Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Aaah kushinda washinde wengine ujiko apewe yeye.
Halafu team za America ya kusini zina wachezaji wa show off mkuu sio km Ulaya team zao ni kaz kaz

Unamaanisha nini Mkuu? Kwamba Argentina wameshinda halafu sifa kapewa Ronaldo au? Maana haimake sense endapo unamaanisha kushinda washinde Portugal sifa apewe Ronaldo!
 
Inamake sense.
Usimfananishe ronaldo winger ambaye an vijana machachari wachapa kaz kina bernardo silva na messi play maker anaeichezesha Argentina ambayo ina mizigo yenye kucheza mpira wa show off.
Badala ya mpira wa kaz kaz.
Hata wangeamua kumueka ronaldo nje wangeshinda taji ila Argentins are a**hole hata uwafanye vp hawabebeki.
Unamaanisha nini Mkuu? Kwamba Argentina wameshinda halafu sifa kapewa Ronaldo au? Maana haimake sense endapo unamaanisha kushinda washinde Portugal sifa apewe Ronaldo!
H
 
Kuna utofauti kat ya winger mvushaji mpira na kiungo play maker.
Messi ana kazi kushinda ronaldo aisee na ukiangalia team yake ya taifa wengi mazwazwa ana mtihani ktk kuiendesha Argentina.
Piga mfano angekubali kuwa team ya taifa ya Spain.
Spain daily wangekuwa wanabeba ndoo
Yaani huyo madevu ni sawa na Kichuya Stars.
 
Katika maisha yangu yote nitamkubali messi km great of football maana anachofanya messi ronaldo hawez na hakuweza maisha.
Kuichezesha team,kutafuta mipira na kuipandisha mipira na kutengeneza nafas za magoli wewe messi mwacheni
Unamaanisha nini Mkuu? Kwamba Argentina wameshinda halafu sifa kapewa Ronaldo au? Maana haimake sense endapo unamaanisha kushinda washinde Portugal sifa apewe Ronaldo!
 
Katika maisha yangu yote nitamkubali messi km great of football maana anachofanya messi ronaldo hawez na hakuweza maisha.
Kuichezesha team,kutafuta mipira na kuipandisha mipira na kutengeneza nafas za magoli wewe messi mwacheni

Wape jibu moja tu wakae kimya

1.Messi
2.Maradona
3.Pele
4.Zidane
5.Cr7
 
Kwa maelezo hayo hapo unayotoa basi lazima messi na argentina yake wachukue kombe la coppa america [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji23][emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au unaonaje mkuu
 
Na kama anafanya yote hayo na argentina haishindi makombe sasa faida nini hapo mkuu ????
 
Kuna utofauti kat ya winger mvushaji mpira na kiungo play maker.
Messi ana kazi kushinda ronaldo aisee na ukiangalia team yake ya taifa wengi mazwazwa ana mtihani ktk kuiendesha Argentina.
Piga mfano angekubali kuwa team ya taifa ya Spain.
Spain daily wangekuwa wanabeba ndoo
Ficha upumbavu wako kidogo ,Aguero awe zwazwa,Dyabala zwazwa
 
Na kama anafanya yote hayo na argentina haishindi makombe sasa faida nini hapo mkuu ????
Kaka Argentina ina watu ambao mizigo .
Kiujumla America ya kusin hakuna national team zote mpira wa show off.aasa messi ana mpira wa kaz kaz ulaya wachezaj wake wana mpira wa kitoto hapo ndipo anaposhindwa kuivusha Argentins.
Kwasababu chukulia mfano magoli mengi ndio ya messi ndio yameiokoa sana Argentins kunusa fainal world cup 2014 na kutamba fainal za copa America.
Na yeye ndie anashika chat ya magoli mengi ktk team yake ya taifa.
Tatizo wachezaj wa Argentins hawawez kumtumia messi.
Tagliafico alikiri hilo mwaka jana na kusema messi anajitahid kucheza na ss juu ya kiwango sisi tunacheza chini ya kiwango tunashindwa kumtumia messi wala messi hana makosa bali sisi ndio tuna makosa.
Asa mkuu messi angekuwa yupo spain angekuwa anawabebesha vikombe daily
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ficha upumbavu wako kidogo ,Aguero awe zwazwa,Dyabala zwazwa
Samahani matusi mkuu tuheshimiane.
Ukimtoa huyo aguero na dimaria labda.. dybala mchezaji wa kuperform kwa msimu bado zwazwa usimfananishe dybala na bernardo silva.
Bernardo silva ana mpira pevu dybala mpira wa nyodo na mashauzi ht uko juventus amembwera tyu msimu ulioisha.
Wachezaji ni messi.dimaria,aguero labda tagliafico walobaki wote matatizo huyo ikardi mara awike mara azorote
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kwa maelezo hayo hapo unayotoa basi lazima messi na argentina yake wachukue kombe la coppa america [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji23][emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au unaonaje mkuu
Tatizo anaowachezesha hawamtumii ipasavyo.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wape jibu moja tu wakae kimya

