Fifa best player, kwa maana hiyo Ballon de ore inamsubiri yeye tu ambayo ataipata January...
Masikini ya Mungu haters wanaumia sana kuona mchezaji bora kuwahi kutokea akinyakua matuzo mbali mbali japo wamemnyima tuzo ya goli bora la mwaka (Puskas award) π π π