 2000 cuf wakashika ubongo wa mtz haikuchukua muda ikawa ccm b mwishon mwa 2005 ambapo wadau pia wakachoka tena hususan waliomuua au walioshuhudia nyerere na kuiua tlp na nccr na cuf
Wakampa ccm Za uso Kwa epa, dowans,buzwagi, meremeta, radar, madawa Kwa kumuamin Dr chama chake wakaanza harakat tangu 2006 wapo wanadunda mpaka leo
Democrats na republican waligawana wazururaj vibaraka na harakat Kwa kuwa na wasomi huku na matajir kule
It's true they born and made to be
 
Mkuu wale jamaa kwa nchi za wenzetu huwa wanazaliwa wakiwa na baadhi ya attributes/tabia fulani hivi kisha wanaongezewa tradecraft/ujuzi wa kimafunzo...baada ya hapo weeee wanakuwa ni moto wa kuotea mbali...!

huu msemo wa nchi za wenzetu hua unaboa sana hasa anapousema mwanaume
 
Spies are made, unaweza zaliwa intelligent lakini kuna skills unakosa. Ile ni kazi, kila kazi ina necessary skills you must be equipped with. Ndo maana kuna training za miaka na miaka, na ndo maana hakuna super spy, maana kila jamii ina skills zake na namna ya kuinflitrate, no wonder shirika la kijasusi la Pakistan ni no 1 duniani na sio nchi kama marekani. Vipaji vinapishana, lakini mtu anaweza kuwa mzuri katika sekta hii akazidiwa ingine
 
Haya bwana...ninashukuru kwa huu Uzi. Ninaamini mnafahamu mtu anayetoka usingizini huwaje.

Nina ombi moja.

Mnisaudie nijifahamu
 
Haya bwana...ninashukuru kwa huu Uzi. Ninaamini mnafahamu mtu anayetoka usingizini huwaje.

Nina ombi moja.

Endelnisaudie nijifahamu
 
Haya bwana...ninashukuru kwa huu Uzi.

Ninaamini mnafahamu mtu anayetoka usingizini huwaje.

Nina ombi moja.

Endeleeni kunisaudia nijifahamu, tafadhali.
 
We sio mtayarishaj we unataka kutengenezwa
We ni kundi la tatu b
 
Huwa tunazaliwa na skills hizi na tiss agents huwa wanapendekeza a being to trust.
 
Hivi mishahara yao inakuaje?
Inatoka serikalini?
Wana Ac za bank?

Na huwa wanakwenda vp ofisini ili watu wengine wasiwaone?

Vipi kuhusu bodi yao, huwa wanatimiziwa kilakitu kias cha kwamba hakuna malumbano wala migomo ndani ya taasisi yao?

Na je, huwa wanaongelewa bungeni? Au matatizo yao wanayatatua kimya kimya? Mfano upungufu wa vifaa vya mawasiliano?

agents wengi hufanya kazi katika idara za serikali na panapotokea hupokea commissions kwa leads wanazotoa; ila kuna spys katika private sectors na kuna idara 2 tu ambazo zipo chini ya ofisi ya rais ikiwemo tiss na pccb; so budget yao inategemea ofisi hiyo; kuna informants (watoa taarifa) hawa sio spys kwa kuajiriwa ila hufanya kazi za idara kwa kutoa taarifa muhimu kila mara; hulindwa na hupewa commission pia kwa kila kazi
 
leo ni na ka nafasi kidogo na hivyo tunaweza kupeana mawili matatu baada ya kazi nzito ..

ndugu zangu kila mmoja amepewa karama yake na karama hizo zaweza kuwa moja au zaidi kutegemea na mtu mwenyewe anazitumia vipi karama hizo..Mungu amempa mwanadamu uwezo mkubwa sana katika ubongo na akili yake ili viwezi kumsaidia kufanya kile ambacho anaamini ...

