What if he/she / they are on advisory role ? Is it a Crime to advice ?, they can not come forward because advisory job is not an official jobThen this master of the is a coward! He should surface for everybody to him, assess him/her rather than hiding behind the curtains!
Unajua January Nape na MLN wapo strategically. Wanajua sana strategies and you wanna keep those kind of people in your administration.Ili uwawin wananchi wengi wa TZ (wengi hawajasoma, maskini, na wanachohangaikia wao ni mlo tu wa siku) inabidi uwe na tabia kama zile za Magufuli, za Kuishi, kusema na kuyatenda yale kundi hilo nililolitaja linataka! Samia hana haiba ya kuyafanya hayo aliyokuwa anafanya Magufuli.
Samia ni wa kisasa zaidi, hivyo yeye kama yeye ataweza kuwawin watu wa kundi la juu na kati, may be na wanawake sababu ya jinsia yake. Inabidi apate wasaidizi wanaokubalika na hilo kundi la chini ili limuunge mkono, ambapo kwa sasa naweza kusema ana Majaliwa, Kabudi, Ummy, Aweso, may be na huyo Lukuvi. January, Riz, Nape, Mwigulu hao wote tabaka la chini linawakataa, linawaona siyo wenzao (Nadhani unajua maskini walivyo).
Kwenye siasa za chama hadi sasa anaufinyia ndani vibaya mnoo, jinsi alivyopokea nchi kutokana na kifo cha Magu, jinsi alivyodeal na suala la Mbowe, jinsi alivyodeal na wafuasi wa Magu chamani, na sasa jinsi alivyompiga matobo Job, simply the best
Watu wanamu-underestimate mama. Atawashangaza sana...Master of the game ni Mama mwenyewe, kafanya pre emptive strike ya pili within a week. Mama anaupiga mwingi anaweza akabadirisha formation katikati ya mchezo,kutegemea na hali harisi ya wakati huo.Anachojali ni matokeo tu.
Lakini mkuu huyu Mama hajapewa muda wa kutimiza lile analotaka.Watu wamemkalia kooni hata kabla hajamaliza sentensi ya kwanza.Ila vita hivyo ni vya kushinda wenyewe kwa wenyewe Vita vya kushinda moyo wa Wananchi ni either Ku-Deliver au Kupiga Propaganda (hata kama sio za kweli) jambo ambalo sidhani kama analishinda sasa hivi
Haitakaa itokeee Mbowe afungwe Mama siyo mjinga saivi anabuy time wa hili Vuguvugu lao lipite lile la katiba mpya kuna kete anataka kuicheza tusubili tuone.Toka naanza kujitambua akili yangu inaniambia Mbowe ni kitengo cjui kwann !!Kwa mawazo yangu hio ilikuwa another mistake (vita ambavyo hawezi kushinda politically) akimfunga ameshindwa akimwachia ameshindwa (asingeanzisha hio vita) Politically Havimsaidii kitu (Unless otherwise unaamini anaacha muhimili wa mahakama ufanye kazi na yeye hauingilii (Jambo ambalo aliingia nalo mwanzo na watu walimpenda kwamba atakuwa mtenda haki)
Kabisa mkuu Mbowe sio mkorofi hivi mtu mmoja muelewa sana hazungumzi kwa mihemko kuna kitu kinaendelea Chini ya mtori nyama zimefichwa tunababaishwa na hili la ugaidi hii kesi itaisha na wala hutasikia Mbowe amefungwaSidhani kama ameliachia liendelee sababu ya kumchukia Mbowe au kuukandamiza Upinzani, kwanza Mbowe ni kati ya wapinzani wastaarabu sana, ni rahisi sana kumuita kuzungumza naye kama kuna mambo huyataki yafanyike kwa muda huo na akakusikiliza na kuwatuliza wafuasi wake.
Sababu za hiyo kesi kuendelea ni mystery ambayo wenyewe wanajua, May be kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia.
