Wakati huohuo mnyama Cr7 anabeba makombe kila uchwao na timu yake ya Taifa.
View attachment 1132511
Aaah kushinda washinde wengine ujiko apewe yeye.
Halafu team za America ya kusini zina wachezaji wa show off mkuu sio km Ulaya team zao ni kaz kaz
Yaani huyo madevu ni sawa na Kichuya Stars.[emoji3][emoji3] Wafuasi wa andunje kumbe ni wengi sana. Huu uzi wanaupita tu.
HUnamaanisha nini Mkuu? Kwamba Argentina wameshinda halafu sifa kapewa Ronaldo au? Maana haimake sense endapo unamaanisha kushinda washinde Portugal sifa apewe Ronaldo!
Yaani huyo madevu ni sawa na Kichuya Stars.
Colombia anamwachia Paraguay,mark my words
Unamaanisha nini Mkuu? Kwamba Argentina wameshinda halafu sifa kapewa Ronaldo au? Maana haimake sense endapo unamaanisha kushinda washinde Portugal sifa apewe Ronaldo!
Tunamfunga Qatar tunakuwa na point nne Paraguay ana draw na Colombia kaz inaisha
Katika maisha yangu yote nitamkubali messi km great of football maana anachofanya messi ronaldo hawez na hakuweza maisha.
Kuichezesha team,kutafuta mipira na kuipandisha mipira na kutengeneza nafas za magoli wewe messi mwacheni
Kwa maelezo hayo hapo unayotoa basi lazima messi na argentina yake wachukue kombe la coppa america [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji23][emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au unaonaje mkuuKatika maisha yangu yote nitamkubali messi km great of football maana anachofanya messi ronaldo hawez na hakuweza maisha.
Kuichezesha team,kutafuta mipira na kuipandisha mipira na kutengeneza nafas za magoli wewe messi mwacheni
Na kama anafanya yote hayo na argentina haishindi makombe sasa faida nini hapo mkuu ????Katika maisha yangu yote nitamkubali messi km great of football maana anachofanya messi ronaldo hawez na hakuweza maisha.
Kuichezesha team,kutafuta mipira na kuipandisha mipira na kutengeneza nafas za magoli wewe messi mwacheni
Ficha upumbavu wako kidogo ,Aguero awe zwazwa,Dyabala zwazwaKuna utofauti kat ya winger mvushaji mpira na kiungo play maker.
Messi ana kazi kushinda ronaldo aisee na ukiangalia team yake ya taifa wengi mazwazwa ana mtihani ktk kuiendesha Argentina.
Piga mfano angekubali kuwa team ya taifa ya Spain.
Spain daily wangekuwa wanabeba ndoo
Kaka Argentina ina watu ambao mizigo .Na kama anafanya yote hayo na argentina haishindi makombe sasa faida nini hapo mkuu ????
Samahani matusi mkuu tuheshimiane.Ficha upumbavu wako kidogo ,Aguero awe zwazwa,Dyabala zwazwa
Tatizo anaowachezesha hawamtumii ipasavyo.Kwa maelezo hayo hapo unayotoa basi lazima messi na argentina yake wachukue kombe la coppa america [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji23][emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au unaonaje mkuu
Eti kaka wanamfananisha na mviziaji.Wape jibu moja tu wakae kimya
1.Messi
2.Maradona
3.Pele
4.Zidane
5.Cr7
Mbona asipokuwepo barca inakuwa tia maji tia maji ila kwa Argentina awepo asiwepo hamna changes kubwa how?Samahani matusi mkuu tuheshimiane.
Ukimtoa huyo aguero na dimaria labda.. dybala mchezaji wa kuperform kwa msimu bado zwazwa usimfananishe dybala na bernardo silva.
Bernardo silva ana mpira pevu dybala mpira wa nyodo na mashauzi ht uko juventus amembwera tyu msimu ulioisha.
Wachezaji ni messi.dimaria,aguero labda tagliafico walobaki wote matatizo huyo ikardi mara awike mara azorote
Ficha upumbavu wako kidogo ,Aguero awe zwazwa,Dyabala zwazwa
Mbona asipokuwepo barca inakuwa tia maji tia maji ila kwa Argentina awepo asiwepo hamna changes kubwa how?
Tangu copa imeanza dybala amecheza hata mechi moja? Au unajisemea tu!! Argentina ya sasa sio ile ya 2014, 2015 na 2017 kama sikosei,Walikuwa na middle and defences nzuri na waliweza ingia mara tatu final,,,mbili za copa america wameenda hadi matuta na chile sema penalties hainaga ufundi kijana. Kwa ufupi haikuwa bahtiyao tu. Argentina ya sasa machezaji hayajitumi na wala hayana uchungu na tim yao/hayana ushirikiano na tim yao.