Uchambuzi wa taarifa ni kitu ambach anakifanya kila mmoja wetu katika maisha ya kila siku ...na ni katika kuchambua taarifa hizo ndiko kunakotufanya/kufanya uwe kama ulivyo...sasa hili linakwenda sanjari na makuzi ya mtu na uwezo wake kwa ujumla...
hivyo hivyo hata katika kuchambua taarifa za kijasusi...si kila mtu anaweza kuchambua taarifa za kijasusi..hata kama yumo ndani ...

uchambuzi wa taarifa ni kitendo cha kutafsiri vipande vya taarifa zilizokusanywa katika muundo wowote na kuwa kitu kinachoweza kutumika kwa ajili y amanufaa ya jamii, jeshi, kwa kupitia kwa watunga sera (serikali)..taarifa zinapokusanywa na ''vijana'' ni lazima zipelekwe kwa wachambuzi ili kuzichambua na kuona ni namna gani ya kutatua tatizo...wachambuzi taarifa hizo ni lazima wawe wamebobea katka fani hiyo lakini pia ni lazima wasaidiwe na technolojia ili iwasaidie kufanya uchambuzi makini kwa ajili ya manufaa ya taifa zima..

Matukio mabaya yanaweza kulikumba taifa iwapo uchambuzi wa taarifa utafanywa pasipo kufata weledi wa taaluma na hvyo kuliingiza taifa kwenyr machafuko...zipo sababu zinazoeza kuliingiz taifa kwenye matatizo iwapoiwap wachambuzi hawatatumia weledi wa taaluma yao ipasavyo sababu hizo ni kama zifuatazo:

1.. kupuuzwa kwa taarifa
taarifa muhimu na zenye mashiko zinaweza kukusanywa na kuwakilishwa kwa ajili ya kufanyiwa uchambuzi lakini wachambuzi wakapuuza taarifa hizo kuzifanyia kazi na hivyo nchi ikaingia kwenye machafuka sababu kubwa ikawa ni kupuuzwa kwa taarifa muhimu

2.kukosea kucmabua taarifa na tafsiri yake (Misinterpretation)
hiyo ni sababu nyingine inayiweza kupelekea taifa kuingia kwenye machafuko..taarifa zinazokusanywa kama zizipofanyiwa uchambuzi wa kutosha na kutafsiriwa barabara basi tatizo la msingihalitatatuliwa..ili uchambuzi ufanyike sawasawa ni lazima wachambuzi watumie vifaa vya kisasa(technology) ili kurahisisha kazi..

3...kukusanya taarifa na kutoa majibu ili kukidhi haja ya watawala (subordination of intelligence to policy)

kama wachambuzi wa taarifa watafanya kazi yao na kutoa ripoti isiyoakisi ukweli ili kukidhi na kuwaridhisha wakubwa ni lazima taifa litaingia kwenye mgogoro.ni lazima wachambuz watoe majibu yanayoakisi ushaidi uliopo na sio kukidhi haja za watawala..na hili huwa ndilo kosa kubwa lilipelekea nchi nyingi kuingia kwenye machafuko

4..kukosekana kwa taarifa katika mda mwafaka na mahali sahihi..
hili nalo ni tatizo kubwa sana..taifa linaweza kuingia kwenye machafuko kwa sababutarifa sahihi hazipo zinapotakiwa kuwa kwa mda mwafaka..taarifa zinaweza kuwa kwenye moja ya idawa na idara hiyo isipeleke taarifa hizo kunakohusika..hii hutokana hasa palendnai ya idara kuna kugombania madaraka (kila idara inajiona iko juu) na hivyo idara yenye taarifa kutumia kigezo cha kuficha taarifa kama silaha juu ya idara nyingine..lakini pia inawezekana idara moja ikawa na taarifa lakini sijue wapi pa kuzipeleka yauchambuzi au idara inaweza kupuuza juu ya taarifa zilizopo..hili nalo ni tatizo maana kupuuzwa kwa taarifa hata kama ni kidogo kunaweza kuathiti uchambuzi na hivyo machafuko kutokea....

