Are spies made or born?

Are spies made or born?

It was once observed that, the best spy is the one who can dilligently foul the target/subject and cover his finger prints well after accomplishing the mission. The good the cover, the better the spy.
 
Better is not good the best
We discuss who is the truest spy and best one
Covering it is just a thing that can anybody can does even a child
 
Better is not good the best
We discuss who is the truest spy and best one
Covering it is just a thing that can anybody can does even a child

Mkuu, don't be such a dumb. Covering the leads or your tracks ili usiweze gundulika kuwa ni wewe ndio umefanya na kuwakwepa watu kama mossad au CIA counter-intelligence units hiyo issue sio ya kitoto ni lazima upikike na kuiva bara bara.
 
No one dumb here

Clear the mess as u commented in our country there is no person like u think
Each tukio linalotokea the mass understood each and every thing has done and who exactly commit that issue
That why I said it is just a thing
 
MKuu, who told you so??? Lying to youself huh???
 
Umeandika exactly;
Hawa jamaa wanafunzwa kutumia mazingira ili kuhakikisha operation inafanikiwa kwa asilimia 100

Ama kwa uandishi wako umenikumbusha tv shows moja inaitwa Burn Notice, ambayo nadhani pia inatumiwa na hawa wanaoperation kama moja ya teaching aid, ukiicheck haitokuisha hamu, imewazungumzia sana hawa jamaa na pia mle ndo kuna jibu la kwamba hawa watu wanatengenezwa au ni wakiasili?!!

Siku njema.

you are right...kuna maneno mwalimu wetu aliwahi kutwambia na na aliyapenda sana alikuwa akisema hivi '' when you control your thoughts you controlyour mind, when you control your mind you control your life, once you reach a stage of being in total control of your life you become the master of your own destine...umakini katika jambo lolote ni kitu cha muhimu sana...huko mwanzo nadhan page 4 ya mada hii nilisema hakuna anayezaliwa na kufiti kweye kazi flani pasipo kupitia mafunzo yoyote....

wakati tuko vijana mzee wetu alipenda ktufindisha vitu vingi sana wakati ule tuliona kama havifai hivi....mtaa tuliokuwa tukikaa ilikuwa ni maeneo ya watu wenye nafasi zao za kutosha nk..mzee wetu alikuwa akitwambia mimi na mdogo wangu ..siku moj akasema nataka mniambie ndani a ile nyumba ya tatu kuna watu wangapi wanaishi mle na mkadirie na umri nawapa wiki nzima...sasa ndani ya wiki moja tulikuwa tuna kazi hiyo ya kujua na alitwambia sitaki mwende pale mkaonekana na mkaulize haya niliyowambia tumieni akili zenu kujua ....

basi kwa kuwa ilikuwa ni kazi ilibidi tufanye..kufanyika kwake ilikuwa ni kuangalia hasa wakati wakifua nguo wakianika...zile nguo tuliweza kuziangalia na kuelewa ni nguo za aina gani...za watoto tulizona..za watu wazima tuliziona ...za watoto wa kike au kiume tulziona na pia a watu wazima...njia hii ilitusaidia kujua nyumba ile ina watu wangapi...na wa jinsia ipi....lakini pia tulikuwa tukienda kwenye pipa la kutupia taka kabla ya wahusika hawajaja kuchukua uchafu ule...tulikuwa tuna akusanya vijikaratasi..na hapa napenda niseme wazi kabisa watu wengi hawalijui hili hata huko maofisini..unakuta mtu karatasi ina bonge la siri anachofanya ni kuifinyanga finyanga kwa kiganja kisha aantupa kwenye dustbin...sasa sisi tuliweza kutumia njia hiyo ya kwenda kwenye ma dustbin na kuangalia vikaratas karatasi, chupa, mifuko , karatasi za benk (pay slip) nk .. na hvyo tulijua mtu flani anapenda kutumia kinywaji gani, ananunua wapi, benk ya yake ni ipi, na mambo mengine kama hayo...

