Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

Unajua,tulio wengi tuwadanganyika.Tunaamini kila wanachosema Wamarekani with their bad science is true.By the way nikuelimishe kwamba UFOs sio viumbe na si kweli kwamba Wamarekani hawajui vile ni vitu gani.Those are transport capsules which were developed between the Americans and the Aliens.And the Americans knows it very well.Wamarekani hawataki kabisa Wanadadamu wajue uhusiano wao na Aliens kwa sababu they are evil entities!
 
Mkuu, viumbe visivyo onekana ni Malaika na Majini
 

Mkuu pole sana. Biblia ime-skip baadhi ya vitu ili kuweka nafasi ya Roho mtakatifu. baadhi ya mambo huwezi kuyafahamu just in fresh, lazima uende kiwango kingine, mosi

biblia imeandikwa kwa matumizi mengi sana ila la kwanza ni kumuonyehsa mwanadamu njia na ili kwenda mbinguni ni mambo machache sana unayotakiwa kutumia kutoka kwenye biblia na basically amri kuu ya Mungu (Agano la kale) na Amri mpya aliyoileta Yesu ya upendo (Agano Jipya). lakini biblia haikuandikwa kwa sababu ya kumuonyesha mwanadamu njia peke yake. kuna mengi Mungu alitaka mwanadamu ajifunze na ayajue na kuyatumia wakati akiwa katika mwili huu wa udhaifu, hayo ndo yamefichwa humo kwenye biblia. jinsi unavyozidi ku-struggle ndivyo unavyozidi kuongezwa nguvu katika ulimwengu wa roho na vile vile unazidishiwa mafunuo. na mambo yanayokuja kwa mafunuo ni ngumu sana kuyaelelwa kwa kuambiwa na mtu katika mwili. kwa mfano uliwahi kujua kwamba hii dunia ilisha haribiwa kabisa na viumbe waliokuwepo kabla ya kuumbwa kwa Adamu/EVA na vingine vyote? hii imo kwenye biblia lakini huwezi ukaigundua kama huzami na hata kama mtu akikueleza hutaelewa. au unajua kwamba zile siku zilizotajwa pale kwenye biblia zile siku saba za uumbaji kuna uwezekano mkubwa hazikua consecutive? siku zinahesabiwa kulingana na umuhimu wake si kila siku mbele za Mungu inakipaumbele. na mambo kama haya ndo yaliwachanganya sana wana wa Izrael jangwani kiasi cha kupotea (confused) kabisa. walichotazamia kikawa ndivyo sivyo.
Au labda tujaribu hivi. wale majitu waliokuwepo duniani Mungu alipoleta laana ya pili (wakati wa Nuhu) acha ile ya kwanza alipoidhinisha kifo kwa mwanadamu pale bustanini, laana ya pili pale alipokomesha siku za mwanadamu kutoka mamia ya miaka mpaka miaka 70/80? kilichosababisha haya yatokee ni kitendo cha malaika walioasi kuja kulala na mabinti wa mwanadamu na kusababisha kuzaliwa majitu makubwa ambayo kimsingi nayo yaliteketezwa kwenye garika ili kuondoa unajisi katika nchi. lakini ukisoma kitabu cha kutoka unaona haya majitu yapo je yali-survive vipi? waanaki? warefai? na hata kwa Daudi, Goliath pia ilikua ni hiyo generation, so tunajifunza kwamba kuna mambo mengi Mungu ameyaficha makusudi ili tujifunze kwa bidii. Jakobo alikua na waotot 13 lakini wanatajwa 12 peke yao, ulishalijua hilo? na hata kwa Adam principle itakua hiyo hiyo. ukisoma vizuri unaambia Adamu alimzaa so and so, then so and so ,lakini kabla hajafa utaambia pia alizaa watoto wake na waume kisha Akafa. kwa hiyo kuna watu ambao walikua wanazaliwa halafu wanajiondokea kwenda kwingine na biblia haikuwataja na utakuta vizazi vingi vya aina hii viliangamia naturally.