5... kufanya uchambuzi kwa kufananisha matukio( mirror-imaging)

tatizo hili ni kubwa ..kufikia hatua ya uchambua taarifa kwaa misingi ya kufannanisha matukio ni jambo baya sana..kila taarifa ina uzito wake na hivyo inastahili kuchambuliwa kwa uzito wake na kutokufananishwa na matukio yaliyopita..kwa kufnaya hivyo taarif aya mwisho itakuwa haiakisi ukwlei na uhalisia ..
kushindwa kuchambua taarifa kwa kufananishwa matukio ni sababu kubwa ya kushindwa kuchambua taarifa za kiintelinjensia...

hizo ni baadi ya sababu zinazoweza kupelekea uchambuzi wa taarifa za kijasusi kwenda mrama..nadhani nimekidhi haja ya mmoja wa wanajukwaa aliyetaka kujua jambo hili lakini pia na wengine
 
Kuna kitu kinaitwa kutumika
To have two bosses
 
yapo mambo utafundishwa lakini yapo mambo pia unatakiwa kutumia akili na utashi wako binafsi katika kufanya maamuzi sahihi..sasa eneo la ulinzi binafsi ni lazima kila mmoja aliingatie kulingana na aina ya maisha yake na kazi anayoifanya...siku hizi watu wengi urafiki wao umeunganishwa na pesa yaani ili wawe marafiki pesa ndio kiunganishi katika maisha yao..wapo wengine wamefikia hatua ya kudumia urafiki kwa kiunganishi hicho lakini pasipo kujua dhima nzima aliyonayo mwenzake..na ndio maana kuna watu wameuana na kudhulimiana lakini pia wpao wengine ambao baada ya mmoja wao mamb yake kwenda mrama basi hata yule rafiki yake aliyemwamini anamtupa..

yote hii inatokana na sisi binadamu kutoruhusu na wala kuipa nafasi akili ifanye kazi ya kuchambua taarifa lakini pia wengi wetu hatusikilizi hisia na makatazo tunayopewa toka ndani ya nafsi zetu...sasa ninaposema ulinzi binafsi ni muhimu kwakila mtu..

kwa upande wa jasusi ni lazima awe makini mda wote na mahali anapoishi ni lazima ahakikishe ni salama na kuna ulinzi binafsi wa kutosha.. ndani ya nyumba ndio mahali anapopumzika, anapotunzia vifaa vyake vya kazi ambavyo ndivyo vinamtambulisha namna alivyo..na pi ni hapo hapo nyumbani ndipo anaposhiriki na wapendwa wake..

kwa hiyo ni lazima jasusi asikilize hisia zake za ndani na kama atahisi jambo lolote ambalo haliko swa ni lazima afikilie njia mbada za kujilinda zaidi.njia zifuatazo zaweza ktumika:

1..atengeneze njia ya siri ya kumwangalia adui au yeyote anayefika kwenye makazi yake tokea ndani (spotlight)

2..watu wasiofahamiha background zao wasiruhusiwe kubaki nyumbani..

3..anaweza kufunga camera na akarekodi kila kinachotokea ndani ya nyumba na nje ya nyumba

4.. lazima ndnai ya nyumba pawe na mahli pa siri pa kuhifadhia silaha lakini pia ni muhimu sana awe na begi ambalo vitu vyote muhimu vinakaa..na pindi kinapotokea chochote anachukua begi hilo na kuondoka.. lazima ahakikishe halifunguliwi na mtu mwingine..

5kama kuna nyaraka anahifadhi ndnai ya komputa ni lazima ahakikishe haziibiwi kwa namna yoyote ile..anaweza kutoa hard disk kila arudipo nyumbani na kuihifandhi sehemu salama anayojua yeye peke yake..

