Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Eti kaka wanamfananisha na mviziaji.
Messi unamfananisha na mviziaji namba 7 hawako serious hawa.
Ile Euro alitoka watu wakapiga kaz wakamfunga France wakachukua kombe.
Argentina kama barca messi akiyumba hamna team kabbisa.
We hyo portugal kuna madogo wanajua Mali.hii argentina ya sasa kuna mijitu mingi haieleweki mara meza.
Messi atafanya maajabu km ya Ecuador kak


Kaka hawa vijana wasikusumbue, unafkiri hawajui kuwa Messi ni zaidi ya mchezaji yoyote kuwai kutokea!!!!!! Wanajuwa sana ila "mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe"

Uchezaji wa cr7 na wa Messi tofauti mkubwa sana, Messi anaanzia nyuma kwa maana ingine yeye ndie mkokotaji, mchezeshaji, play maker, assists, master of freekicks, passes za mwisho n.k. cr7 yeye anasimama golini akisubiri wenzie wampe afunge, hana tofauti na akinaSuarez, mbappe, Lewandowsky n.k. sasa apo nani anafaa kupewa sifa 😂😂😂 mkuu hawa wanamjuwa Messi ni balaa na hajawai kutokea kama yeye. ila wanaona aibu kuyasema.
 
Yeye ndie wa dunia ana uchezaji tofauti kuliko wote.
Ana uwezo wa kuinyanyua team ht ikiwa mbovuuu km Argentina ilivyo mbovu na bado anailealea.
Sio km huyo mviziaji namba 7
Alafu utasikia mchezaji bora wa dunia Messi Duuuuh
 
Unalinganisha Zizou na Mesi Chief? Acha mzaa


Screenshot_20190503-183352_Instagram.jpg


Zidane wangapi hapo?
 
Eti kaka wanamfananisha na mviziaji.
Messi unamfananisha na mviziaji namba 7 hawako serious hawa.
Ile Euro alitoka watu wakapiga kaz wakamfunga France wakachukua kombe.
Argentina kama barca messi akiyumba hamna team kabbisa.
We hyo portugal kuna madogo wanajua Mali.hii argentina ya sasa kuna mijitu mingi haieleweki mara meza.
Messi atafanya maajabu km ya Ecuador kak
pumba kabisa.... argentina nahodha si ni messi?? lazima messi abebe lawama kwa kushindwa kuihamasisha timu... pia lazima ni failure... eti haina wacjezaji.... aguero?? dybala?? di maria??? messi ameshindwa kama kushidwa na ameonesha hana mchango na timu ya taifa hivo ni failure kabisa... kwanza yeye kitendo cja kujiuzuru pasi na sababu ilikuwa ni kuprove failure kabisa... wanaume huwa hatukatishwi tamaa kama cr7 asivyokata tamaaa
 
mwanza kitendo cha messi kuendelea kubaki barca ni weakness kubwa mno.... kwa karne ya 21 hiii.... gumeona hata pele hakucheza one club for life... zidane... de lima... g.weah.... kanu.... kaka... nedved... t.henry waliprove maturity kuwa wao wanaweza kucheza timu yeyote na wakaonesha umahiri wao kama ilivyo kwa mnyama cr7!!! messi kwanza akiondoka barca ndiyo kwisha habari yake....mfano ni timu ya taifa.... amefeli kabisa!! hii inaprove kuwa hata akienda club ingine ataporomoka kisoka na ni kweli kabisa!!
 
Ushawahi kumuona Mchezaji black Timu yao?


Waafrika bana, kwaiyo kutokuwepo mweusi kwenye tim ndio ubaguzi? Kuna mchezaji mweusi anaitwa Maidana ashawahi kucheza tim ya taifa mara nyingi ty lakini hana kiwango kivile kama akina otamendi, rojo n.k.
 
We unamjua mchezaji gani mu Argentina ambaye ni black na anachezea timu gani ligi gani,vp timu yenu ya taifa ina wazungu wangapi,vp timu ya China ,Japan Kuna black wangapi

Wasikudisturb hawa, tim ya taifa haina mzungu, mwarabu wala mchina. Sijui analizungumziaje hilo 😁😁
 
Yeye ndie wa dunia ana uchezaji tofauti kuliko wote.
Ana uwezo wa kuinyanyua team ht ikiwa mbovuuu km Argentina ilivyo mbovu na bado anailealea.
Sio km huyo mviziaji namba 7
Fainali 3 zote ameshindwa kuvizia hata moja abebe ndoo.. au kuvizia unafikiri kila mtu anaweza?
Hapa hatujadili style ya kucheza ila kuipa timu ya taifa lako ndoo... Acha longofya humu
 
Back
Top Bottom