Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

Genesis/Mwanzo 6
1 When men began to increase in number on the earth and daughters were born to them, 2 the sons of God saw that the daughters of men were beautiful, and they married any of them they chose. 3 Then the LORD said, "My Spirit will not contend with man forever, for he is mortal; his days will be a hundred and twenty years." 4 The Nephilim were on the earth in those days--and also afterward--when the sons of God went to the daughters of men and had children by them. They were the heroes of old, men of renown.
 
Mimi kama mimi ninaimani kabisa hatupo wenyewe tu kwenye hizi sayari zetu. Kama dunia ni sayari moja tu katika sayari nyingi sana haiwezekani tuwepo sisi tu na majini. Tukiachilia mbali vitabu vya dini, wanasayance hasa astronomers wanalijua hili vizuri sana. Kuna vitu vingi sana kuhusu uwepo wa viumbe wengine kutoka sayari zingine ambao wamekuwa wakitembelea dunia yetu. Kuna habari nyingi tu kuhusiana na hili. Walio tembelea mwezi wanasiri kubwa sana kuhusiana na viumbe wangine wanaokutana nao huko nao wakiwa matembezini ila wanatunza siri. Ni muda sasa tuutafute ukweli na tuwe wadadisi.
 
akina popobawa watakua wageni walee?
mbona michezo michafu ya0712 waliijua?au walipata mwenyeji:eyebrows:
 
Asante mkuu kama nawe umetafakari na kuligundua hilo. Wacha tuone wengine wana maoni au mawazo gani juu ya hilo.
Nawakaribisha

Kama ulivyosema, duniani kuna viumbe vinavyoonekana na visivyoonekana, sasa je kwanini hukulenga swali lako kwenye viumbe vinavyoonekana ktk hizo sayari nyengine?
 
Inasemekana ktk imani yakikristo kuwa kuna malaika walitembea na wanawake wa duniani na kutoa watoto nusu binadamu nusu malaika walikuwa magiants ktk gharika la nuhu mungu aliangamiza kizazi hiki kwani hakukupa mpango wa mungu kilianza kuvuruga amani ya wanadamu walioishi nao wakati huo.lakini viumbe hawa(nephelim) ktk biblia wanaitwa wanefili hawakufa walikwenda kuishi sayari zingine .hivyo yawezekana ndio hao wanaosadikika kuwa aliens

Mmmmh! Malaika wamefanya uzinifu?!!!!
Mbona vitabu vinasema malaika hawana jinsia!!!!!!!!
 
Kama ulivyosema, duniani kuna viumbe vinavyoonekana na visivyoonekana, sasa je kwanini hukulenga swali lako kwenye viumbe vinavyoonekana ktk hizo sayari nyengine?

Asante kwa swari lako zuri Mashaxizo nami nakujibu kama ifuatavyo. Uchunguzi juu ya sayari zingine kama zinaweza kusuport human being life haujaanza jana wala leo bali ni siku nyingi sana. Wanasayansi wamefanikiwa kupereka binadamu hadi kwenye mwezi na report walizoleta ni kwamba hawajakuta kiumbe yeyote, kwenye mars hakijakutwa kiumbe chochote na reports kadha juu ya sayari zingine pasipo kuonesha kama kuna viumbe.
Hapo ndipo swari linapojengeka sasa, je kama kuna viumbe visivyoonekana kwa uwezo wa macho na vyombo vyetu telescope etc je kuna uwezekano wa hizo sayari tulizokwisha zifanyia uchunguzi na kuona hakuna viumbe kuwepo kwa viumbe visivyoonekana vikiishi katika mazingira yakwao wenyewe na mifumo yao wenyewe au hata kama inafanana na mfumo wetu wa hapa duniani?
Nadhani kwa maelezo haya utakuwa umenielewa vizuri. Karibu
 
Mmmmh! Malaika wamefanya uzinifu?!!!!
Mbona vitabu vinasema malaika hawana jinsia!!!!!!!!

vitabu vipi mkuu? Sijui dini yako ila kasome vizuri vitabu vya dini kasome biblia mwanzo, na kutoka utaelewa nilichosema.walsika waasi walifanya nini na wanefili ni viumve gani
 
Mwambie asome Mwanzo 6 yote
 
Genesis 6. Mwanzo 6
1 When men began to increase in number on the earth and daughters were born to them, 2 the sons of God saw that the daughters of men were beautiful, and they married any of them they chose. 3 Then the LORD said, "My Spirit will not contend with man forever, for he is mortal; his days will be a hundred and twenty years." 4 The Nephilim were on the earth in those days--and also afterward--when the sons of God went to the daughters of men and had children by them. They were the heroes of old, men of renown.
 