6 arudipo nyumbani toka kwenye matembezi yake ni lazima aangalie mazingira ya nyumbani kwake kabl ya kuingia ndani.. hapa mambo ya kuzigatia ni haya:

---lazima kuangalia vifaa vya umeme vilivyo ndani ya nvyumba mfan tubelight,saa ya ukutani kama ipo..viu hivi huenda vikawa vimepandikizwa vifaa vya kunasia sauti kwa hiyo ni muhimu kuhakikisha viko salama

.....wakati wa kupiga simuu au kupokea simu kama kutakuw ana kelel zisizo za kawaida basi lazima atilie shaka maana huenda mawasiliano yakawa yanasikilizwa na upande wa tuatu

....televhishen na radio hasa zilizo ndnai ya gari ikiw akuna mwingiliano wa mawimbi usioeleweka hii inamanisha tyari kuna uwezekano ameingiliwa katika mawasiliano ..huenda wireless macrophne imepandikizwa ndaniya vifaa hivyo na inarekodi mawasiliano yote anayofanya

....jasusi lazima awe mwangalifu anapopewa vitu vya bure mfano kalamu, saa nk..huenda vitu hivyo vikawa na vitu vya kunasia sauti na kuyapeleka kwa adui

...mtu yeyote asiruhusiwe kuingia kwenye makazi ya jasusibila sababu za msingi......wale wote walio karibu nae ni azima wafike hapo kwa taarifa na nani ya mda mwafaka..

..mafundi wote wae wawe wa ujenzi, umeme nk wafanye kazi chini ya uangalizi maalumu na kwa karibu zaidi.....

sasa wakati jasusi anaweka mazingira hayo ni lazima jasusi nae akwa fiti katika kujilinda ni lazima ajue kutumia vifaa vinavyomzunguka katika kujilinda pindi awapo katika hatari pasipo kuathiri mwili wake..ni lazima jasusi alinde mwili wake hasa maeneo hatari na atumie maeneo hayo hayo katika kumshambulia adui...maeneo hayo ni macho,masikio, pua, shingo na koromeo,tumbo na chembe cha moyo,korodani,magoti...

jasusi anaweza kutumia vifaa vinavyomzunguka kujilinda na kujihami mfano wa vifaa hivyo ni

gazet, kalamu,maji ya moto,chupa,mkanda, kiti, kifaa cha kuwshia sigara, koti( koti siyo kwamba ni silaha bali ni kinga dhidi ya adui..jasusi anaweza kuvua koto lake na kumtupia adui usoni na hivyo ikawa rahisi kumdhibiti

pafyumu...hii nayo ni kinga katika kundibiti adui...unaipuliza kwenye macho ya adui na pua na hivyo kumpetezauelekeo..dawa ya rungu na nyinginezo zinaweza ktumika

kitu kingine ni fire extinguisher...hii nayo inaweza ktumika katika kukabiliana na adui...toch nayo ni silaha nyingine, funguo,mkasi au spana na ya pia bunduki..jasusi lazima ajue kutumia bunduki aina zote zizizoko nchini mwake nahata nje ya nchi..ni muhimu sana...

si jasusi pekee anatakiwa kuwa mwangalifu bali kila mmoja anatakiwa kuwa mwangalifu.. utasikia mtu flani maarufu kapigwa risas akiwa kwenye geti lakuingia kwake...mara utasikia mwingine amekutwa ndani amekufa..mwingine utasikia amegongwa na gari au gari yake imepata ajali na akapoteza maisha...mambo haya hayatokei hivi hivi
 
Bila shaka wote mu wazima wa afya. kama heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kama uwezo wa hawa watu huwa ni wa mafunzo au wanazaliwa wakiwa tayari na hizi attributes?

