Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Eti kaka wanamfananisha na mviziaji.
Messi unamfananisha na mviziaji namba 7 hawako serious hawa.
Ile Euro alitoka watu wakapiga kaz wakamfunga France wakachukua kombe.
Argentina kama barca messi akiyumba hamna team kabbisa.
We hyo portugal kuna madogo wanajua Mali.hii argentina ya sasa kuna mijitu mingi haieleweki mara meza.
Messi atafanya maajabu km ya Ecuador kak
Kaka hawa vijana wasikusumbue, unafkiri hawajui kuwa Messi ni zaidi ya mchezaji yoyote kuwai kutokea!!!!!! Wanajuwa sana ila "mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe"
Uchezaji wa cr7 na wa Messi tofauti mkubwa sana, Messi anaanzia nyuma kwa maana ingine yeye ndie mkokotaji, mchezeshaji, play maker, assists, master of freekicks, passes za mwisho n.k. cr7 yeye anasimama golini akisubiri wenzie wampe afunge, hana tofauti na akinaSuarez, mbappe, Lewandowsky n.k. sasa apo nani anafaa kupewa sifa 😂😂😂 mkuu hawa wanamjuwa Messi ni balaa na hajawai kutokea kama yeye. ila wanaona aibu kuyasema.