Kwa haiba ya Samia, na Mbowe mwenyewe pia, hii kesi kwa macho yetu sisi watazamaji haina mashiko! Sasa wao ambao wapo uwanjani wanajua nini kinaendelea! Cha kushangaza zaidi Samia alimtakia pole Mbowe juu ya kifo cha kaka yake siku chache kabla ya kukamatwa kwake, na ilikuwa very humble msg, lakini wakati huo huo alikuwa ameandikiwa barua na mbowe ya kuomba kuonana naye na alikuwa amekubali tayari!Kabisa mkuu Mbowe sio mkorofi hivi mtu mmoja muelewa sana hazungumzi kwa mihemko kuna kitu kinaendelea Chini ya mtori nyama zimefichwa tunababaishwa na hili la ugaidi hii kesi itaisha na wala hutasikia Mbowe amefungwa
Sure I agree with youLakini mkuu huyu Mama hajapewa muda wa kutimiza lile analotaka.Watu wamemkalia kooni hata kabla hajamaliza sentensi ya kwanza.
Kagundua yupo kwenye hostile environment ndipo akaja na law of the jungle survival for the fittest.Akiweza kuhimili mikiki hiyo basi ata delivery zitaonekana kwa naked eyes.
Mbowe na system ni waaarabu wapemba wanajuana kwa vilemba vyao, basi tu jiwe aliamuaga kumtesa kwa kutokujua, mbowe ataachiwa free na atabadeal gear angani kywazuga mashabiki wakeHaitakaa itokeee Mbowe afungwe Mama siyo mjinga saivi anabuy time wa hili Vuguvugu lao lipite lile la katiba mpya kuna kete anataka kuicheza tusubili tuone.Toka naanza kujitambua akili yangu inaniambia Mbowe ni kitengo cjui kwann !!
Mbowe ni Asset!!Mbowe na system ni waaarabu wapemba wanajuana kwa vilemba vyao, basi tu jiwe aliamuaga kumtesa kwa kutokujua, mbowe ataachiwa free na atabadeal gear angani kywazuga mashabiki wake
Waliosogezwa ikulu wamedhibitiwa tayari. Ni masuala yale ya mtu kupewa dawati pembeni ya mlango wa kuingia ofisi ya rais, kila asubuhi wanafika na kukaa ili rais awaone na aridhike kwamba wapo.Kuna mambo yanayofanyika ni kama yanakinzana, kuna decisions ukiziona au kauli ukizisikia unaweza kudhani labda mtu huyu anataka achukiwe au anashauriwa vibaya (anatengeza image mbovu kwa wapiga kura / wananchi).... Sidhani kama analiweza game la Propaganda.
Ila kuna move nyingine ukiziona ni kama vile unaangalia Movie ya The Godfather ile take over ya The Five Families ya Michael Corleone, yaani the thinking beyond the thinking ni long term (playing the long game)
Mfano yaliyotokea leo kama kweli waliovutwa Ikulu walikuwa maadui au wana agenda zao ni kuwakata mabawa (even just for now) na kuweka ile plausible deniability kwamba mimi sio mbaya na tupo pamoja.
Kwahio kwa ufupi huenda aliyepo kwenye hii team he/she knows politics inside out; huenda asifanye mtu apendwe ila agenda zake zikapita no matter ni agenda gani hizo..., In short there might be a Political Maestro who is the Master of the Game.
Just an opinion from an Outside Observer....
Sidhani kama Usalama / Tanzania n.k. wanauwezo wa kucheza hii Three Dimensional Chase...., Ni ngumu sana ku-preempt Matokeo hata kama alikuwa rafiki yao, amekuwa rafiki yao au atakuwa rafiki yao haimaanishi leo jana wala kesho hawawezi wakakosana au wakapatana...Mbowe na system ni waaarabu wapemba wanajuana kwa vilemba vyao, basi tu jiwe aliamuaga kumtesa kwa kutokujua, mbowe ataachiwa free na atabadeal gear angani kywazuga mashabiki wake
Vita vya sasa (vya wanasiasa) havipiganwi na mitutu wala manguvu bali Propaganda na Uongo na kuwahadaa watu, yaani hata kama haufanyi mambo kutafuta adui na kumsingizia kwamba hizo shida ni sababu ya huyu / hawa....Kwa taarifa tu ,halindiki
A master is good at using the institutions to his or her advantages...Hii ni hatari sana sana...Inaogopesha, what if its a click of individuals backed by external sources?Kuna mambo yanayofanyika ni kama yanakinzana, kuna decisions ukiziona au kauli ukizisikia unaweza kudhani labda mtu huyu anataka achukiwe au anashauriwa vibaya (anatengeza image mbovu kwa wapiga kura / wananchi).... Sidhani kama analiweza game la Propaganda.
