NMessi wa sayari nyingine anacheza 3 fainal anakosa zote.. kama anaweza kuipeleka timu fainal nini kinamzuia kubeba ndoo?
Multiple winners
Lionel Messi is the only player to win the award six times, all with Barcelona. Messi holds the all-time record for goals in single season with 50 in 2011–12; it also accumulated to a record 100 points. Messi was also the youngest player to win the award for a 2nd, 3rd, 4th, 5th and 6th time. Bayern Munich's Gerd Müller was the first player to win the award twice, in 1969–70 and 1971–72. Messi was the first player to win the award three times,
Cristiano Ronaldo was the first player to win the award four times, and Messi again was the first, and so far only, player to win it five and six times. Only Lionel Messi (2016–17, 2017–18, 2018–19) has won the award for three years in a row. Ally McCoist (1991–92, 1992–93), Thierry Henry (2003–04, 2004–05), Lionel Messi (2011–12, 2012–13 and 2016–17, 2017–18, 2018–19), and Cristiano Ronaldo (2013–14, 2014–15)[/QUO
We ni mjinga maandishi mengi ya nn kwa ronaldo hana Golden boot?... leta ndoo za taifa
We ni mjinga maandishi mengi ya nn kwani ronaldo hana Golden boot?.. leta ndoo za taifa
Hata useme messi anacheza namba 5 nitakubali tu... Ila mviziaji ana EuroKwan anachexa peke ake?
Kumbuka yule sio mviziaji km cr7.yeye kiungo anategemewa kutengeneza nafasi kwa wingi.
Na ukitizama watu wenyewe wanaotengenezewa nafas eti kina palacio wanaruka vichwa hewa.
Asa utamlaumu messi ilhali mchango kauoneshaN
Kwa hiyo messi amefanya yote aliyofanya ronaldo?...Yani kuna vingi messi kafanya ronaldo hajawahi na hatoweza fanya.
Kwahiyo mpe heshima yake.
Ni mastaa mkuu sikatia lakini tofautisha mastaa wanaotrain pamoja almost kila siku kwa ajili ya mechi za ligi na hawa mastaa ambao wanatrain pamoja kwa week kadhaa kwa ajili ya mashindano ya kimataifa yani lazima kila mmoja atataka kucheza anavyojua na kwa kufata mfumo wake hasa wakiwa mastaaa...!! Messi hawezi mwambia aguero kitu...pale pana martinez nae anataka afanye yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni moja ya kisingizio tu ndugu..
Mfano pale Barca anacheza/Amecheza na wabovu?... PIQUE, XAVI, ALVES, ETOO, INIESTA, ALBA, ZLATAN, BUSQUET, RAKITIC, SUAREZ, PEDRO, NEYMAR, PUYOR, ABIDAL, CESC, HENRY, SANCHEZ N.K
Hao sio mastaa mkuu..?
Hiyo adidas iliwasaidia nn argentina?.. tunaongelea taifa acha wehu wako ronaldo ana euro kombe kubwa ulaya yote.Ukisema hvyo kuna vitu messi kafanya tena vingi na ronaldo hana.
Kama adidas world cup golden boot ronaldo hakuwahi pata
We mwehu eeh sasa mwenzako anadai ARGENTINA HAINA WATU KAMA WA PORTUGAL ANASEMA YUKO MESSI, AGUERO, DI MARIA BASI...Unajua team ikiwa na mastaa wengi chemistry huwa inapotea???? Kila mtu anacheza anavyoona yeye ni sahihi..
Sawa mkuu... Hivi huko kujiona kunaanzia fainali tu?Ni mastaa mkuu sikatia lakini tofautisha mastaa wanaotrain pamoja almost kila siku kwa ajili ya mechi za ligi na hawa mastaa ambao wanatrain pamoja kwa week kadhaa kwa ajili ya mashindano ya kimataifa yani lazima kila mmoja atataka kucheza anavyojua na kwa kufata mfumo wake hasa wakiwa mastaaa...!! Messi hawezi mwambia aguero kitu...pale pana martinez nae anataka afanye yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu huyu jamaa anataka ROJO aibebe timu .. hawataki kuamini captain wao ameshindwa kubeba taifa hata kwa bao VARWe mwehu eeh sasa mwenzako anadai ARGENTINA HAINA WATU KAMA WA PORTUGAL ANASEMA YUKO MESSI, AGUERO, DI MARIA BASI...
Hajui mpira na nadhani kaanza kufatilia mpira wakati wa MESSI na CRESPO
Sasa ss tumeanza iangalia ARGENTINA WAKATI ORTEGA NI WA MOTO... Mchezaji bora timu ikizingua anaibeba yy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ronaldo another case mkuu... Messi wamuache apumzike tu kwa kweli na timu yenyewe ya taifa astaafu tu[emoji23][emoji23]Sawa mkuu... Hivi huko kujiona kunaanzia fainali tu?
3 fainal unakosa zote , ronaldo fainal 2 kabeba zote.
Kumbuka hata spain ya mastaa ilibeba euro na world cup.. Pia ufaransa ya zidane hata hii ya pogba..
Vikombe vya kahawa au?Kaka Argentina ina watu ambao mizigo .
Kiujumla America ya kusin hakuna national team zote mpira wa show off.aasa messi ana mpira wa kaz kaz ulaya wachezaj wake wana mpira wa kitoto hapo ndipo anaposhindwa kuivusha Argentins.
Kwasababu chukulia mfano magoli mengi ndio ya messi ndio yameiokoa sana Argentins kunusa fainal world cup 2014 na kutamba fainal za copa America.
Na yeye ndie anashika chat ya magoli mengi ktk team yake ya taifa.
Tatizo wachezaj wa Argentins hawawez kumtumia messi.
Tagliafico alikiri hilo mwaka jana na kusema messi anajitahid kucheza na ss juu ya kiwango sisi tunacheza chini ya kiwango tunashindwa kumtumia messi wala messi hana makosa bali sisi ndio tuna makosa.
Asa mkuu messi angekuwa yupo spain angekuwa anawabebesha vikombe daily
Messi akiwepo anafanya nini? Nine tournaments emptyNijibu nyie si mnasema tatizo messi?!
Hao viungo wako mpk wanapigwa sita na Spain mbona messi hakuwepo?!
We mwehu eeh sasa mwenzako anadai ARGENTINA HAINA WATU KAMA WA PORTUGAL ANASEMA YUKO MESSI, AGUERO, DI MARIA BASI...
Hajui mpira na nadhani kaanza kufatilia mpira wakati wa MESSI na CRESPO
Sasa ss tumeanza iangalia ARGENTINA WAKATI ORTEGA NI WA MOTO... Mchezaji bora timu ikizingua anaibeba yy
We mwehu eeh sasa mwenzako anadai ARGENTINA HAINA WATU KAMA WA PORTUGAL ANASEMA YUKO MESSI, AGUERO, DI MARIA BASI...
Hajui mpira na nadhani kaanza kufatilia mpira wakati wa MESSI na CRESPO
Sasa ss tumeanza iangalia ARGENTINA WAKATI ORTEGA NI WA MOTO... Mchezaji bora timu ikizingua anaibeba yy
Kwa hiyo messi amefanya yote aliyofanya ronaldo?...
Nampa heshima mtu aliyecheza ligi 3 tofauti na akawasha moto
Messi akiwepo anafanya nini? Nine tournaments empty
BASI NGOJEA NIULIZE SWALI LA MANTIKI MNO.Mkuu huyu jamaa anataka ROJO aibebe timu .. hawataki kuamini captain wao ameshindwa kubeba taifa hata kwa bao VAR
Vikombe vya kahawa au?