1.Messi
2.Maradona
3.Pele
4.Zidane
5.Cr7
Eti kaka wanamfananisha na mviziaji.
Messi unamfananisha na mviziaji namba 7 hawako serious hawa.
Ile Euro alitoka watu wakapiga kaz wakamfunga France wakachukua kombe.
Argentina kama barca messi akiyumba hamna team kabbisa.
We hyo portugal kuna madogo wanajua Mali.hii argentina ya sasa kuna mijitu mingi haieleweki mara meza.
Messi atafanya maajabu km ya Ecuador kak
 
Samahani matusi mkuu tuheshimiane.
Ukimtoa huyo aguero na dimaria labda.. dybala mchezaji wa kuperform kwa msimu bado zwazwa usimfananishe dybala na bernardo silva.
Bernardo silva ana mpira pevu dybala mpira wa nyodo na mashauzi ht uko juventus amembwera tyu msimu ulioisha.
Wachezaji ni messi.dimaria,aguero labda tagliafico walobaki wote matatizo huyo ikardi mara awike mara azorote
Mbona asipokuwepo barca inakuwa tia maji tia maji ila kwa Argentina awepo asiwepo hamna changes kubwa how?
 
Ficha upumbavu wako kidogo ,Aguero awe zwazwa,Dyabala zwazwa

Tangu copa imeanza dybala amecheza hata mechi moja? Au unajisemea tu!! Argentina ya sasa sio ile ya 2014, 2015 na 2017 kama sikosei,Walikuwa na middle and defences nzuri na waliweza ingia mara tatu final,,,mbili za copa america wameenda hadi matuta na chile sema penalties hainaga ufundi kijana. Kwa ufupi haikuwa bahtiyao tu. Argentina ya sasa machezaji hayajitumi na wala hayana uchungu na tim yao/hayana ushirikiano na tim yao, mzigo wote wanamuangushia Messi. Kama wachezaji wenyewe hawatoi ushirikiano/hawajitumi Messi atafanya nini!
 
Mkuu embu fuatilia mambo ambayo messi kaifanyia Argentins.
1)kaivusha dhid ya Ecuador kwenda world cup kwa magoli ya kujipikia sio kulishwa matatu.
2)magoli yake na assist zake zilisaidia Argentina kuingia final world cup 2014 .
3)Copa America zote fainal tatu 90% ya magoli yake ndio yameifanya Argentina kuingia fainal.
Kwahiyo ukiangalia bila huyu mchiz boti Argentina isingeshiriki world cup 2018 na ingekuwa under dog km Nicaraguai.
Mbona asipokuwepo barca inakuwa tia maji tia maji ila kwa Argentina awepo asiwepo hamna changes kubwa how?
 
Wanashindwa kulitambua hilo.
Huyo Ronaldo angekuwa na team zwazwa km Argentina halaf yeye winger sijui angezalisha nn.
Anabahat yupo Portugal kila kijana anapiga mawe ya mbali
Tangu copa imeanza dybala amecheza hata mechi moja? Au unajisemea tu!! Argentina ya sasa sio ile ya 2014, 2015 na 2017 kama sikosei,Walikuwa na middle and defences nzuri na waliweza ingia mara tatu final,,,mbili za copa america wameenda hadi matuta na chile sema penalties hainaga ufundi kijana. Kwa ufupi haikuwa bahtiyao tu. Argentina ya sasa machezaji hayajitumi na wala hayana uchungu na tim yao/hayana ushirikiano na tim yao.
 
Back
Top Bottom