Frank Ribery alibeba ubora wa ulaya halafu d'or akakosa.. umekariri weweHata kama kombe la dunia lisingekuwepo modric angechukua tuzo.
Kwasababu kiungo bora ulaya alichukua yeye,mchezaji bora uefa alichukua yeye.
Ronaldo alipewa tuzo ya mfungaji bora tu.
Aya we unadhani nan angepewa ballon d or.
unajua maana ya uzoefu?... Timu inacheza uefa kila mwaka unasema haina uzoefu na ndio wana academy bora duniani..
Hv messi ni kiungo namba ngapi?
Mwambie abebe Coppa america acha kunisumbua
Watu wanahesabia mafanikio pale unapobeba kitu an sio unapoishia kuifikisha timu sehemu ambazo hata timu nyingine imefika..kufika Kila wakat fainali na hauchukui ndio sababu hata ewew umetoka kuitukana juve huko post za nyuma.mess anatakiwa awe na Cha kujivunia kwenye national team sio magoli ambayo hata wakina Kane wanayo.Tatizo anacheza na watu wa. Aina gani team ya taifa?!
Huyo messi mnaemzungumzia ndie aliyefanya juhudi mpk Argentins ikapenya kufuzu world cup 2018.
Na 99% ya magoli yake ndio yaliyoivusha Argentins kwenda fainal za copa America asa sijui mnampondea wapi.
Hata ukiniuliza nikiwa natoka usingizi hakuna mwingine zaidi ya Ronaldo...kazi aliofanya dhid ya psg plus Juventus..modric alipewa tu sababu ya mafanikio ya taifa huo ndio ukweli.
Angekuwa sio mchezaji asingeitwa nation team bob.Mtazame meza.
We meza unamwona mchezaji yule?
Mbona lewandoski hajawai pewa ballon d or na Ni mviziaji mzuri tu.au chichiarito au inzaghi.Kwahiyo waliompa modric uchezaji bora wa uefa hawana akili?!
Modric play maker Ronaldo ni finisher.
Jitihada alizokuwa anafanya modric na Marcelo ndizo zilizompaisha Ronaldo kushinda yale magoli.
Wenzie wanatengeneza yeye anavizia kushinda.
Unajua kwanini alikosa waweza nambia?!Frank Ribery alibeba ubora wa ulaya halafu d'or akakosa.. umekariri wewe
Modric WC ndio ilimpa nafasi acha ubishi hv we ni mchawi?
Angekuwa sio mchezaji asingeitwa nation team bob.
Mbona lewandoski hajawai pewa ballon d or na Ni mviziaji mzuri tu.au chichiarito au inzaghi.
Kwahiyo huyu ndio kikwazo Cha Messi na Argentina kutochukua ubingwa kwa muda wote huu!!?na je alikuwepo kwenye timu mwaka 2014!?Kaka hata Tanzania tuna taifa stars lakin ni wachezeaji mpira sio wachezaji mpira stahiki.
Unapomzungumzia "meza" kiungo ambae badala ya kupenyeza mpira kati ameshafika ktk goli la timu pinzani eti anaubutua kwa beki otamendi mpk akasababisha goli la pili kwa Argentins dhid ya Croatia.
Wewe huyo unaweza kumpa quality za mchezaji stahiki ?!
Acha utani bhana
Kwani Ronaldo ballon d or ya kwanza kachukua akiwa timu gani mkuu!!?Angeipata team kama real then mngenieleza.
Halafu piga mfano Ronaldo angekuwa man United hadi sasa sijui ballon d,or angezipatia wapi.
Kinachofanya ulaya wanamweka messi kuwa ni bora kwasababu yeye ni mlishaji.
Ronaldo yeye husubilia vipikwe.
Kama naongopa embu chukulia mfano alivyokua Realmadrid.
Marcelo akitia jaro kaweeka kamba alikua akiitoa Bayern munich na Juventus atakavyo.
Kaja Juve sasaa!Hana viungo stahiki kama Realmadrid mpaka anatolewa na Ajax ambayo haina wachezaji current wazoefu wa UEFA.
Kwann hakupiga hatrik na kuivusha Juventus !?
Tatizo team combi aliokuwa nayo matatizo some how.
