AFRICA101
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 140
- 49
nikipata mda wiki hii tutaendelea na darasa hapa...
Mkuu de'levis kimya sana, tuendelee na somo hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikipata mda wiki hii tutaendelea na darasa hapa...
well written mkuu. it's for the special breed of men.bwana mkubwa Infantry Soldier niliwahi kuambiwa na babu yangu mstaafu alikuwaga askari wa bandarini hezi hizoooooooo kwamba kuna genetic make-up maalumu za majajusi bila kuangalia anatokea katika kada gani ya maisha. kuna watu wamezaliwa wana hizo elements either in full ama in partial wapo vijijini na hata mijini. watoto wa masaki na wengine tandale na mbagala. na serikali ina wataalamu waliobobea katika kutafuta na kuendeleza vijana wenye hizo genes na wapo huko huko mitaani (mitaa ya uswazi na uzunguni).
itaendelea.............
Sasa nimeanza kupata picha kwa mbaaaali lakini bado ninajiuliza how do they get to train teenagers? Au hawa wanafunzi wanakuwa recruited unknowingly?
mkuu, asante sana kwa mchango wakoMaendeleo ya weledi yanaanzia tangu teenager na ni rahisi kumcontrol teenager asijue na vilevile ni rahisi kuspot teenager asijue kwani wanaishi real
Kuishi real?, sijakusoma.Maendeleo ya weledi yanaanzia tangu teenager na ni rahisi kumcontrol teenager asijue na vilevile ni rahisi kuspot teenager asijue kwani wanaishi real
Elewa hivyo tu inatoshaKuishi real?, sijakusoma.
boss, bila shaka hapa mkuu comrade igwe alikuwa anamaanisha mtoto akiwa mdogo huwa anaishi maisha yake halisi na sio ya maigizo wala kwa kuiga mitindo mingine ya maisha ya watu........ninadhani nipo sahihi kwa hili, but i stand to be corrected tooKuishi real?, sijakusoma.
wakuu wa kazi, taaluma ya ujasusi ni taaluma ya watu wenye mashaka sana (profession of skeptics) ujasiri na umakini wa hali ya juu sana. spy hapaswi kuamini kiumbe hai chochote kwa 100% hususani binadamu. kwa kuzingatia weledi wa kazi yake, spy anapaswa kujiuliza lolote linalotokea mchoni pake ama kwenye masikio yake kuwa ina athari gani katika usalama wa nchi, hivyo watu wa namna hii wanapaswa kuwa makini kwa zaidi ya 2000%..........Bila shaka wote mu wazima wa afya, kama heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kama uwezo wa hawa watu huwa ni wa mafunzo au wanazaliwa wakiwa tayari na hizi attributes?
Ninawasilisha.
Tafuta movie ya SALT ya Angeline Jolie uanzie hapo!!!!!
Ni kipaji tuu kama vipaji vingine ukiongezea na mafunzo wanayopewa, sio watu special kihivyo kama mnavyofikiria au kama wanavyoonyeshwa kwny movies za Hollywood. Ila kikubwa wanataka mtu mtiifu, mwenye IQ kubwa na pia mwenye uwezo wa kuficha siri
Zamani enzi za mwl ulikuwa spotted kuanzia primary ila huambiwi kwa umri ule. Wakuu wengi wa shule walikuwa usalama!!! then unaendelea kufuatiliwa hadi sekondari na chuo wanakupasulia jipu!!! kinachoendelea hapo nameza.
Umenena vyemaZogwale walimu ni masaikoligia wanauwezo wa kumjua mtoto vitendo vyake,tabia zake Na akili zake.Mfano mtoto mkya sana Na Hana utani utani mwalimu anamfanya kuwa monita darasani.Ukimfuatilia Huyo mtoto atukuta ni mwana sheria Au usalama.Lazima tukumbuke MnyeeziMungu kampa kila mtu uwezo wake. Unaweza kuwa muhasibu Mkuu Lakini hujui kuongea vizuri.
Wakati wa mwalimu kila MTanzania alikuwa usalama.
mkuu, hawa ya IQ kubwa ndio wale wenye division one za shule au first class za chuo???Ni kipaji tuu kama vipaji vingine ukiongezea na mafunzo wanayopewa, sio watu special kihivyo kama mnavyofikiria au kama wanavyoonyeshwa kwny movies za Hollywood. Ila mikubwa wanataka mtu mtiifu, mwenye IQ kubwa na pia mwenye uwezo wa kuficha siri
mkuu, hawa ya IQ kubwa ndio wale wenye division one za shule au first class za chuo???
asante sana kwa point yako matata sana kakaLazima tukumbuke MnyeeziMungu kampa kila mtu uwezo wake.
mkuu, kwa hii statement yako umenitisha sana kaka mkubwa. nilikuwa sijui kabisa kama kuna haya mambo yanaendeleagaNashangaa watu wakitamani hii kazi kwa kweli wakati ni kukosa uhuru sambamba na kuuliwa ukifika kipindi fulani yani ni lazima ufe kuweka kitu fulani hidden