Asante kwa swari lako zuri Mashaxizo nami nakujibu kama ifuatavyo. Uchunguzi juu ya sayari zingine kama zinaweza kusuport human being life haujaanza jana wala leo bali ni siku nyingi sana. Wanasayansi wamefanikiwa kupereka binadamu hadi kwenye mwezi na report walizoleta ni kwamba hawajakuta kiumbe yeyote, kwenye mars hakijakutwa kiumbe chochote na reports kadha juu ya sayari zingine pasipo kuonesha kama kuna viumbe.
Hapo ndipo swari linapojengeka sasa, je kama kuna viumbe visivyoonekana kwa uwezo wa macho na vyombo vyetu telescope etc je kuna uwezekano wa hizo sayari tulizokwisha zifanyia uchunguzi na kuona hakuna viumbe kuwepo kwa viumbe visivyoonekana vikiishi katika mazingira yakwao wenyewe na mifumo yao wenyewe au hata kama inafanana na mfumo wetu wa hapa duniani?
Nadhani kwa maelezo haya utakuwa umenielewa vizuri. Karibu

Hahahahahahaaaa!
Ok nimekusouma!
...
Uwepo wa viumbe wengine ktk sayari nyengine unanipa maswali magumu sana!
 
Genesis 6. Mwanzo 6
1 When men began to increase in number on the earth and daughters were born to them, 2 the sons of God saw that the daughters of men were beautiful, and they married any of them they chose. 3 Then the LORD said, "My Spirit will not contend with man forever, for he is mortal; his days will be a hundred and twenty years." 4 The Nephilim were on the earth in those days--and also afterward--when the sons of God went to the daughters of men and had children by them. They were the heroes of old, men of renown.

Asante mkuu nakushukuru
 
vitabu vipi mkuu? Sijui dini yako ila kasome vizuri vitabu vya dini kasome biblia mwanzo, na kutoka utaelewa nilichosema.walsika waasi walifanya nini na wanefili ni viumve gani

Mmmh, Mafundisho ya Islam chini ya Quran ndio yametoa sifa hizi kwa malaika:
1 Hawatendi dhambi yoyote!
2 Hawana jinsia!
3 ... Nk nk!
...
Na nnavyoelewa mimi Qur-an na Bible zinapingana kwenye issue za nani mtume nani Mungu, kwa historia na mambo mengine ziko sawa!
...
Kwa vile sina uhakika wewe nijibu swali hili:
kwani bible inasema kuna Malaika wa kiume?
 
Kuna vitu vingi watu wengi hawajui. Hili la wanefili wakristo wengi hawajui kils nilipojaribu kuwaulizia wakati naanza kudafisi juu ya hawa nephelims walikuwa wananambia hawajui hivyo hivyo hata uwepo wa viumbe vingine ktk sayari nyingine ni jambo linaloweza kuwa kweli kabisa
 
Mmmh, Mafundisho ya Islam chini ya Quran ndio yametoa sifa hizi kwa malaika:
1 Hawatendi dhambi yoyote!
2 Hawana jinsia!
3 ... Nk nk!
...
Na nnavyoelewa mimi Qur-an na Bible zinapingana kwenye issue za nani mtume nani Mungu, kwa historia na mambo mengine ziko sawa!
...
Kwa vile sina uhakika wewe nijibu swali hili:
kwani bible inasema kuna Malaika wa kiume?

Ktk biblia kuna majina ya malaika kama Michael, gabriel nk majina haya ni ya kiume ila nachelea kusema kuwa si lazima Gabriel au Michael kuwa mwanaume au mwanamke. Ila najua malaika walizini na wanadamu na mungu hakupendezwa na kitendo hicho. Hii ni uthibitisho kuwa malaika wapo wanaume na wanawake
 
Malaika hawatendi dhambi kama wakiamua kutii enzi kuu (mungu) lakini malaika hawa hawa ndio walifanya dhambi ya uasi na kutupwa kuzimu rejea story ya lusifa
 
Mmmh!

Hahahaaaa! Yule si alikuwa shetani?
 
Mmmh!

Hahahaaaa! Yule si alikuwa shetani?

Mh kiongozi! Story ya lusifa huijui alikuwa malaika mbinguni wa sifa aliongoza nyimbo za kumsifu muumba . Sasa kwa nini unafikiri ibilisi shetani anaitwa fallen angel? Au malaika muasi? Labda nikuulize shetani alitoka wapi?
 
Swali ni zuri tena la kufikirisha. Je inawezekana UNDEFINED FLYING OBJECTS (UFO) na ALIENS ni miongoni mwa viumbe hao toka 'dunia' nyingine?
 
Back
Top Bottom