Mungu alikua haweki kila kitu kwenye biblia kama hakuona sababu na mapengo yaliyoachwa yalikua na madhumuni
 

Jiulize: Kwanini hao alien ''wanaoneka'' zaidi kwenye nchi zilizoendelea na majini, misukule, wachawi wanaoneka zaidi nchi maskini!
 
Aliens wapo ndio wanaofika Duniani,na mimi,I will give you their names. Ashtar,Hatonn,St. Germain,Sananda.
 


Tatizo ni kwamba wanadamu huchunguza vitu visivyo na faida na kuacha vitu vya maana kama kumwamini Yehova na Yesu. Kumfahamu mke wa kaini hakumsaidii mtu kusamehewa dhambi zake na kuingia Mbinguni
 
Kama anavyosema Chifu Mkwawa,kwamba wapo alien scientists ambao wameingia ubia na scientists wa Marekani,ambao wanafanya research katika sehemu kama Area 51,Nevada,au Dulce.New Mexico,ambao wanatengeneza hizi UFO nyingine zinazoonekana. Pia wanafanya biogenetic engineering ambapo humans are cloned and even grey aliens,kama huyo hapo kwenye picha,are cloned.
 
Seems like Aliens are only interested with USA, maana always huko ndo wanakoonekana often "according to them". Why hawaj Bongo or Africa?

Kuna makala fulani nilibahatika kuipitia, wanasema hawa viumbe huwa wanakwenda mahala ambako kuna teknolojia ya kiwango cha juu sana, na si Marekani tu, hata Russia walionekana Uingereza na Japan sijaona sehemu zingine zaidi ya kutaja hizo nchi nilizotaja hapo juu, sasa kwa Russia kuna alien mmoja alikutwa kwenye msitu fulani huko Russia ambapo huyo mkaazi alimwona kiumbe cha ajabu kimelala chini kama vile amekufa na kweli alifariki yule alien na picha nilibahatika kuiona (ningeipata ningeupload hapa ila siikumbuki link), ndipo alitoa taarifa juu ya kiumbe alichokiona, na hiyo picha ya huyo alien aliyekufa hana tofauti na hizo picha za mtoa mada hapo juu!

Kwa sifa ni kwamba body structure zao ni tofauti na zetu sisi hasa kwenye mfumo wa mifuma na miundo wake yaani tofauti sana nao...ila bado kitendawili ni kwamba hawa viumbe wanatokea wapi????
 
Mwishowe mtaanza kusema na vampires wapo, ni stories tu ,beliefs kwamba inawezekana kukawepo some intelligent creatures kwenye galaxies . Humans tuna tendency ya ku invent some stories tunapokosa majawabu ya kitu fulani.Ni kama ilivyo superman,batman you cant say anything for sure until it is proven to be true. Lakini ni vizuri pia kufikiri uwepo wa vitu kama hivyo, inasadia innovation ya vitu mbali mbali. Wakina Leonardo Da Vinci thought men could fly and it becamea reality ndege zikagundulika nk.
 

bado sijaamin kiukweli,mimi nitomaso kwelikweli kunamchangiaji aliuliza mbona bongo hawaji ni marekani pekee wanawaona,wakati huku tunakila aina ya malighafi adimu katika sayari hii ya dunia..Anyway haya nimambo ambayo vizazi vyetu watakuja kutushangaa tulivyo kuwatukidanganyana...ASANTE
 

samahani ndugu yangu mimi ni mbishi kweli kwanini iwekama hadithi za kusadikika kuwapo wahivi viumbe??!!kweli kunabaadhi mmetoa tathimini kitaalam kabisa lakini ziko ki imagination zaidi
 
samahani ndugu yangu mimi ni mbishi kweli kwanini iwekama hadithi za kusadikika kuwapo wahivi viumbe??!!kweli kunabaadhi mmetoa tathimini kitaalam kabisa lakini ziko ki imagination zaidi

Bila samahani, hapa tunaelimishana tu kwa kile tulichojifunza kutoka kwenye source mbalimbali.

