Are spies made or born?

Are spies made or born?

bwana mkubwa Infantry Soldier niliwahi kuambiwa na babu yangu mstaafu alikuwaga askari wa bandarini hezi hizoooooooo kwamba kuna genetic make-up maalumu za majajusi bila kuangalia anatokea katika kada gani ya maisha. kuna watu wamezaliwa wana hizo elements either in full ama in partial wapo vijijini na hata mijini. watoto wa masaki na wengine tandale na mbagala. na serikali ina wataalamu waliobobea katika kutafuta na kuendeleza vijana wenye hizo genes na wapo huko huko mitaani (mitaa ya uswazi na uzunguni).
itaendelea.............
well written mkuu. it's for the special breed of men.
 
Dah.., inteligency comes first [emoji56] [emoji56] [emoji481] [emoji481]
 
Kuishi real?, sijakusoma.
boss, bila shaka hapa mkuu comrade igwe alikuwa anamaanisha mtoto akiwa mdogo huwa anaishi maisha yake halisi na sio ya maigizo wala kwa kuiga mitindo mingine ya maisha ya watu........ninadhani nipo sahihi kwa hili, but i stand to be corrected too
 
Bila shaka wote mu wazima wa afya, kama heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kama uwezo wa hawa watu huwa ni wa mafunzo au wanazaliwa wakiwa tayari na hizi attributes?

Ninawasilisha.
wakuu wa kazi, taaluma ya ujasusi ni taaluma ya watu wenye mashaka sana (profession of skeptics) ujasiri na umakini wa hali ya juu sana. spy hapaswi kuamini kiumbe hai chochote kwa 100% hususani binadamu. kwa kuzingatia weledi wa kazi yake, spy anapaswa kujiuliza lolote linalotokea mchoni pake ama kwenye masikio yake kuwa ina athari gani katika usalama wa nchi, hivyo watu wa namna hii wanapaswa kuwa makini kwa zaidi ya 2000%..........
 
Technically, they are raised as spies. Intellectually, they are born as one. Just as Infantry Soldier kasema, spy attributes are born with, and specific skills are trade-crafted. So you need both to become a great spy,but like Aldrich Ames during the Cold War was only trade-crafted.

Have your study about KGB,FSB, Mossad, and South African Mercenary Training, utaelewa vizuri.
 
Ni kipaji tuu kama vipaji vingine ukiongezea na mafunzo wanayopewa, sio watu special kihivyo kama mnavyofikiria au kama wanavyoonyeshwa kwny movies za Hollywood. Ila mikubwa wanataka mtu mtiifu, mwenye IQ kubwa na pia mwenye uwezo wa kuficha siri
 
Zamani enzi za mwl ulikuwa spotted kuanzia primary ila huambiwi kwa umri ule. Wakuu wengi wa shule walikuwa usalama!!! then unaendelea kufuatiliwa hadi sekondari na chuo wanakupasulia jipu!!! kinachoendelea hapo nameza.

Zogwale walimu ni masaikoligia wanauwezo wa kumjua mtoto vitendo vyake,tabia zake Na akili zake.Mfano mtoto mkya sana Na Hana utani utani mwalimu anamfanya kuwa monita darasani.Ukimfuatilia Huyo mtoto atukuta ni mwana sheria Au usalama.Lazima tukumbuke MnyeeziMungu kampa kila mtu uwezo wake. Unaweza kuwa muhasibu Mkuu Lakini hujui kuongea vizuri.
Wakati wa mwalimu kila MTanzania alikuwa usalama.
 
Umenena vyema
Ila ni Mwenyezi Mungu na si Mnyeezi Mungu
 
Ni kipaji tuu kama vipaji vingine ukiongezea na mafunzo wanayopewa, sio watu special kihivyo kama mnavyofikiria au kama wanavyoonyeshwa kwny movies za Hollywood. Ila mikubwa wanataka mtu mtiifu, mwenye IQ kubwa na pia mwenye uwezo wa kuficha siri
mkuu, hawa ya IQ kubwa ndio wale wenye division one za shule au first class za chuo???
 
Nashangaa watu wakitamani hii kazi kwa kweli wakati ni kukosa uhuru sambamba na kuuliwa ukifika kipindi fulani yani ni lazima ufe kuweka kitu fulani hidden
mkuu, kwa hii statement yako umenitisha sana kaka mkubwa. nilikuwa sijui kabisa kama kuna haya mambo yanaendeleaga
 
Ni made bt being a spy ni risk. Unapoteza identity yako. Double jobs, hutulii na Familia.
 
Back
Top Bottom