yote hii ni kutaka kujua watu wanaokuzunguka ni wa aina gani na hivyo uishi nao vipi...yako mazoezi mengi sana hata tulipokwenda ''shambani ''meng tulifundishwa namna ya kumjua mtu hata kama hujawahi kumuona...namna ya kuangalia hata mwandiko na aina ya uandishi wa mtu na ..mwandiko ni njia moja wapo ya kujua tabia ya mtu....humu jf kwa kuwa hatuandiki kwa wino lakini unaweza kujua character ya mtu kutokana na uandishi wake...kwa mfano The Boss hawezi akaandika kama anavyoandika@lara 1..au anavyoandika Pasco ana tofauti kubwa na hao wengine ukifatilia michango yao yote na aina ya andishi wao waweza kujua ni watu wa aina gani...

jambo la msingi hapa ni kuelewa na kujielewa na kuwa makini kwa kila jambo...nguvu ya umakini ni muhimu sana...ni lazima utengenezwe kuwa spy nje ya hapo ni ngumu kufanikisha kazi kujitengeneza mwenyewe ni ngumu sana..
 
Last edited by a moderator:

Aiseee...!safi kabisa tunapata kujifunza mambo mengi ya maana for this post nime increase more important things....'ila vitu vya maana namna hii sio hadharani ni vitu vya gharama mno.......!ndo maana naikubali sana Jf tuna ongezana ujuzi maarifa tunajenga ukaribu na kufarijiana
 
Last edited by a moderator:
Nimepata uelewa mkubwa sana hapa.Akili yangu inazidi kufunguka. Kumbe haya mambo ndo yapo hivi!!???
 
yapo mambo utafundishwa lakini yapo mambo pia unatakiwa kutumia akili na utashi wako binafsi katika kufanya maamuzi sahihi..sasa eneo la ulinzi binafsi ni lazima kila mmoja aliingatie kulingana na aina ya maisha yake na kazi anayoifanya...siku hizi watu wengi urafiki wao umeunganishwa na pesa yaani ili wawe marafiki pesa ndio kiunganishi katika maisha yao..wapo wengine wamefikia hatua ya kudumia urafiki kwa kiunganishi hicho lakini pasipo kujua dhima nzima aliyonayo mwenzake..na ndio maana kuna watu wameuana na kudhulimiana lakini pia wpao wengine ambao baada ya mmoja wao mamb yake kwenda mrama basi hata yule rafiki yake aliyemwamini anamtupa..

yote hii inatokana na sisi binadamu kutoruhusu na wala kuipa nafasi akili ifanye kazi ya kuchambua taarifa lakini pia wengi wetu hatusikilizi hisia na makatazo tunayopewa toka ndani ya nafsi zetu...sasa ninaposema ulinzi binafsi ni muhimu kwakila mtu..

kwa upande wa jasusi ni lazima awe makini mda wote na mahali anapoishi ni lazima ahakikishe ni salama na kuna ulinzi binafsi wa kutosha.. ndani ya nyumba ndio mahali anapopumzika, anapotunzia vifaa vyake vya kazi ambavyo ndivyo vinamtambulisha namna alivyo..na pi ni hapo hapo nyumbani ndipo anaposhiriki na wapendwa wake..

kwa hiyo ni lazima jasusi asikilize hisia zake za ndani na kama atahisi jambo lolote ambalo haliko swa ni lazima afikilie njia mbada za kujilinda zaidi.njia zifuatazo zaweza ktumika:

1..atengeneze njia ya siri ya kumwangalia adui au yeyote anayefika kwenye makazi yake tokea ndani (spotlight)

2..watu wasiofahamiha background zao wasiruhusiwe kubaki nyumbani..

3..anaweza kufunga camera na akarekodi kila kinachotokea ndani ya nyumba na nje ya nyumba

4.. lazima ndnai ya nyumba pawe na mahli pa siri pa kuhifadhia silaha lakini pia ni muhimu sana awe na begi ambalo vitu vyote muhimu vinakaa..na pindi kinapotokea chochote anachukua begi hilo na kuondoka.. lazima ahakikishe halifunguliwi na mtu mwingine..

