Ndio,MK-Ultra is a CIA Mind Control Experimentation Programme which generally centers around behavior modification via electro-shock therapy, hypnosis, polygraphs, radiation, and a variety of drugs, toxins, and chemicals. These experiments relies on a range of test subjects: some who freely volunteer, some who volunteer under coercion, and some who have absolutely no idea they are involved in a sweeping defense research program.CIA wenyewe wanasema hii programme haipo tena,lakini taarifa za kuaminika ni kwamba ipo na inaendelea katika kiwango cha juu na siri zaidi.Ever herd about MKULTRA mkuu!
Hhahaha
Salam wakuu,
Nimekua nikifuatilia kwa muda mrefu sasa kuhusu swala la hili eneo la Area 51 ambalo lipo maeneo ya Nevada desert marekani. Kuna nadharia nyingi sana kuhusu eneo hili, na Kituo hicho kilichojengwa Mwaka 1955 kilikua ni cha kificho mpaka mwaka 2013 Mwezi August CIA ilivyoweka wazi existence ya kituo hiko .
Basically ni Moja ya air force base ya marekani lakini kuna usiri mkubwa sana kuhusu eneo Hilo na kinachoendelea ndani. Ni very restricted area na kuna mabango mengi ya vitisho kama "TRESPASSERS WILL BE SHOT, SURVIVORS WILL BE SHOT AGAIN" [emoji41].
Je, ni nini wamarekani wanaficha? Je, ni kweli kuna aliens waliangukaga pale?
Cha ajabu hata Rais mwenyewe kwa mwaka anaruhusiwa kutembelea eneo hilo kwa limited time pekee (sijui mara mbili).
EeehWanasema ni mlango wa kwenda kuzimu eti
Hicho apo mzee.View attachment the_alien_races_book.pdfJina la kitabu tafadhari
Nami naibadili kuwa uji kabla hujaweka majani MkuuTena chai haswa na mimi naongezea viungo ili iwe chai kwelikweli
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hicho apoView attachment the_alien_races_book.pdfmkuu hicho kitabu vipi?
Kinaitwaje na nitakipataje?
Shukrani!
Shukrani Sana mkuu Norshad tupo pamoja!
Mzinga Morogoro ....near uruguru niishie hapoSehemu iko wapi mkuu wengine wanasema ngerengere Lakin hamna kitu kama hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!.. wapi tena huko?Mbona Tanzania ipo sehemu kama hiyo that why usa huwa anaivungia Tanzania ikifanya madudu
Sent using my iPhone using jamiiforum app