Area 51 ni eneo gani haswa?

Area 51 ni eneo gani haswa?

Hapa watakufa watu maana USA hawatakubali REPTILIANS/ ALIENS wajulikane.

barabara za kwenda huko zina round sencors ambazo huwezi kuingia bila kujulikana licha ya walinzi wa usiku na mchana.
Anga la area 51 hakuna ndege ya kiraia inaruhusiwa kupita. wafanyakazi wa hapo wanalindwa kama wahalifu.
 
18194668_1720370667978338_8696730573989792366_n.jpg
Wamarekani ni wafuga majini, kama tu wapemba, ila wa Marekani majini yao wanayaita majina mazuri, Alien, Mara UFO wakati nyie majini yenu mnayaita subihani, makata,maimuna etc
58580559_10216820201310111_2731263157719793664_n.jpg
 
Hapa watakufa watu maana USA hawatakubali REPTILIANS/ ALIENS wajulikane.

barabara za kwenda huko zina round sencors ambazo huwezi kuingia bila kujulikana licha ya walinzi wa usiku na mchana.
Anga la area 51 hakuna ndege ya kiraia inaruhusiwa kupita. wafanyakazi wa hapo wanalindwa kama wahalifu.
Tumuombe Mungu na hawa marubani wetu wa madrimulaina wasije wakatupitisha siku moja tukatunguliwe...
 
Salam wakuu,

Nimekua nikifuatilia kwa muda mrefu sasa kuhusu swala la hili eneo la Area 51 ambalo lipo maeneo ya Nevada desert marekani. Kuna nadharia nyingi sana kuhusu eneo hili, na Kituo hicho kilichojengwa Mwaka 1955 kilikua ni cha kificho mpaka mwaka 2013 Mwezi August CIA ilivyoweka wazi existence ya kituo hiko .

Basically ni Moja ya air force base ya marekani lakini kuna usiri mkubwa sana kuhusu eneo Hilo na kinachoendelea ndani. Ni very restricted area na kuna mabango mengi ya vitisho kama "TRESPASSERS WILL BE SHOT, SURVIVORS WILL BE SHOT AGAIN" [emoji41].

Je, ni nini wamarekani wanaficha? Je, ni kweli kuna aliens waliangukaga pale?

Cha ajabu hata Rais mwenyewe kwa mwaka anaruhusiwa kutembelea eneo hilo kwa limited time pekee (sijui mara mbili).
 
Curiosity tu mkuu

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app

Good luck Mkuu. However, it’s not that easy to find the truth despite you may find so much information about it on the internet.
One day, when I was scrolling up and down on Quora I came across an article trying to tell what is carried out in the Area 51. One of the information was, in the Area 51 a lot of classified projects including development of Nuclear [emoji3518] and deadly biological weapons. That’s little information that I managed-to grasp.
 
Duuuh. Mimi pia nlipata information kwamba wanadevelol mandege ya hatari sana ambayo ni tech ya kama miaka 40 mbele

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom