Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #181
Morocco
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameongea kiafrika zaidi sio kitaalamuUnakubaliana na Eto'oView attachment 2411490
Toni Kroos ameachwa ama n majeruiKikosi cha UjerumaniView attachment 2412571
Alishastaafu timu ya taifaToni Kroos ameachwa ama n majerui
Huyo ronado ndo anaenda kuwachoma wenzieUreno wapo siriaz na kaziView attachment 2412745
Huyu southgate nae utopolo tuuFikayo Tomori ameachwa huku Harry Maguire akiitwa katika kikosu cha wachezaji 26 wa England
Jana watashanwaku predict worldup winners wamesema mshindi atakuwa Argentina.Team ARGENTINA
Kabisa nimeona jana wao mane lazima achezeKuna sehemu nimeona wanasema, Mane ataenda kutibiwa kwa mganga ili kusudi awahi michuano ya Kombe la Dunia.
Wasenegal wanasema iwe jua iwe mvua Mane lazima awepo Qatar
Lazma tutumie sayansi yetu vizuri😂😂
Jamani ata smalling hajaitwa wakati anacheza kila game kule roma anaitwa maguireThe Three Lions...EnglandView attachment 2412567