5kama kuna nyaraka anahifadhi ndnai ya komputa ni lazima ahakikishe haziibiwi kwa namna yoyote ile..anaweza kutoa hard disk kila arudipo nyumbani na kuihifandhi sehemu salama anayojua yeye peke yake..

6 arudipo nyumbani toka kwenye matembezi yake ni lazima aangalie mazingira ya nyumbani kwake kabl ya kuingia ndani.. hapa mambo ya kuzigatia ni haya:

---lazima kuangalia vifaa vya umeme vilivyo ndani ya nvyumba mfan tubelight,saa ya ukutani kama ipo..viu hivi huenda vikawa vimepandikizwa vifaa vya kunasia sauti kwa hiyo ni muhimu kuhakikisha viko salama

.....wakati wa kupiga simuu au kupokea simu kama kutakuw ana kelel zisizo za kawaida basi lazima atilie shaka maana huenda mawasiliano yakawa yanasikilizwa na upande wa tuatu

....televhishen na radio hasa zilizo ndnai ya gari ikiw akuna mwingiliano wa mawimbi usioeleweka hii inamanisha tyari kuna uwezekano ameingiliwa katika mawasiliano ..huenda wireless macrophne imepandikizwa ndaniya vifaa hivyo na inarekodi mawasiliano yote anayofanya

....jasusi lazima awe mwangalifu anapopewa vitu vya bure mfano kalamu, saa nk..huenda vitu hivyo vikawa na vitu vya kunasia sauti na kuyapeleka kwa adui

...mtu yeyote asiruhusiwe kuingia kwenye makazi ya jasusibila sababu za msingi......wale wote walio karibu nae ni azima wafike hapo kwa taarifa na nani ya mda mwafaka..

..mafundi wote wae wawe wa ujenzi, umeme nk wafanye kazi chini ya uangalizi maalumu na kwa karibu zaidi.....

sasa wakati jasusi anaweka mazingira hayo ni lazima jasusi nae akwa fiti katika kujilinda ni lazima ajue kutumia vifaa vinavyomzunguka katika kujilinda pindi awapo katika hatari pasipo kuathiri mwili wake..ni lazima jasusi alinde mwili wake hasa maeneo hatari na atumie maeneo hayo hayo katika kumshambulia adui...maeneo hayo ni macho,masikio, pua, shingo na koromeo,tumbo na chembe cha moyo,korodani,magoti...

jasusi anaweza kutumia vifaa vinavyomzunguka kujilinda na kujihami mfano wa vifaa hivyo ni

gazet, kalamu,maji ya moto,chupa,mkanda, kiti, kifaa cha kuwshia sigara, koti( koti siyo kwamba ni silaha bali ni kinga dhidi ya adui..jasusi anaweza kuvua koto lake na kumtupia adui usoni na hivyo ikawa rahisi kumdhibiti

pafyumu...hii nayo ni kinga katika kundibiti adui...unaipuliza kwenye macho ya adui na pua na hivyo kumpetezauelekeo..dawa ya rungu na nyinginezo zinaweza ktumika

kitu kingine ni fire extinguisher...hii nayo inaweza ktumika katika kukabiliana na adui...toch nayo ni silaha nyingine, funguo,mkasi au spana na ya pia bunduki..jasusi lazima ajue kutumia bunduki aina zote zizizoko nchini mwake nahata nje ya nchi..ni muhimu sana...

si jasusi pekee anatakiwa kuwa mwangalifu bali kila mmoja anatakiwa kuwa mwangalifu.. utasikia mtu flani maarufu kapigwa risas akiwa kwenye geti lakuingia kwake...mara utasikia mwingine amekutwa ndani amekufa..mwingine utasikia amegongwa na gari au gari yake imepata ajali na akapoteza maisha...mambo haya hayatokei hivi hivi

Mara nyingi hua napenda watu wasaidike kujua namna ya kujilinda kunapotokea shambulizi nje ya geti la mhusika maana mauaji mengi hutokea pale wahanga wanaposubiri kufunguliwa geti...
 
Kaka de'levis Sijajuta kuusoma huu uzi, nimesoma page ya kwanza mpaka ya mwisho. Jf darasa tosha sijajuta. wasalimie Scoatland huko.
 
Back
Top Bottom