Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

Hizi UFO zimewahi kushambulia eneo moja katika nchi ya India
mpaka sasa wanadai ya kwamba ni viumbe toka sayari nyingine
Lakino hizi UFO ziko mbele sana kwa Technology ya dunia.
Nitaonesha picha mojawapo zilizowahi pigwa
 
Speed ya dunia kulizunguka jua ni 30km/sec, je hii nayo utasema inazidi nini?
ila kwenye hili la dunia kulizunguka jua, nina mashaka ni sayansi isiyo na uhakika, kwa sababu ukipanda chombo chochote kinapo move utayumba kwa namna yoyote, Dunia ikimbie 30 km/sec tusipigwe na upepo wakati tuko juu ya dunia,
na kama spindi ndiyo hiyo, ndege inaruka angani na inaenda mashariki halafu inaukuta mji, mi nadhani siyo sahihi
 
ila kwenye hili la dunia kulizunguka jua, nina mashaka ni sayansi isiyo na uhakika, kwa sababu ukipanda chombo chochote kinapo move utayumba kwa namna yoyote, Dunia ikimbie 30 km/sec tusipigwe na upepo wakati tuko juu ya dunia,
na kama spindi ndiyo hiyo, ndege inaruka angani na inaenda magharibi halafu inaukuta mji, mi nadhani siyo sahihi
Kuhusu ndege nadhani haiathiriwi na speed ya dunia kwa sababu hata inapokuwa imeruka, bado inakuwa ipo kwenye atmosphere ya dunia, hivyo itaendelea kucheza muziki wa dunia mpaka mwisho.
 
Braza hapo kwenye speed km 11 kwa sekunde.... hatujadanganyana kweeli..... mmmh. Na mtu yumo ndani...mmh... hapana braza nahitaji darasa zaiid...

Sina shule ila uweZo wangu wa kuchambua umefika kikomo...
 
  • Thanks
Reactions: MC7
UFO Nilishawahi kuiona mgololo iringa kwenye msitu wa mikusu.
Sema ndio hivo te skuwa na camera
 
Bado kumeendelea kuwa na sintofahamu kuhusiana na UFO's zinazoonekana sehemu mbalimbali lkn chakushangaza shirika kubwa la NASA bado halijaja na majibu ya kutosheleza kuhusu UFO hapa napatwa na walakini huenda kuna kitu kinafichwa...

Mwanaanga Michael Collins ambaye
alikuwa rubani wa Apollo, anadai
kwenye kitabu chake cha "Carrying
the Fire" (kubeba moto) kwamba UFO
ilijitokeza ghafla kutoka
kusikojulikana na kumudu kwenda sambamba na mwendo mkali wa
Apollo kwa masafa marefu.Wakati huo Apollo ilikuwa katika kasi
ijulikanayo kama "transonic speed",
ambayo ni takribani kilometa 40,000
kwa saa ( sawa na kilometa 11 kwa
sekunde). Anaeleza kuwa walipotoa taarifa
duniani kwa makao makuu ya NASA
kwamba kulikuwa na chombo kigeni
kinawafuatilia, walijibiwa kuwa "hiyo ni
UFO, achana nayo, zingatieni safari
maana ndiyo muhimu kwenu." Baadaye UFO hiyo ilitoweka kama
ilivyokuja.
toka miaka hiyo mpk leo inamaana hawajui nini kinaendelea..?
na kwajibu hilo inaonyesha wazi yakuwa hawana mashaka na UFO's!!
Kwani kila siku lazima wawe NASA?
Nchi yenu haiwez kutoa taarifa?
 
Back
Top Bottom