Unajua hii picha inaonekana ya kusadikika ni kwa sababu wengi wetu hatujabahatika kuyaona wala hata wataalamu wetu wa elimu za juu kabisa hajawahi kuzifanyia kazi kwenye tafiti kama wenzetu wa Marekani akina NASA na wengineo wa mataifa yenye teknolojia ya juu kabisa kama Russia, Japan, China na nyinginezo, tena vyuo vyao huwa wanazifanyia tafiti na kutoa documents zinazohusiana na tafiti zao. Sasa wao kama wao na teknolojia zao wanafanya tafiti mbalimbali za kidunia na nje ya dunia na wanaona vitu vingi vilivyoko angani na ndani ya dunia yenyewe na ndo maana wanaleta hizi taarifa walizozipata ambazo kwa haraka haraka binadamu si mwepesi kuziamini kwa nature.

Sasa tofauti yetu sisi na wao ni kwamba, kwa bahati nzuri wao wana vitu vya kunasa taarifa au matukio kama kamera za picha na video pamoja kusaidiana na elimu yao ndo wameweza kuzinasa vitu ambavyo si vya kawaida na huwa wanawapelekea wataalamu na kuzifanyia kazi mpaka tafiti itoe majibu kwa kile walichogundua. Sisi Wa-Tz uwezo huo tunaweza tukawa tunao lkn hatuna teknolojia ya kutuwezesha kufanya tafiti kwa kiwango cha juu kabisa kama wenzetu, hicho ndo kikwazo.

Umewahi kuona wapi Mtanzania yeyote kapiga picha za hawa viumbe??? na kama alibahatika kuona ni wangapi walitoa taarifa ya kushuhudia hawa viumbe???
 
