Area 51 ni eneo gani haswa?

Area 51 ni eneo gani haswa?

Uzi unakosa wachangiaji wengi...
Lugha mkuu..... mwenyew nmesoma heading tu na ulivyoanza kwengine pamenishinda

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ilikuwa ni kukupa uelewa kidogo wa sehemu nilipopata hii kitu na ndio kilichonipa ukakasi kidogo wa kuamini nadharia hizi.
Ila kwa vile umeshindwa kuelewa siwezi kukulazimisha kuchangia mkuu

Sent using Infinix hot 4
 
Hapa ndipo tunapommisi Habibu Anga au bwana The Bold. Unacopy kilichoandikwa huko na kutuletea hata kutusaidia kumengebya japo kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni kwa akili ya kukupa mwanga ila ungesema nikufanyie summary naweza mkuu. Ili kuwa ni kitendo cha kuomba tu.

Sent using Infinix hot 4
 
the BOLD alisha elezea hili, pekua utaelimika.
 
Asanteni ila nilitaka kujua The bold aliandika kama confirmation ya uwepo Wa Hawa viumbe au clarification ya ya imani mbili juu ya uwepo Wa Aliens???
Mm sijaalia upande Wa kwamba Aliens wapo au hawapo.
Shida ni kwamba tusipende kuangalia mlengo unaotupeleka moja kwa Mona kuamini bila ya kuruhusu akili zetu zinachanganue mambo hizi!!!!
 
👉Zime bakia siku 3 tu, kufikia tarehe 1/9, ambapo zaidi ya watu laki 5, wanatarajiwa kufanya maandamano Nchini Marekani , sehemu ya Area 51, (Area 51 strom) kwa lengo la kutaka kujua siri za eneo hilo muhimu.
Mwanzilishi wa ajenda hiyo Matty Roberts ali sema alikuwa anachukulia utani lakini kwa sasa ajenda hiyo imekuwa na nguvu na mashiko sana huku ikiwa inaonekana ni jambo lililo dhamiriwa miongoni mwa maelfu ya watu, kitu kilicho sababisha hata serikali nayo kushtushwa na kutoa tamko.
Hata hivyo mamlaka ya ulinzi Nchini hapo ilitoa tamko na kusema kwamba, hawategemei kama kuna mtu atakae fanya maandamano hayo, na kama yatafanyika hawata kubali kuruhusu mtu kuingia katika eneo hilo na hawa tegemei kumuumiza mtu yeyote siku hiyo.
Ikumbukwe wazo hilo lilikuja baada ya kuwa na mijadala mingi sana kuhusu Area 51 , huku wengi wakiamini kuna viumbe vya ajabu mahali apo
 
Sawa
[emoji117]Zime bakia siku 3 tu, kufikia tarehe 1/9, ambapo zaidi ya watu laki 5, wanatarajiwa kufanya maandamano Nchini Marekani , sehemu ya Area 51, (Area 51 strom) kwa lengo la kutaka kujua siri za eneo hilo muhimu.

Back
Top Bottom