Kwani Ronaldo ballon d or ya kwanza kachukua akiwa timu gani mkuu!!?
Sio Ronaldo tu hata huyo Messi kwa man untd unayoisema ewew hasingepata chochote,mm nimekujibu kadri ulivyouliza kwani kabla ya huyo Ronaldo hapo Manchester ya Ferguson imetoa wachezaji wangapi Bora duniani!?Kaka unauliza maswali ambayo yanaonesha dhwahiri hujui mpira
Hivi unaifananisha man united ambayo Ronaldo alipata ballon d or 2008 na man united ya sasa?!
Piga picha cr7 angebakia man United ya Moyes au Vangaal halafu uone km angetamba na hzi ballon d,or kama sasa.
Kwahiyo huyu ndio kikwazo Cha Messi na Argentina kutochukua ubingwa kwa muda wote huu!!?na je alikuwepo kwenye timu mwaka 2014!?
Sio Ronaldo tu hata huyo Messi kwa man untd unayoisema ewew hasingepata chochote,mm nimekujibu kadri ulivyouliza kwani kabla ya huyo Ronaldo hapo Manchester ya Ferguson imetoa wachezaji wangapi Bora duniani!?
Sasa huoni kuwa huyu alietoka huku kwingine Tena ambapo hakukuwa na hiyo kasumba akabeba ballon d or na akaja huko kwenye kasumba kabeba mara nying tu kuwa ni Bora!!?Kuna wakat huwa tunabisha ili tuonekane tunajua kuongea na kuandika bla bla bla ila kiuhalisia rekodi za Ronaldo zipo juu kiujumla kuanzia clubs/national team na ukitaka vigezo kwa hoja za kimsingi unapigwa chini mapema Sana ukimfananisha na messi...ila ushabiki na mafanikio ya kwenye club ndio kitu pekee kinambeba mess kwenye kuwafanya mashabiki wake wapate Cha kuongea.usiku mwema.Nitajie wanaoshika chat ktk ballon d,or wanatoka team gani hasa km sio most za italy na spain.Tena hasahasa Realmadrid,Barcelona.
Wengine wanafuata
Sio Ronaldo tu hata huyo Messi kwa man untd unayoisema ewew hasingepata chochote,mm nimekujibu kadri ulivyouliza kwani kabla ya huyo Ronaldo hapo Manchester ya Ferguson imetoa wachezaji wangapi Bora duniani!?
Sasa huoni kuwa huyu alietoka huku kwingine Tena ambapo hakukuwa na hiyo kasumba akabeba ballon d or na akaja huko kwenye kasumba kabeba mara nying tu kuwa ni Bora!!?Kuna wakat huwa tunabisha ili tuonekane tunajua kuongea na kuandika bla bla bla ila kiuhalisia rekodi za Ronaldo zipo juu kiujumla kuanzia clubs/national team na ukitaka vigezo kwa hoja za kimsingi unapigwa chini mapema Sana ukimfananisha na messi...ila ushabiki na mafanikio ya kwenye club ndio kitu pekee kinambeba mess kwenye kuwafanya mashabiki wake wapate Cha kuongea.usiku mwema.
Sasa huoni kuwa huyu alietoka huku kwingine Tena ambapo hakukuwa na hiyo kasumba akabeba ballon d or na akaja huko kwenye kasumba kabeba mara nying tu kuwa ni Bora!!?Kuna wakat huwa tunabisha ili tuonekane tunajua kuongea na kuandika bla bla bla ila kiuhalisia rekodi za Ronaldo zipo juu kiujumla kuanzia clubs/national team na ukitaka vigezo kwa hoja za kimsingi unapigwa chini mapema Sana ukimfananisha na messi...ila ushabiki na mafanikio ya kwenye club ndio kitu pekee kinambeba mess kwenye kuwafanya mashabiki wake wapate Cha kuongea.usiku mwema.
Kwahiyo waliompa modric uchezaji bora wa uefa hawana akili?!
Modric play maker Ronaldo ni finisher.
Jitihada alizokuwa anafanya modric na Marcelo ndizo zilizompaisha Ronaldo kushinda yale magoli.
Wenzie wanatengeneza yeye anavizia kushinda.