Ila kuna move nyingine ukiziona ni kama vile unaangalia Movie ya The Godfather ile take over ya The Five Families ya Michael Corleone, yaani the thinking beyond the thinking ni long term (playing the long game)
Mfano yaliyotokea leo kama kweli waliovutwa Ikulu walikuwa maadui au wana agenda zao ni kuwakata mabawa (even just for now) na kuweka ile plausible deniability kwamba mimi sio mbaya na tupo pamoja.
Kwahio kwa ufupi huenda aliyepo kwenye hii team he/she knows politics inside out; huenda asifanye mtu apendwe ila agenda zake zikapita no matter ni agenda gani hizo..., In short there might be a Political Maestro who is the Master of the Game.
Just an opinion from an Outside Observer....
Naam hapa mshindi sio Tanzania wala sio Wananchi wala sio Anayetawala long Term (ku-win nyoyo za wananchi / kuacha legacy) hapa ni kupata ushindi baina ya wenyewe kwa wenyewe wakijua kwamba ukishashinda huko basi mchezo umekwisha....A master is good at using the institutions to his or her advantages...Hii ni hatari sana sana...Inaogopesha, what if its a click of individuals backed by external sources?
Cry my country!
Ndio maana nasema kumkamata was a wrong move ndio maana serikali inahangaika Sasa maana ni kesi ya aibu Hadi kubadilisha majaji lakini kimebuma, Sasha hakupewa enough information about hii case ambayo inasumbua Sasa hata kama mbowe kweli angekuwa gaidi, ila vile ni mwanasiasa wa upinzani basi itajulikana ni kukomoana, ndio maana magufuli licha ya kuwa katili kwa wapinzani hakuwahi kumfungulia case mbaya.Sidhani kama Usalama / Tanzania n.k. wanauwezo wa kucheza hii Three Dimensional Chase...., Ni ngumu sana ku-preempt Matokeo hata kama alikuwa rafiki yao, amekuwa rafiki yao au atakuwa rafiki yao haimaanishi leo jana wala kesho hawawezi wakakosana au wakapatana...
In short Binadamu hatabiriki, pia kama huu ni mpango wao ni very inefficient, ukizingatia Mama anapenda ku-deal na Mataifa ya nje na kuonekana ni mtenda Haki (hili suala is doing neither)....
Ukongwe wa kabudi ndani ya siasa ni upi???Waliosogezwa ikulu wamedhibitiwa tayari. Ni masuala yale ya mtu kupewa dawati pembeni ya mlango wa kuingia ofisi ya rais, kila asubuhi wanafika na kukaa ili rais awaone na aridhike kwamba wapo.
Kwa ufupi Samia hapendi kuwa na upinzani wa maana itakapofika 2025. Kawanyamazisha wanasiasa wawili wakongwe na wanaozijua kila njia za kisiasa.
You gotta do things differently brother.Kushinda Katika siasa za sasa duniani you need a Propaganda Machine na ili ufanye Propaganda vizuri inabidi uzibe Uhuru wa Habari (jambo ambalo JPM alifanya Samia sidhani kama atafanya)....
Maza hajatuliaKwa haiba ya Samia, na Mbowe mwenyewe pia, hii kesi kwa macho yetu sisi watazamaji haina mashiko! Sasa wao ambao wapo uwanjani wanajua nini kinaendelea! Cha kushangaza zaidi Samia alimtakia pole Mbowe juu ya kifo cha kaka yake siku chache kabla ya kukamatwa kwake, na ilikuwa very humble msg, lakini wakati huo huo alikuwa ameandikiwa barua na mbowe ya kuomba kuonana naye na alikuwa amekubali tayari!
Ni jambo la kushangaza kidogo!!