Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
Kwan anachexa peke ake?
Kumbuka yule sio mviziaji km cr7.yeye kiungo anategemewa kutengeneza nafasi kwa wingi.
Na ukitizama watu wenyewe wanaotengenezewa nafas eti kina palacio wanaruka vichwa hewa.
Asa utamlaumu messi ilhali mchango kauonesha

NMessi wa sayari nyingine anacheza 3 fainal anakosa zote.. kama anaweza kuipeleka timu fainal nini kinamzuia kubeba ndoo?