Are spies made or born?

Are spies made or born?

Kuna siku moja dogo mmoja mwanafunzi wa chuo alikuwa maeneo ya mjini katika mkoa flani akiwa na mwenzake wa kiume pia ghafla akajikuka mikononi mwa askari wawili wenye sare na mmoja amevalia kiraia tu (plain clothes) na kumwambia kuwa anahitajika katika ktuo cha polisi kuna malalamiko dhidi yake na ilibidi ayatolee maelezo yeye peke yake. Kwa kuwa yule kijana hakuwa ametenda kosa lolote la kihalifu wala hakubishana nao, yeye alienda nao tu moja kwa moja mpaka kituoni kisha mahojiano yakaanza kati ya askari hao na yule kijana katika chumba kidogo kilichopo ndani ya kile kituo kwa muda kama wa masaa 2 na nusu hivi kisha akaachiwa. Baada ya kama mwezi mmoja baada ya tukio, yule kijana aliwaaga wenzake kuwa anaenda nyumbani ameitwa kuna matatizo ya kifamilia kisha atarudi ndani ya muda mfupi. Alivyoenda ndio kimoja mpaka leo wenzake hawakumuona tena mpaka leo hii na hakuna anayejua wale askari walimwambia nini kwenye yale mahojiano.
"yasiyokuhusu ni kujaacha kama yalivyo"
 
aisee, balaa sana
 
M
mkuu, where did you got all this story from??? Who dared telling you all these???
Mbona umeshtuka,wewe ulikuwa nani Kati Yao,...wale askari waliovalia sare au yule aliyevaa kiraia au dogo au wenzake dogo aliokuwa nao wakati anakamatww?,tujuze,mind Humu ndani ikjua huu wenzio wanajua huu,kama muelewa natumai umenielewa,kuna vichaa Humu, waganga wa kienyeji,ma sheikh,maimamu,mahajjat,baba paroko,wachungaji,mapadre,hao wote wanakuja kwa style hizo.
 
daaaaaaaah balaa sana kaka
 
hiyo ni universal au ni kwa wana usalama wa eneo moja tu tena walio zoeana?

nikimaanisha kwamba mwana usalama wa lesotho akikutana na mwana usalama wa namibia ndani ya club wakitazamana wanaweza kufahamiana na kila mtu akchukua time yake?
mkuu, jibu la hili swali lako linahitaji watu waliokubuhu kwenye hii tasnia kwa kuwa naona lipo too technical. but all in all i think, spies must have some unique features na ndio hizo features ambazo spy hunters hufundishwa kuziangalia wanapokuwa wanawatafuta majasusi wa nchi hasimu wanapoingia kupitia mipaka ya nchi au airports na bus terminal.
"too shallow"
 
kwa kuongezea hapo spies hawez kumtambua mwenzake kwa attribute moja tu..atamtambua kwa kuobserve mambo mengi sana hadi kujirithisha...talent pia inahusika hapa ya kureason sana....
 
kwa kuongezea hapo spies hawez kumtambua mwenzake kwa attribute moja tu..atamtambua kwa kuobserve mambo mengi sana hadi kujirithisha...talent pia inahusika hapa ya kureason sana....
Kuna wakati flani wakati ya vita baridi 1980's idara ya usalama ya ujerumani ya magharibi walikuwa wakiwatambua majasusi kutokea ujerumani ya mashariki maarufu kama stasi (staatssicherheits) kutokana na unyoaji wao wa nywele uliotaka kufanana na wa magharibi ila ulitofautiana kidogo sana sana sana na huo utofauti mdogo sana ndio uliopelekea wao kukamatwa haraka hata kabla ya kuingia mji mkuu. walikuwa wakifika tu kwenye stesheni ya treni wale walinzi pamoja na wahudumu wa stesheni (C.I spy hunters) waliweza kuwatambua kwa hair cuts zao plus other attributes na hivyo kuwataarifu maafisa usalama mara moja.
so it's a bit of painstaking task and only for the special breed of men.
 
Spies are made,tena Mara nyingi wanakuwa either suggested na maspy wengine,afu weng hupata kazi ya uspy kutokana na kazi wanazozifanya wakati huo mfano mtu anaeza Kuwa secretary wa company fulan afu ma CIA au any agency wakamtumia kama spy wao kupata Intel za pale
 
mkuu, how can you tell apart a professional spy from a mere informant???????? kulingana na maelezo yako ni kwamba kazi kubwa ya jasusi ni kutengeneza mtandao wa watu wanaompatia taarifa (informants) kwa kutumia mbinu walizokwisha kufundishwa mafunzoni mwao.
 
Spies wanaweza kuwa made au born asilia yani mwingine anazaliwa na hizo attributes but kwa dunia ya sasa iko advanced technology ivo ni lazima ufundishwe vitu kama usalama binafsi haswa mawasiliano but attribute zingi unakuwa nazo na hawa spies mostly kabisa ni doctors na Wachungaji wa viongozi wa dini hawa watu ni simple sana kupata info za watu means wanaaminiwa waganga hapa nasemea mpaka wale asilia mana raia huwafungukia sana inshu zao, Nashangaa watu wakitamani hii kazi kwa kweli wakati ni kukosa uhuru sambamba na kuuliwa ukifika kipindi fulani yani ni lazima ufe kuweka kitu fulani hidden, Majeshini spies ni wachache since hawa ndugu zangu wa majeshi yote police,magereza,jkt,jw ni watu ambao sio wafikiriaji wa nje ya box wao ni misifa tu
 
Bila shaka wote mu wazima wa afya, kama heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kama uwezo wa hawa watu huwa ni wa mafunzo au wanazaliwa wakiwa tayari na hizi attributes?

Ninawasilisha.
mkuu Infantry Soldier kwa sababu ya mbalimbali ikiwemo miscalculations watu wengi wamekuwa wakiuwawa ama kupatwa na vilema vya kudumu wakidhaniwa kuwa ni majasusi aidha kwa kufanananishwa na majasusi wanaotafutwa ama kwa mitindo yao ya maisha. just let's all be alert with those folks and such kind of trade.
 
Back
Top Bottom