Argentina yaanza mchakato kuvidai tena visiwa vya Falklands kutoka Uiengereza

Argentina yaanza mchakato kuvidai tena visiwa vya Falklands kutoka Uiengereza

Thread 'Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale' Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale
Fanya uchunguzi urudi usitumie maarifa ya shule ya msingi mkuu.
Kwani thread ya JF yenye ushahidi wa comments za YouTube ndio uchunguzi.
Naweza leta thread ya kusema dunia haipo nikaleta ushahidi wa comments za YouTube, utaamini dunia haipo?
Hakuna research kutoka Fiji inayosema wametoka Tanganyika, na ukisoma hiyo comment yangu kuna maelezo na maswali ya msingi sana ila wabongo kuumiza kichwa kufikiria hatutaki. Zaidi ya conspiracies na hearsay na rumours, hakuna ushahidi.

Mbona kuhusu Ngoni migration hatutumii nguvu hivi? Ukitoka hapa ukapita Zambia hadi RSA unakutana na Wangoni, mfanano wa maneno, tamaduni, majina.
 
Hao raia wa Fiji hata Tz wanaijua? Tanzania yenyewe inawajua, ina hata meli za kufika uko? Na nani kakwambia Fiji wametoka Rufiji, wao wanatambua hivyo au ni uswahilini wenu na kujipendekeza kama kusema Rashford wa Manchester United ni Rashid Makame katokea Unguja?

Falklands iko chini ya UK tangu kabla ya karne ya 19, Argentina karne ya 20 ndio ikaja kuidai. Tanzania haina hata uwezo wa kuvua samaki waliopo kilomita 100 baharini wewe unawaza habari za naval mission
Sheikh wangu huu uzi ndio nauona,kuhusu hili ni kweli kabisa zamani kuna documentary niliiona NATGEO wakazi wa fiji wanakiri kabisa although kuna watu wa fiji asili yao ni Indonesia,India n.k kuna baadhi ya watu wa Fiji walitokea Africa hasa karibu na ziwa Tanganyika hebu soma hii website ya fiji tinmes kidogo
 
Jichanganye, maji utayaita mma. Uingereza ilitembea zaidi ya kilomita 10,000 kwenye maji kwenda kupiga vita ndani ya miezi michache sasa unataka uilinganishe na superpower mmoja ana mwaka sasa anashindwa kupigana na jirani aliyevamia kupitia ardhini nchi mbili.

Kwanza Argentina ya miaka ile ilikuwa inaongozwa na military junta, na baada ya vita walihukumiwa na wananchi wale viongozi. Viongozi wa kijeshi hununua silaha nyingi zaidi kuliko wa kiraia, sasa hivi Argentina haina jeshi kubwa
Hii analysis ya kiwaki kweli
Na Argentina walisapotiwa kisiraha na mataifa yote ya Amerika ya kusini na kaskazini?

Na wakaiwekea vikwazo Uingereza vya kiuchumi kama 2000, huku wakiwasaidia intelligensia na siraha nyingine hatari hatari?

Kwa Sasa Uingereza ni paper Tiger hakuna kitu bila Marekani.
 
Sheikh wangu huu uzi ndio nauona,kuhusu hili ni kweli kabisa zamani kuna documentary niliiona NATGEO wakazi wa fiji wanakiri kabisa although kuna watu wa fiji asili yao ni Indonesia,India n.k kuna baadhi ya watu wa Fiji walitokea Africa hasa karibu na ziwa Tanganyika hebu soma hii website ya fiji tinmes kidogo
Hizo habari huwa naziona lakini natafuta navigation ya kutoka Tanganyika kufika Fiji nakosa namna. Leo hii mwaka 2025 tumtafute Mtanzania na teknolojia ya Kitanzani asafiri mpaka Fiji, hawezi.

Sasa ilikuwaje miaka hiyo ya zamani ambapo teknolojia ni duni sana na wageni hawajaingia ikawezekana Watanganyika kwenda Fiji.
 
Ndivyo wallivyo watu wote waliowahi kutawaliwa na wakoloni wa Ulaya.Hata Mayote pia wanasema ni wafaransa.Hilo wakoloni wanalijua ndio maana ukianza kuzozana nao wanakwambia itisha kura ya maoni. Dawa ni kufanya kama vile alivyofanya China kwa Hong kong.
China aliomba
 
Hizo habari huwa naziona lakini natafuta navigation ya kutoka Tanganyika kufika Fiji nakosa namna. Leo hii mwaka 2025 tumtafute Mtanzania na teknolojia ya Kitanzani asafiri mpaka Fiji, hawezi.

Sasa ilikuwaje miaka hiyo ya zamani ambapo teknolojia ni duni sana na wageni hawajaingia ikawezekana Watanganyika kwenda Fiji.
Ni kweli ni vitu vinavyotatiza sana,from coast of Indian ocean to Oceania (pacific)sio mwendo wa kawaida majahazi lkn kuna documentaries nying sana na hata jana tupu imenibidi kurudi Tiktok na Youtube kuangalia, ni kweli raia baadhi ya Fini wanakiri kuwa wazee wao wanawaambia wametokea Tanganyika, na kuna hadi documentary moja nimeangalua mwandishi alipelekea hadi kwneye Makumbusho yenye Canoes zilizotumika kwenye safari hizo
 
Back
Top Bottom