Ndugu
zangu Watanzania
Dunia sasa inapitia kwenye mzunguko wa tatu.. Lazima watu makini tuweze
kujipanga kuokoa jamii zetu kutokana na mabadiliko ambayo hayaepukiki.
Sipendi kuongelea wimbi la ongezeko la matukio ya Uhalifu hasa UFO's na
mengineyo lakini tu sekta ya makuzi ya sayansi ni Swali la kujiuliza
sana kwenye nchi zetu hizi ambazo tunafuata mikia kwenye nyanja NYINGI.
Niseme wazi pasipo baraka za Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa,
Mataifa yenye nguvu sasa yamesharusha DHCS. Ikumbukwe Uvumbuzi wa
Satellite uliifanya dunia kupata chombo cha kubebea antena za
mawasiliano, lakini DHCS hazibebi bali zenyewe hutumiwa kutenda kazi
zikiwa angani kwa msimamo wa nguvukani(gravitation) na space-vacuum (VCI
rotation). ni camera zenye lensi inayotumia kimiminika haijawahi
kufundishwa hata vyuo vikuu. Kamera hizi zina uwezo wa kuondoa kabisa
matatizo ya box-flm au PIXCEL, na kuonyesha kitu kwa asili yake. mbali
na hapo matumizi ya kweli kwamba hewa ni kimiminika (LIQUID), kina
mawimbi yenye nafazi pana zaidi ya kusafirisha sauti. inasadikika kwamba
sauti zote tunazoongea huwa hazipotei, sauti husafiri kutokana na
masafa ya hali ya hewa. kamera hizi zina uwezo wa kukusanya sauti hizi,
ikazitafsiri na kuchambua njema na mbaya kutokana na maelekezo zilizo
pewa, na kisha kuzifuatilia sauti hizo au mawasiliano hayo popote na
vyovyote ndani ya sekunde chache zaidi.
Bidii za mataifa ya mashariki ya kati na Korea kaskazini ya kupinga
matumizi ya simu za kisasa na intaneti hayasaidii hata kidogo kuweka
supreme security za ndani na nje ya nchi zao. DHSC hupenya popote na
vyovyote.. wasiwasi wangu ni kwamba ikifika mahali wakazibebesha silaha
hasa UFO basi kuna hatari ya kumdhuru mtu yeyote na popote watakavyo and
i am sure wako mlangoni au wameshaingia kwenye zoezi hili.
ndugu zangu Watanzania.
Tunashibishwa siasa za kishenzi, siasa za kutukanana, siasa za
kukebehiana na kupigwa na upofu wa wa kile kinachoendelea duniani.
Tunagombania taifa ambalo tayari limeshatekwa siku nyingi sana. ni wazi
hatuna mabavu ya Kupambana na Mataifa haya yenye Nguvu za kiuchumi.
lakini Tunacho ambacho hawana, tunaweza kujenga taifa lenye AMANI, taifa
tulivu na lenye upendo. Tunaweza kuwashinda kwa Nguvu ya AMANI. lazima
kuchagua mfumo wa MAISHA YA KUJITOFAUTIOSHA na mataifa haya, mtindo
tulio nao unatupeleka kutenda kama wao walivyotenda miongo mingi
iliyopita NA KUSHINDWA. lazima tubadilike
Bye Nelson
CCA