Space Junk or Extraterrestrial
“Satellite”, the “Black Knight” as it’s
called today– has been around for
quite some time now.
This discovery is perhaps one of the
most (in)famous space objects that
orbit our Planet. This “Artificial
Satellite” has caused mayor media
interest since the late 50′s, and it
has become one of the most talked
about objects in space. First thought
to be an Russian spy satellite, the
Black Knight has gripped the
interest of millions worldwide.
According to monitoring agencies
around the world, The
Black knight has been transmitting
radio signals for over 50 years now.
The USA and Soviet Union have
shown particular interest in this
“unidentified space object”. Since its
discovery this satellite has
interested countries such as Sweden
and enthusiasts worldwide. One of
them is a Ham Radio operator who
apparently had decoded a series of
signals received from the UFO
Satellite and interpreted it as a star-
chart centered on the Epsilon Bootes
Star System and that the Black
Knight originated from this System
13.000 years ago . ( The Epsilon
Boötis is a double star in the
northern constellation of Boötes. It
has the traditional
names Izar and Pulcherrima. The
star system can be viewed with the
unaided eye at night, but resolving
the pair with a small telescope is
challenging; an aperture of 76 mm
(3.0 in) or greater is required . —
Wikipedia)
But according to many, this discovery
was made much earlier than we
thought. Rumors are that it was
Nikola Tesla the first man to
“intercept” a signal from
this otherworldly satellite in 1899
after building a high-voltage radio
device in Colorado Springs. After
Tesla’s discovery in the next 30 to 50
years the signal was being
intercepted more frequently until it
was apparently “decoded”. Since the
1930′s Astronomers worldwide have
been reporting strange radio signals
which allegedly come from the
“Black Knight”.
In 1957, Dr. Luis Corralos of the
Communications Ministry in
Venezuela photographed it while
taking pictures of Sputnik II as it
passed over Caracas. The strange
thing was that unlike the Sputnik
one and two, The Black Knight
Satellite orbited Earth from East to
West. Sputnik one and two orbited
West to East using Earth’s natural
rotation to maintain orbit.
The story of the Black Knight made
its media debut in the 1940′s when
the St. Louis Dispatch and The San
Francisco Examiner wrote about the
“Satellite” on May 14th 1954. The
Time Magazine wrote about it on the
seventh of March, 1960. Here is what
they said about it.
Three weeks ago,
headlines announced
that the U.S. had
detected a mysterious
“dark” satellite
wheeling overhead on a
regular orbit. There was
nervous speculation
that it might be a
surveillance satellite
launched by the
Russians, and it
brought the uneasy
sensation that the U.S.
did not know what was
going on over its own
head. But last week the
Department of Defense
proudly announced that
the satellite had been
identified. It was a
space derelict, the
remains of an Air Force
Discoverer satellite that
had gone astray. Read
the complete story by
visiting the Time
Magazine website.
The Articles of 1954:
St. Louis Dispatch and The San
Francisco Examiner articles about the
unidentified satellite.
On August 23, 1954 the technology
magazine Aviation Week and Space
Technology released a story that
angered the Pentagon who were
trying to keep the information
secret. The short article stated:
Pentagon scare over the
observance of two
previously unobserved
satellites orbiting the
earth has dissipated
with the identification
of the objects as
natural, not artificial
satellites. Dr. Lincoln
LaPaz, expert on
extraterrestrial bodies
from the University of
New Mexico, headed the
identification project.
One satellite is orbiting
about 400 miles out,
while the other track is
600 miles from the
earth. Pentagon
thought momentarily
the Russians had beaten
the U.S. to space
explorations.
Interest in the Black Knight was
higher each year, in 1957, an
unknown “object” was seen
“shadowing” the Sputnik 1
Spacecraft. According to reports, the
“unidentified object” was in Polar
orbit, at that time The United Stated
nor the Russians possessed the
technology to maintain a spacecraft
in Polar Orbit. According to our
research the first Polar orbiting
satellite was launched in 1960. Polar
orbits are often used for earth-
mapping, earth observation,
capturing the earth as time passes
from one point and reconnaissance
satellites. This would put the Black
Knight in the category of
a observational Satellite, the only
question here is, who placed The
Black Knight in a polar orbit and for
what purpose?
The Object continued to amaze
Astronomers World Wide. In the
1960′s the Black Knight was located
once again in Polar Orbit.
Astronomers and Scientists
calculated the objects weight to be
over 10 tons which would be at that
time the Heaviest Artificial Satellite
to orbit our Planet. The Black
Knights orbiting was unlike any
other object orbiting Earth, as it was
moving as twice as fast when
compared to the man made
Spacecrafts.
There are also several reports that
the Grumman Aircraft Corporation
gave much importance to this
mysterious “Satellite”, On September
3, 1960, seven months after the
satellite was first detected by radar,
a tracking camera at Grumman
Aircraft Corporation’s Long Island
factory took a photograph of the
Black Knight. At that point people
all over the world started identifying
the object in the sky, which could be
seen as a red light moving at higher
speed compared to other satellites
in a East to West orbit.
The Grumman Aircraft
Corporation formed a committee to
study the data received from the
observations made but nothing was
made public.
In 1963, Gordon Cooper was
launched into space. On his final
orbit, he reported seeing a glowing
green object in front of his capsule
in the distance moving towards
his Spacecraft. The Muchea tracking
station, in Australia, which Cooper
reported the object to, picked up
this Unidentified object on Radar
travelling East to West. NBC reported
this but after Cooper returned to
Earth, the Reporter were not allowed
to ask Cooper about the unidentified
object. The official explanation given
to Coopers sighting were “high levels
of carbon dioxide, which caused
hallucinations “.
The Black Knight has been a topic of
interest all around the world. Until
today most of the “official”
information on the mysterious object
is kept safe and away from society.
No one has answered some of the
most simple and logical questions to
ask, who placed that “satellite” in
Polar orbit? To what purpose?
Is the Black Knight an
Extraterrestrial satellite sent to Earth
to study the Human race? Did
the Satellite attempt
to communicate with the human
race? Have we ignored attempted
communications? One thing is for
sure, The Black Knight remains as
one of the most mysterious objects
to orbit our planet. Is there a
connection between this (in)famous
space object and ancient mankind’s
achievements?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…