Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Angalia situation aliyonayo messi na team yake ya taifa then angalia na Portugal ambayo inaweza kusimama yenyewe usibwabwaje tu.
Yeye kuipeleka Argentins quarter final ameshawa prove wrong mlosema anatoka ktk tournament

Messi is a world class, hakuna mahali nimemfananisha Messi na Portugal.

Messi kashindwa kuipa timu yake ya taifa kombe lolote kubwa, hii ina athiri legacy yake kwa kiasi kikubwa sana.

Halafu eti unakuja kusema mimi nabwabwaja kuhusu Portugal, ukiambiwa ufanye comparisons ya Argentina vs Portugal nani ana top tier au A Listed players?
 
Kuna mambo messi kafanya ronaldo hawez kutokana na uviziaji wake.
Messi kachukua Golden ball na kuongoza man of the match 4 times 2014 world cup akimpiku pele mwenye 3 times asee mviziaji anaweza hilo
We are not talking about personal accolades, we are talking about teams achievements.
 
Kuna mambo messi kafanya ronaldo hawez kutokana na uviziaji wake.
Messi kachukua Golden ball na kuongoza man of the match 4 times 2014 world cup akimpiku pele mwenye 3 times asee mviziaji anaweza hilo
Mviziaji ana EURO.. ana EPL, LA LIGA NA SIRIE A
we unaleta man of the match hapa .. acha ujinga
 
Haijawahi tokea mchezaji anaesemwa sana na haters kama Messi, hapo ndio ujuwe "Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe"
Anasemwa sana kwa kuwa hana lolote argentina... ana kombe gani?
 
Hasidi ni wewe unaemsema cr7 anavizia ? bora avizie abebe ndoo kuliko huyo anaestaafu na kurudi tena uwanjani.

Kombe wabebe wengine, sifa mnamuagia ronaldo 😁😁
Mtaongea sana lakini ukweri uko pale pale, kuwa Messi ndio mcheaji bora kuawai kutokea.
 
huu uzi lazima mashabiki wa andunje baba njerekera wakushambulie [emoji23][emoji23][emoji23] wanateseka kinoma,..
 
Anajipasia sawa je huyo ronaldo anaepasiwa?!
Kat ya anaejilisha na kulishwa nan bora
Anaejipasia hana kitu Argentina zero kabisa.
Anaepasiwa ana EURO + UEFA NATIONAL LEAGUE

Bora utampata hapo kama zinakutosha
 
Mviziaji ana EURO.. ana EPL, LA LIGA NA SIRIE A
we unaleta man of the match hapa .. acha ujinga
We unakunywa gongo eeh?!
We hujui km hiyo ni ya world cup records ?!
Kumbe nabishana nawe then huna ulijualo.
 
Ronaldo amepitwa hadi na modric.
Modric mwaka jana kaweka world cup records ronaldo hana.
Messi kaweka kwa kuvunja hadi za kina pele ronaldo hana we unasemaje ww
Anaejipasia hana kitu Argentina zero kabisa.
Anaepasiwa ana EURO + UEFA NATIONAL LEAGUE

Bora utampata hapo kama zinakutosha
 
Yule mviziaji ana mchango wa kawaida sanaaaa km wa Bernardo tyuu.
Ila messi amechoka kuwabeba WaArgentins maana kila wakibebwa hawabebeki
Wengine akina Fellaini au PORTUGAL?
 
Ronaldo amepitwa hadi na modric.
Modric mwaka jana kaweka world cup records ronaldo hana.
Messi kaweka kwa kuvunja hadi za kina pele ronaldo hana we unasemaje ww
Unaongea pumba tupu,,maandishi yako yananuka kinyesi tu.

Records gani hizo messi kamzidi pele?
 
Yule mviziaji ana mchango wa kawaida sanaaaa km wa Bernardo tyuu.
Ila messi amechoka kuwabeba WaArgentins maana kila wakibebwa hawabebeki
Andunje midevu mbona jana amepwaya sana mkuu?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ona ulivyo hata kusoma hujui.
Nakusihi soma vizury.
Records za uchezaji bora kombe la dunia messi ndio anaeongoza kama hujui tena alivunja records za hawa wakuu 2014.
Kaangalie vzury net
Unaongea pumba tupu,,maandishi yako yananuka kinyesi tu.

Records gani hizo messi kamzidi pele?
 
Huna ulichokiongea cha maana.
Argentins nzima inatakiwa kulaumiwa sio messi tuu kwasababu wana kasumba ya kutokucheza ki team work na ku rely kwa messi km anacheza peke ake
Anaejipasia hana kitu Argentina zero kabisa.
Anaepasiwa ana EURO + UEFA NATIONAL LEAGUE

Bora utampata hapo kama zinakutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…