MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hope we gonna make it
Nikimuona king kwenye mood kama hii najawa na Furaha yenye hisia Kali.
ni kweli mkuu nq ushindi dhidi ya Colombia ulikuwa ni muhimu saaanaNikimuona king kwenye mood kama hii najawa na Furaha yenye hisia Kali.
Chile lazma wafe
Chile lazma wafe
Ref hawa jamaa wanawasumbua sana Argentina kila wakikutana. Hii game itakuwa 50/50.Tena kifo cha mbwa, na atakiona cha moto huku la pulga, huku the bruno Dybala...huyu fundi natamani aje Barca nitafurahi aisee.
Hii mechi KING ndio kapiga bao pekee
hakika mkuu mdogomdogo ndio mwendoYess, na imepanda nafasi ya tatu, mwendo mndogo mndogo tu, na hao wengine tunawasubiri kwa hamu
Higuain ana gunduTim limejaa mastaa wakutosha na wengine wanakosa hadi nafasi...lakini sijui tunakosea wapi jamani.hii inashangaza sana. Lakini All in All dakika 90 zitaamua hiyo cku..