Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,384
Sehemu iko wapi mkuu wengine wanasema ngerengere Lakin hamna kitu kama hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena chai haswa na mimi naongezea viungo ili iwe chai kwelikweliCHAI tu hizo.
Sasa huko kutakuwa kutujaza itakuwa hamna kitu hyo area 51 secret lakini unajua kwetu ndo husijue labda kama lipo bahariniHaijurikani ilipo ila inasemekana ilifichwa kichawi na wajeruman kwa makubariano maalumu
Note
Sio gamboshi
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Sasa Gamboshi kwani imefichwa? Halafu sio gamboshi ni GambosiHaijurikani ilipo ila inasemekana ilifichwa kichawi na wajeruman kwa makubariano maalumu
Note
Sio gamboshi
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Nchi nzito hii hivi unajua kuwa tz inaunda nani ( ) chini ya msaada wa north Korea?Sasa huko kutakuwa kutujaza itakuwa hamna kitu hyo area 51 secret lakini unajua kwetu ndo husijue labda kama lipo baharini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ilikuwa ni kukupa uelewa kidogo wa sehemu nilipopata hii kitu na ndio kilichonipa ukakasi kidogo wa kuamini nadharia hizi.Uzi unakosa wachangiaji wengi...
Lugha mkuu..... mwenyew nmesoma heading tu na ulivyoanza kwengine pamenishinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni kwa akili ya kukupa mwanga ila ungesema nikufanyie summary naweza mkuu. Ili kuwa ni kitendo cha kuomba tu.Hapa ndipo tunapommisi Habibu Anga au bwana The Bold. Unacopy kilichoandikwa huko na kutuletea hata kutusaidia kumengebya japo kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu gani ebu fafanua kidogo mkuu
Sent using Infinix hot 4
alisha liandika hili huyu mvivu wa kusoma,Hapa ndipo tunapommisi Habibu Anga au bwana The Bold. Unacopy kilichoandikwa huko na kutuletea hata kutusaidia kumengebya japo kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji117]Zime bakia siku 3 tu, kufikia tarehe 1/9, ambapo zaidi ya watu laki 5, wanatarajiwa kufanya maandamano Nchini Marekani , sehemu ya Area 51, (Area 51 strom) kwa lengo la kutaka kujua siri za eneo hilo muhimu.
Mwanzilishi wa ajenda hiyo Matty Roberts ali sema alikuwa anachukulia utani lakini kwa sasa ajenda hiyo imekuwa na nguvu na mashiko sana huku ikiwa inaonekana ni jambo lililo dhamiriwa miongoni mwa maelfu ya watu, kitu kilicho sababisha hata serikali nayo kushtushwa na kutoa tamko.
Hata hivyo mamlaka ya ulinzi Nchini hapo ilitoa tamko na kusema kwamba, hawategemei kama kuna mtu atakae fanya maandamano hayo, na kama yatafanyika hawata kubali kuruhusu mtu kuingia katika eneo hilo na hawa tegemei kumuumiza mtu yeyote siku hiyo.
Ikumbukwe wazo hilo lilikuja baada ya kuwa na mijadala mingi sana kuhusu Area 51 , huku wengi wakiamini kuna viumbe vya ajabu mahali apo