Ninawasilisha.

they are made...... Kitu chochote kinatokana na nguvu ya umakini... "popote unapoelekeza umakini wako panakua"..... Ukijua jinsi akili ya mwanadamu inavyofanya kazi utagundua kuwa spies can be made... hata wewe unaweza kujitengeneza mwenyewe ukawa spy
 
you are right...kuna maneno mwalimu wetu aliwahi kutwambia na na aliyapenda sana alikuwa akisema hivi '' when you control your thoughts you controlyour mind, when you control your mind you control your life, once you reach a stage of being in total control of your life you become the master of your own destine...umakini katika jambo lolote ni kitu cha muhimu sana...huko mwanzo nadhan page 4 ya mada hii nilisema hakuna anayezaliwa na kufiti kweye kazi flani pasipo kupitia mafunzo yoyote....

wakati tuko vijana mzee wetu alipenda ktufindisha vitu vingi sana wakati ule tuliona kama havifai hivi....mtaa tuliokuwa tukikaa ilikuwa ni maeneo ya watu wenye nafasi zao za kutosha nk..mzee wetu alikuwa akitwambia mimi na mdogo wangu ..siku moj akasema nataka mniambie ndani a ile nyumba ya tatu kuna watu wangapi wanaishi mle na mkadirie na umri nawapa wiki nzima...sasa ndani ya wiki moja tulikuwa tuna kazi hiyo ya kujua na alitwambia sitaki mwende pale mkaonekana na mkaulize haya niliyowambia tumieni akili zenu kujua ....

basi kwa kuwa ilikuwa ni kazi ilibidi tufanye..kufanyika kwake ilikuwa ni kuangalia hasa wakati wakifua nguo wakianika...zile nguo tuliweza kuziangalia na kuelewa ni nguo za aina gani...za watoto tulizona..za watu wazima tuliziona ...za watoto wa kike au kiume tulziona na pia a watu wazima...njia hii ilitusaidia kujua nyumba ile ina watu wangapi...na wa jinsia ipi....lakini pia tulikuwa tukienda kwenye pipa la kutupia taka kabla ya wahusika hawajaja kuchukua uchafu ule...tulikuwa tuna akusanya vijikaratasi..na hapa napenda niseme wazi kabisa watu wengi hawalijui hili hata huko maofisini..unakuta mtu karatasi ina bonge la siri anachofanya ni kuifinyanga finyanga kwa kiganja kisha aantupa kwenye dustbin...sasa sisi tuliweza kutumia njia hiyo ya kwenda kwenye ma dustbin na kuangalia vikaratas karatasi, chupa, mifuko , karatasi za benk (pay slip) nk .. na hvyo tulijua mtu flani anapenda kutumia kinywaji gani, ananunua wapi, benk ya yake ni ipi, na mambo mengine kama hayo...

yote hii ni kutaka kujua watu wanaokuzunguka ni wa aina gani na hivyo uishi nao vipi...yako mazoezi mengi sana hata tulipokwenda ''shambani ''meng tulifundishwa namna ya kumjua mtu hata kama hujawahi kumuona...namna ya kuangalia hata mwandiko na aina ya uandishi wa mtu na ..mwandiko ni njia moja wapo ya kujua tabia ya mtu....humu jf kwa kuwa hatuandiki kwa wino lakini unaweza kujua character ya mtu kutokana na uandishi wake...kwa mfano The Boss hawezi akaandika kama anavyoandika@lara 1..au anavyoandika Pasco ana tofauti kubwa na hao wengine ukifatilia michango yao yote na aina ya andishi wao waweza kujua ni watu wa aina gani...

jambo la msingi hapa ni kuelewa na kujielewa na kuwa makini kwa kila jambo...nguvu ya umakini ni muhimu sana...ni lazima utengenezwe kuwa spy nje ya hapo ni ngumu kufanikisha kazi kujitengeneza mwenyewe ni ngumu sana..
 
Last edited by a moderator:

Mkuu umetisha ur father was truest spy
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom