Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

Hizi UFO zimewahi kushambulia eneo moja katika nchi ya India
mpaka sasa wanadai ya kwamba ni viumbe toka sayari nyingine
Lakino hizi UFO ziko mbele sana kwa Technology ya dunia.
Nitaonesha picha mojawapo zilizowahi pigwa
 
Speed ya dunia kulizunguka jua ni 30km/sec, je hii nayo utasema inazidi nini?
ila kwenye hili la dunia kulizunguka jua, nina mashaka ni sayansi isiyo na uhakika, kwa sababu ukipanda chombo chochote kinapo move utayumba kwa namna yoyote, Dunia ikimbie 30 km/sec tusipigwe na upepo wakati tuko juu ya dunia,
na kama spindi ndiyo hiyo, ndege inaruka angani na inaenda mashariki halafu inaukuta mji, mi nadhani siyo sahihi
 
Kuhusu ndege nadhani haiathiriwi na speed ya dunia kwa sababu hata inapokuwa imeruka, bado inakuwa ipo kwenye atmosphere ya dunia, hivyo itaendelea kucheza muziki wa dunia mpaka mwisho.
 
Braza hapo kwenye speed km 11 kwa sekunde.... hatujadanganyana kweeli..... mmmh. Na mtu yumo ndani...mmh... hapana braza nahitaji darasa zaiid...

Sina shule ila uweZo wangu wa kuchambua umefika kikomo...
 
Reactions: MC7
UFO Nilishawahi kuiona mgololo iringa kwenye msitu wa mikusu.
Sema ndio hivo te skuwa na camera
 
Kwani kila siku lazima wawe NASA?
Nchi yenu haiwez kutoa taarifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…